Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ
29 - جمادى الآخرة - 1447 هـ
20 - 12 - 2025 مـ
12:16 مساءً
Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التَّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
____
Ukumbusho wa lugha inayoeleweka na Rais wa Marekani Trump (mbweha mdanganyifu) na mwenzake, Benjamini, washirika wa Shetani: "Piganieni washirika wa mtawala dhalimu, kwani njama ya Shetani ni dhaifu kila wakati."
Bismillah Al’Wahid Al’Qahar..
Basi mcheni Mwenyezi Mungu Al’Wahid Al’Qahar enyi mujahidina katika Palestina,
Watu wa Palestina wajue kuwa Rais Mahmoud Abbas amepoteza halali yake kimaadili, kidini, kihistoria, kisiasa, kisheria, na kitaifa. Hivyo basi, ni vipi nchi huru zinaweza kupiga kura kutambua Nchi ya Palestina kwa mipaka ya mwaka 1967 na mji mkuu wake Quds (Yerusalemu) — na hata kama hiyo ni haki ndogo katika mgawanyo kati ya Nchi ya Palestina na Israel? Muhimu ni kwamba walipiga kura kuwa Palestina ni huru; ni nchi yenye uhuru wa kisiasa, jeshi lake — lakini kisha Rais wa Palestina anasema:
“Nchi ya kiraia isiyo na silaha”?! Hata anataka kuchukua silaha za wanajeshi wa Hamas wenye ushujaa, na kuzipeleka kwa Israel!
Kwa hiyo, halali yake imeanguka, hata kama mara ya kwanza alichaguliwa na watu wote wa Palestina, wakiwa hai na wakiwa wameshafariki. Mahmoud Abbas amepoteza halali yake kwa kuwa muuaji wa nchi yake, dini yake, na watu wake, na amekhianati ardhi takatifu kama ilivyoelezwa katika Qur’ani Tukufu. Hata akiwa na madaraka katika Kikundi cha Magharibi (West Bank) — ambacho anadai kuwa chini ya udhibiti wake — kuna uvunjaji mkubwa wa haki na uonevu wa Israeli ya Kizayuni, pamoja na ujerumani mkubwa kama ule wa Gaza; na hata majeruhi makubwa yanalitokea katika sehemu zote za Palestina, yakiwemo ukosefu mkubwa wa haki kwa kila Mpalestina na Wakristo walioko karibu zaidi na Waislamu.
Basi ni aibu iliyoje kwa wale wanaotazama tu madhila yanayotokea Palestina kana kwamba wako juu ya uso wa mwezi! Ni kana kwamba si majirani wa Misri, yenye jeshi lenye nguvu na mshikamano, wala kana kwamba si wao waliokaribu zaidi na watu wa Kiarabu wa Gaza wanaoteseka, huku wakiwa ni miongoni mwa mataifa makubwa, yenye nguvu na ukakamavu — taifa hilo lenye heshima, la Kiarabu, la Misri, mojawapo ya mataifa makubwa kabisa ya Waarabu, wanaume wa hamasa, uungwana na wivu wa Kiarabu. Basi nini kimekupata, ewe mheshimiwa Rais wa Misri (Abdel Fattah Al-Sisi)? Kwa hakika, lawama kubwa zaidi inaiangukia Misri kutokana na ukaribu wake wa pekee na Gaza tukufu.
Na wewe ewe mwanamume, pamoja nawe wako watu wa Misri—wanaume ambao ukiamua hata kuvuka bahari, wote bila kubaki hata mmoja wangefuata nyuma yako; watu wenye uzalendo na hisia za Kiarabu. Basi wainue vichwa vyao na ungurume kama simba. Naapa kwa Mungu, lau ungefutiya kuruhusu maandamano mjini Cairo karibu na mlango wa Rafah, huenda hata Israeli ingejiondoa kwa woga, ikirudi nyuma kutoka mstari wa njano, mwekundu na kijani hadi nyuma ya mipaka ya mwaka 1948, kwa kuogopa kumezwa na Wamisri milioni mia moja ishirini—watu wa hamasa, uzalendo na wivu wa Kiislamu. Basi unahofia nini, ewe mtu, ilhali una watu wa Misri—taifa lenye heshima na la Kiarabu—linalolingana au kuzidi mataifa yote ya Kiarabu ya Ghuba yakikusanywa pamoja? Usiseme kama alivyomwambia rais aliyepita, Hosni Mubarak, kiongozi Ali Abdullah Saleh: “Hiyo ni Amerika.” Naapa kwa Mungu ambaye hana mshirika, kwamba Trump, kiongozi wa ugaidi wa kimataifa, ni miongoni mwa viumbe waoga sana endapo tu mtu atamtendea kwa lugha ya hasira na tishio la vita kwa nia ya dhati. Hapo ndipo Mungu huteremsha woga mkubwa moyoni mwake.
Basi shikamaneni na Mungu kama walivyofanya Wayemen, na mtashuhudia maajabu ya uwezo wa Mungu. Hakika, Wallahi, Trump hawezi hata kukabiliana na taifa dogo la kisiwa kama Cuba lililo jirani na Florida, pale anapokutana na ukakamavu na nia ya kujilinda; kwani Trump hujifanya kama mbweha anayepiga kelele ili mmdhani ni simba.
Na Trump hatamwelewa yeyote isipokuwa kwa lugha ya vita na ukali. Yeye hutoa makelele na vitisho ili aone tu namna wale anaowatisha watakavyojibu. Lakini wanaporudi kwa jibu la ushindani kwa ushindani, hapo Trump huanza kupima faida na hasara, na hawezi kuthubutu kufanya hatari yoyote. Ama upole, au wale wanaoiomba Baraza la Umoja wa Mataifa — wanaosema wasiyoyatenda na kupima kwa mizani miwili — huo ndio unamshawishi kuendelea na dhulma na uadui. Lakini wale wanaojiandaa kumkabili yeye na jeshi lake kwa silaha rahisi walizonazo, wakijitayarisha kadiri wawezavyo, basi mara moja Mungu hushusha woga katika nyoyo za wanyanyasaji, ikiwa ni msaada kutoka kwa Allah, Mola wa walimwengu. Basi muaminini Mungu: {إِنَّ كَيْدَ ٱلشَّيْطَٰنِ كَانَ ضَعِيفًا} [Sura:Al-Nisaa].
Na muaminini Mungu
Wenye Nguvu Pana kw Ahdi Yake; {إِن تَنصُرُوا۟ ٱللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ} [Sura:Muhammad].
Tambueni kwamba yeyote anayejilinda nafsi yake na ardhi yake, Mungu hatamwingiza Motoni yenye mafuta ya mawe, hata kama ni miongoni mwa makafiri na akapigana kwa ajili ya kuutetea watu wake, nyumba yake na ardhi yake. Basi Mungu hukubali kutoka kwake hamasa yake ya kizalendo iliyo ya haki; Ametakasika Mungu Mkuuu, humsamehe amtakaye na humwadhibu amtakaye. Hakika, Mungu hawapendi wanyanyasaji. Na Mwenyezi Mungu ndiye Ajuaye lugha ambayo watesi wa haki za binadamu wanaielewa; hawataelewa isipokuwa kwa lugha ya kujitayarisha kwa ajili ya kukabiliana.
Naapa kwa Mungu ambaye hapana mungu mwingine isipokuwa Yeye, lau watu wa Yemen wangekuwa na mpaka unaogusana na Israeli, basi uvamizi wa Israel usingedumu kujivuna katika ardhi hiyo tukufu. Kwa hakika watu wa Yemen huwawonea wivu mema watu wa nchi za ukanda wa Palestina, ijapokuwa watu wa nchi hizo ni watu wenye hamasa, heshima na wivu wa Kiarabu. Lakini, kwa bahati mbaya, kukosekana ujasiri kwa viongozi wao kumeifanya heshima ya mataifa yao iingie tope mbele ya walimwengu. Basi mnaogopa nini?!
Je, viongozi wa Waarabu hasa, na Waislamu kwa ujumla, wanaogopa nini? Je, wanaogopa neema na utukufu wa maisha ya milele yenye heshima ya kifalme na neema kuu? Hakika Mungu amekwisha tangaza biashara ya kununua na kuuza katika aya iliyo thabiti na wazi kwa wanazuoni wa umma na watu wake wa kawaida kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{۞ إِنَّ ٱللَّهَ ٱشْتَرَىٰ مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ أَنفُسَهُمْ وَأَمْوَٰلَهُم بِأَنَّ لَهُمُ ٱلْجَنَّةَ ۚ يُقَٰتِلُونَ فِى سَبِيلِ ٱللَّهِ فَيَقْتُلُونَ وَيُقْتَلُونَ ۖ وَعْدًا عَلَيْهِ حَقًّا}
Sadaqa Allah Al3dhim:[Sura:Al-Tauba].
Basi ni nani atakayekataa hii biashara ya milele (ambayo Mungu huwafanya kuwa kama malaika miongoni mwa wanadamu)?! Sioni katika Kitabu cha Mungu — Qur’ani Tukufu — kuwa watarudishwa tena duniani baada ya kufa. Basi mnaogopa nini, enyi kundi la viongozi wa Kiarabu? Ikiwa hamtajibu mwito wa kuitangaza hadharani harakati ya kusimama katika njia ya Mungu, basi tunakuthibitishieni kwamba Mungu hatawaongezea utukufu juu ya utukufu wenu; bali Atawaadhibu adhabu chungu na Atawaleta watu wengine mahali penu ambao hawatakuwa kama ninyi.
Na huenda Mungu akamwongoza Muhammad bin Salman baada ya shetani Trump kukiuka ahadi aliyompa Muhammad; bali alimkhini Naibu Mfalme Muhammad bin Salman.
Ama kuhusu mwito wa kusimama kwa ajili ya ulinzi, hakuna aliyeuitikia kwa kuendelea kuwatetea watu wenu, ardhi zenu na sehemu zenu tukufu hadi sasa isipokuwa Ansarullah wa Yemen. Pamoja na hayo, Ansarullah wana dosari zao, kwa sababu baadhi ya tabaka lililopo ndani yao limezidisha ufisadi katika ardhi—wakidhulumu baadhi ya raia walio chini ya mamlaka yao, wakipora ardhi zao na kuchukulia mali zao bila haki. Ingawa wanahesabiwa kuwa miongoni mwa Ansarullah, hawako katika kundi la Ansarullah wa kweli mioyoni na kwa vitendo.
Bali Ansarullah wa kweli ni wale waliokiinua kichwa cha Wayemen hususan, na cha Waarabu kwa ujumla, na mbele yao yuko mmoja wa viongozi wa jeshi la Imam Mahdi, Nasser Muhammad Al-Yemeni—mtukufu—yakini huyo ndugu mwema (Sayyid Abdul-Malik Badruddin Al-Houthi). Nimechukua yeye kuwa rafiki wa karibu.
Sisi tuko pamoja nao mradi waendelee kuwa kwenye njia sahihi katika vita vyao dhidi ya adui wa Mungu na adui yao (Trump) na mtu wa ukoo wake (Benjamin), wahalifu wa uharibifu mkubwa.
Basi wabashiriwe wote utukufu wao maadamu wanaendelea hivyo. Wasiingie katika misukosuko ya kusini ambayo inaweza kupotosha mwelekeo wa vita kati ya Wayemen, kwani hilo ndilo linalotakiwa na adui na linawafurahisha maaduizo wa Mungu na shetani. Basi msitimize huo mtego. Na yeyote atakayetaka kuwakhini, basi Mwenyezi Mungu—Mwenye nguvu na Mwenye sifa njema—atakutoshelezeni dhidi yao.
Na namuomba Mungu awaongoze wote katika yale anayoyapenda na kuyakubali — nyoyo za makundi yote ya Yemen, watu wote wa Yemen, na nyoyo za mataifa yote pamoja na viongozi wao. Na Awajapishe mioyo yao ili kwa neema Yake wawe ndugu, katika zama za kudhihiri Khalifa wa Mungu kwa walimwengu — Imam Al-Mahdi Nāsir Muhammad Al-Yamani. Na bado tunawaambia: Sio mimi ninayetaka anidhihirishe juu ya walimwengu; bali Mungu ndiye atakayemdhihirisha Khalifa Wake juu ya ulimwengu wote, yaani Imam Mahdi Nāsir Muhammad Al-Yamani, ikiwa ni miongoni mwa wenye kusema kweli.
Basi jueni kuwa Mungu atakamilisha nuru Yake kupitia mja Wake, ijapokuwa wahalifu wanachukia kudhihirika kwake. Na hakika laana ya Mungu iko juu ya waongo.
Na Salam Ju Ya Mitumi Na Alhmdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Wote Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم خليفة الله على العالَم بأسرِه الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليَمانيّ.
__
======== اقتباس =========
- 40 -
الإمام المهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ
29 - جمادى الآخرة - 1447 هـ
20 - 12 - 2025 مـ
12:16 مساءً
(بحسب التَّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=489770
________
تَذكيرٌ باللُّغةِ التي يَفهمُ بِها الرَّئيس الأمريكيّ ترامب (الثعلب الكذَّاب) وقبيله بنيامين أولياءُ الشَّياطين، فقاتِلوا أولياء الطَّاغوت إنَّ كَيد الشيطانِ كان ضَعيفًا ..
بِسم الله الواحد القهَّار..
فاتَّقوا الله الواحد القهَّار يا أيُّها المُجاهدين في فلسطين، فليعلم الشعب الفلسطيني أنّ الرئيس محمود عباس سقطت شرعيّته دينيًّا وشرعيًّا وعُرفيًّا وسياسيًّا وقانونيًّا ووطنيًّا، فكيف تُصَوِّت الدّول الحُرَّة بالاعتراف بدولة فلسطين على حدود سبعة وستين وعاصمتها القدس ـ وحتى ولو كان ذلك ظلمٌ في التَّقسيم بين الدَّولة الفلسطينيَّة وإسرائيل، فالمهم أنَّهم صَوَّتوا أنّ فلسطين حُرَّة؛ دولة ذات سيادةٍ وجَيشٍ ـ فإذا بالرئيس الفلسطيني يقول: "دولة مَدَنيَّة منزوعة السِّلاح"؟! بل حتى يريد استلام سلاح رجال حماس المُجاهدين الأبطال ليسلمه إلى إسرائيل! إذًا سقطت شرعيته حتى لو انتخبه بادئ الأمر كافَّة الشعب الفلسطينيّ الأحياء منهم والأموات أجمعين، فقد سقطت شرعية محمود عباس الخائن لوطنه ودينه وشعبه، وخان الأرض المُقَدَّسة في القرآن العظيم، فرغم أنه ليجري في كافّة ربوع الضّفة - التي يزعم أنها تحت سيطرته - عدوانٌ إسرائيليٌّ صهيونيٌّ وجرائمٌ كبرى وقهرٌ عظيم كمثل جرائم غزَّة؛ بل جرائم تحدث في كافّة ربوع فلسطين؛ جرائمٌ كُبرى نَكراء في حقّ كل فلسطينيّ مُسلِم ومسيحيّ نصرانيّ من الذين هُم أقرب مودَّةً إلى المُسلمين.
فيا للعار على الذين يتفرّجون على جرائم فلسطين، وكأنّهم في سطح القمر! وما كأنّهم جيرانُ مصر صاحبة الجيش الهزبر الغضنفر، وما كأنّ الأقرب إلى شعب عرب غزَّة في الجوار أكبرُ شعبٍ وشراسة وبأس؛ ذلكم الشعب الأبيّ العربيّ المصريّ أكبر شعوب العرب، ورجالٌ أهلُ حميَّة وغيرةٍ عربيَّةٍ، فماذا دهاك أيها السَّيد المحترم الرئيس المصري (عبد الفتاح السيسي)؟! فَمِصر مُلامة بالدرجة الأولى نظرًا لقربهم الشديد من غزَّة المُكرمة.
ويا رجل، إنَّ معك شعب مصر رجالًا لو تخوض البحر لخاضوه وراءك كلهم أجمعون؛ أصحاب وطنيَّة وحميَّةٍ عربيَّةٍ، فارفع رؤوسهم وازأر زئير الأسد، فوالله لو تأذن لهم بمظاهرةٍ في القاهرة على مقربةٍ من بوابة رفح لربما تنسحب إسرائيل من الهلَع من الخط الأصفر والأحمر والأخضر إلى وراء حدود ثمانية وأربعين خشية أن يبتلعهم مائة وعشرون مليون مصري؛ رجال الحميَّة والوطنيَّة والغيرة الإسلاميَّة، فَمِمَّا تخاف يا رجل ومعك الشعب المصري الأبيّ العَرَبيّ يعدل كافة شعوب الجزيرة العربية مجتمعة أو يزيدون؟! فلا تَقُل كما قال الرئيس الرَّاحِل حسني مبارك للزعيم علي عبد الله صالح: "دي أمريكا"، فوالله الذي لا إله غيره إنَّ ترامب زعيم الإرهاب العالميّ لَمِن أجبن الدَّواب إذا تمَّ التعامل معه حتى بِلُغَة الغَضَب وتهديد الحرب بِنِيَّةٍ قلبًا وقالبًا، فمن ثم يُنزل الله في قلبه الرُّعب الشَّديد، فاعتصموا بالله كمثل اليمانيِّين وسوف ترون عجائب قدرة الله، ألا والله لا يستطيع أن يواجه ترامب حتى دولة جزيرة كوبا التي بجانب فلوريدا حين يجد فيهم الغِلظة ونِيَّة الدِّفاع عن أنفسهم كون ترامب يهنّجم هنجمة الثعلب لتحسبوه أسدًا.
ولا ولن يفهم ترامب إلَّا بِلُغَة الحَرب والغِلظة، فهو يهنّجم هنّجمة لينظر ردة فعل مَن يهنّجم عليهم، ولكن إذا جاء رَدُّ التحدّي بالتحدّي فَهُنا يحسب ترامب ربحه مِن خسارته فلا يجرؤ على المُغامرة، وأمَّا اللين أو الذين يُناشِدون مجلس الأُمَم المتحدة - الذين يقولون ما لا يفعلون ويكيلون بمعيارين - فذلك ما يشجعه على الإثم والعدوان، وأمَّا الذين يستعدون لمواجهته وجيشه بأبسَط أسلحة معهم فيعدّون ما استطاعوا؛ فسُرعان ما يُنزل الله الرعب في قلوب المُعتدين نَصرًا من الله ربِّ العالَمين، فَصَدِّقوا الله: {إِنَّ كَيْدَ ٱلشَّيْطَٰنِ كَانَ ضَعِيفًا} [سورة النساء:٧٦]، وصَدِّقوا الله ذا القُوَّة المَتين بوعده: {إِن تَنصُرُوا۟ ٱللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ} [سورة محمد:٧].
ألا وإنَّ مَن يُدافِع عن نفسه وأرضه فلن يدخله الله نارًا وقودها الحجارة، وحتى ولو كان مِن الكافرين وجاهد دِفاعًا عن شعبه وداره وأرضه، فيتقبَّل الله منه حميَّته القوميَّة بالحقّ؛ سُبحان الله العظيم يَغفِر لِمَن يشاء ويُعَذِّب مَن يشاء إنَّ الله لا يُحِبّ المُعتَدين؛ بل الله أعلم بما يفهم به المُعتَدون على حقوق الإنسان، فلن يفهموا إلَّا بِلُغَة الاستعداد للمُواجهة.
ألا والله الذي لا إله غيره لو كان الشعب اليمانيّ له حدود مع إسرائيل إذًا لَما مَكَث العدوان الإسرائيليّ يُعربدُ في الأرض المُباركة، فَلَكَم يغبِط الشعب اليمانيّ شعوب دول الطوق، رغم أنّ شعوب دول الطوق شعوب ذات حَميَّة وشِيمة وغيرة أبيَّة عربيَّة ولكن للأسف عدم جُرأة قادتهم جعلت وجوههم في الوحل أمام العالَمين، فَمِمَّا تخافون؟! فهل يخافون (قادة العرب خاصة والمُسلِمين عامَّة)؟ فهل تخافون من نعيم وتكريم الحياة الأبديَّة المُخلَّدة ذات العزّ الأبديّ الملكوتيّ والنَّعيم العظيم؟! فقد أعلن الله بصفقة البَيع والشراء في آية مُحكَمةٍ بَيِّنةٍ لعُلماء الأُمَّة وعامَّتهم في قول الله تعالى: {۞ إِنَّ ٱللَّهَ ٱشْتَرَىٰ مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ أَنفُسَهُمْ وَأَمْوَٰلَهُم بِأَنَّ لَهُمُ ٱلْجَنَّةَ ۚ يُقَٰتِلُونَ فِى سَبِيلِ ٱللَّهِ فَيَقْتُلُونَ وَيُقْتَلُونَ ۖ وَعْدًا عَلَيْهِ حَقًّا} صدق الله العظيم [سورة التوبة:١١١].
فَمَن ذا الذي يرفُض هذه الصفقة الخالِدة (فيجعلهم الله ملائكةً مِن البَشَر)؟! فلا أعلم لهم ببعثٍ في كتاب الله القرآن العظيم؛ إذًا فَمِمَّا تَخافون ولِمَ عدم الجرأة يا معشر القادة العرب؟! فإذا لم تُلَبّوا الطَّلب بإعلان النَّفير في سبيل الله فنؤكِّد لَكُم أنّ الله لا ولن يزيدكم عِزًّا إلى عِزّكم؛ بل سوف يُعَذِّبكم عذابًا أليمًا ويستبدل قومًا غيركم في الحُكم ثم لا يكونوا أمثالكم.
وعسى الله أن يهدي محمد بن سلمان بعد أن خان الشيطان ترامب وعده لمحمد؛ بل غدر بالأمير محمد بن سلمان.
وأمَّا دعوة النَّفير فَلَم يستجِب باستمرار الدفاع عن شعوبكم وأرضكم ومُقَدَّساتكم إلى حَدِّ الآن غير أنصار الله اليمانيِّين، ورغم عيوب أنصار الله بسبب ترك طبقةٍ منهم محصورةٍ يعيثون في الأرض فسادًا؛ فيظلمون بعض المواطنين تحت سيطرتهم وينهبون أراضيهم ويستحلّون أموالهم، وهم محسوبون على أنصار الله وما هم من أنصار الله الحقّ قلبًا وقالبًا؛ بل أنصار الله الذي رَفَعوا رؤوس اليمانيّين خاصَّةً والعَرَب عامَّةً، وعلى رأسهم قائد من قادات جيش الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليَمانيّ المكرمين ذلكم الأخ الكريم (السيد عبد الملك بدر الدين الحوثي)، واتخذته وليًّا حميمًا، فنحن معهم ما داموا على المَسار الصحيح في حربهم لعدوّ الله وعدوّهم (ترامب) وقبيله (بنيامين) مُجرمي حرب الفَساد الكبير، فليبشروا كافًّة بعزّهم ما داموا على ذلك، فلا ينجَرّوا وراء أحداث الجنوب لتغيير مَسار المعركة بين اليمانيِّين فذلك ما يُريده، ويُفرِح قلوب أعداء الله والشيطان، فلا تُحَقِّقوا لهم ذلك المَكر، ومن أراد خيانتكم فسيكفيكهم الله العزيز الحميد.
وأرجو مِن الله أن يهدي لِما يُحب ويرضى كافّة قلوب أحزاب اليمن والشعب اليمانيّ بأسره وكافَّة قلوب الشعوب وسادتهم، ويؤلِّف بين قلوبهم حتى يصبحوا بنعمته إخوانًا في عصر بَعث خليفة الله على العالَمين الإمام المهديّ ناصِر مُحَمَّد اليَمانيّ، فلا نزال نقول لهم: فلست بأسفهم أن يُظهروني على العالمين؛ بل الله من سوف يُظهِر خليفته على العالَم بأسرِه الإمام المهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ إن كان من الصَّادقين، فاعلَموا أنّ الله مُتِمّ بعبده نُوره ولو كَرِه المجُرِمون ظهوره، وإنَّ لعنة الله على الكاذِبين.
وسلامٌ على المُرسَلين والحَمدُ لله ربِّ العالَمين
أخوكم خليفة الله على العالَم بأسرِه الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليَمانيّ.
______
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..