- 8 -
Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
تاريخ البيان الأصلي
في عام 2005
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=38372

ـــــــــــــــــــ


هذا العام 2005 هو آخر أيام الله لعصر الحياة الدنيا ..
Hu Mwaka 2005 Ni Mwisho Wa Siku Za Allah Kwa Zama Za Maisha Ya Dunia.


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
Kutoka kwa mnusura wa Muhammad Nasser Muhammad Al'Yamani kwa watu wote, Na Salam ju ya atakae fwata uongofu, Ama baada ya hapo..


Enye watu hakika dunia yenu imeisha na mwisho wenu umekuja na imekurubia hisabu yenu na nyinyi muko katika mughafala munakanusha, Na enye watu hakika Amenipa Allah kutokana na ilimu ile hajawapa, Na Amenipa Allah Bayana ya haki ya hi Al'Quran ili niwafafanule kwenu kila kitu ufafanuzi kwa utawala na ushuhuda kutokana na Qurani yenyewe ili niwafundishe yale mulikua hamuyajuwi na muda gani mumeka idadi ya miyaka kwenye ardhi kutoka Alipo waumba mpaka siku ya kufufliwa kwa Siku na saa na dakika na nukta, Basi musikejeli kauli yangu hi hakika nimewajieni kwa Bayana ya haki ya hi Al'Quran Al3adhim ambao nyinyi munakhitilifiana ndani yake; Bali mimi ndio nitakae kuwafahamisha siku ya kufufuliwa kwa idhini ya Allah niwambie nyinyi: Hakika ya kuka kwenu ispokua ni siku moja. Hivo kwajili mimi kuona njia kwenu: Na mjuzi zaidi kuliko wote kwenu kwa Al'Quran lakini wengi wenu hawajuwi. Basi kusanyikeni ili niwafundishe yale ambao mulikua hamuyajuwi sio nyinyi wala wote walio kua kabla yenu maiti wenu na walio hai kwenu wote, Na musikubali kauli kutoka kwangu kwa kiwango ama dhana na ijtihadi kwajili ya dhana haisaidi mbele ya haki kitu; Bali nawambia nyinyi 1 + 1 = 2 Kwa ilimu na mantik ya kifiziki na hisabu kwenye waki ya uhakika mpaka ibainike kwenu ni haki na ni kauli imefasiliwa wala sio mchezo.


Enye watu hakika ispokua Al'Quran ni (Catalog) ya hi ulimwengu mkuu Ameiteremsha Allah imefafanuliwa mbele yenu na nyuma yenu wala hamuna kwa hi Al'Quran ilimu ispokua kidogo kati yake; Bali Hajawpatia Allah kutokana na ilimu ya Al'Quran ispokua kitone katika bahari, Nayo ni Qurani ajabu haiji batili mbele yake wala nyuma yake na ni uwongofu na rahma kwa waumini, Hakika Ameifafanua Allah ndani yake kila kitu ufafanuzi, Lakini wameihama hi Al'Quran wengi wenu, Na ama wasomaji wenu basi wanaipitia kiutukufu kuipitia wala hawatadabar hi Al'Quran ispokua kidogo, Wala sio kwamaba alio hifadhi Al'Quran ni mwanachoni miongoni mwenu; Bali mbora wenu alio jifundisha hi Al'Quran na akifundisha kwa watu kwa kusherehe kwa kufahamisha watu yale Alio Yateremsha Allah kwao, Hio ndio mwangaza na shifa kwa yalioko vifuani.


Enye watu je niwape habari kipindi gani umepita ju yenu katika zama ambacho kwamba Mtu hakuwa ni kitu kinacho tajwa? Na huwenda wakashanga wengi wenu kutokana na khutba hi basi adhani kwamba mimi nazidisha sana na vipi mimi nitaweza kutatua suali hili la kihisabu; Bali jambo ni rahisi sana kwa yule alio mfundisha Allah, Na wala hatoweza mtu yoyot kati yenu kabisa kunijadili kwa hayo kwamba yale alio nipa Allah kutokana na ilimu ni 1 + 1 = 2 Wala Sio kama wengi katika wanazuoni wa falaki wale ambao wao wanakiasisha umri wa mbingu na ardhi basi wanasema miyaka milyari kumi na inne ama miyaka milyari kumi na tano wanazidisha milyari moja ama wanapunguza milyari moja! Hakika hilo jambo ni la kuchekesha; Wanavurumisha ovyo basi huwenda akakosea kwa miyaka milioni miamoja! Billah kwenu ni tafauti kiasi gani baina ya hi na ile? Mamilioni ya miyaka! Basi hi inakhalifu ilimu na mantik, Na kiasi gani tafauti baina ya ilimu ambao Ameiteremsha Allah kwenye hi Al'Quran Al3adhim ambao inahadidisha umri wa maisha ya dunia kutoka kuanzia mpaka kumalizikia kwa mwaka na mwezi na siku na sa na dakika na nukta? Na hakika Ameteremsha Allah kwenye Al'Quran mifunguo miwili ya ilimu ya idadi ya miyaka Akafanya mfunguo kwenye vituo va mwezi na mfunguo katika kuwenda kwa jua, Na siri na siri yote kwenye Eclipse ya jua na kupatwa kwa mwezi, Na kama vile wanavo jua wenye ilimu katika wanazuoni wa falaki kwamba harakati ya jua na mwezi ni harakati ya kiMitambo na kiviziki 1 + 1 = 2 kwa saa na dakika na nukta, Na Akafanya Allah siri ya wakati ulio malumu kwa sik


u ambao ni malum kwenye Eclipse ya jua na kupatwa mwezi kwajili ya hivo amesema Allah Ta3ala:
! {بَلْ يُرِيدُ الْإِنْسَانُ لِيَفْجُرَ أَمَامَهُ ﴿٥﴾ يَسْأَلُ أَيَّانَ يَوْمُ الْقِيَامَةِ ﴿٦﴾ فَإِذَا بَرِقَ الْبَصَرُ ﴿٧﴾ وَخَسَفَ الْقَمَرُ ﴿٨﴾ وَجُمِعَ الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ ﴿٩﴾ يَقُولُ الْإِنْسَانُ يَوْمَئِذٍ أَيْنَ الْمَفَرُّ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [القيامة].
Allah Ta3ala Asema: { Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake (5) Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama (6) Basi jicho litapo dawaa (7) Na mwezi utapo patwa (8) Na likakusanywa jua na mwezi (9) Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqyama].


Enye ma3ashara ya waislamu, Hakika Allah hakusema haya kuwafanyia istihizai kwa wanao uliza Subhanahu Ametukuka; Bali Ame'eleza watu kweny hi Al'Quran Al3adhim lini siku ya kiyama kwa mwaka na mwezi na siku na dakika na nukta, Na Siku za Allah sio kama siku za binadamu zinaongezeka na zinapungua; Bali ni madhbuti kwa saa na dakika na nukta basi hairefuki siku kwa siku kabisa; Bali siku sawa kwa waulizaji:
{لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ} [يس:٤٠]؛
{ Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao } [ Yasin :40];
Kutoka ilipo anza jua harakati kutoka pahala pake mpaka litakapo rudi kwenye hapo lilipo tokea, Alafu linashika hendbrek ya ( Matairi ) baada kufika kwake kwenye nukta ilipo anza kutembea kwake siku Alipo Umba Allah mbingu na ardhi alafu ikaanza mzunguko wakati ulipo anza kutembea jua mashini ya treni ikatembea treni ikanza kutembea ardhi na mwezi ikaanza zama kukata nukta yake ya kwanza na zote zinaogelea mpaka ajali imewekwa mpaka mwisho wa safari, Alafu linasmama jua na mwezi na ardhi alafu yanguka majabali kwa kubomoka kama mfano alio panda gari nyuma ya kibin gafla dereva amepiga breki matairi na akavuta handbrak kwa pamoja basi alio panda nyuma atanguka kwenye bonet na yule alio ka nyuma ya dereva atagonga kwa dreva na yule alio ka mbele na dreva watagongeka kwenye kio cha mbele na hivo hivo ardhi na viliomo ndani yake kutokana na ma jabali na bahari majabali yatanguka kubomoka na bahari zitafura kuruka kwa pamoja kwa nukta moja.


Na ama ma kasri ya binadamu hazibomoki kama vile zinavo bomoka wakati wa zilzala; Bali zinaruka kwa jiwe moja moja, Na hivo hivo watu wataruka kama inavo ruka nondo inavo tawanyika, Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa ispokua Allah ashike ma jabali na bahari na manyumba ziondoke kwa nguvu Zake Na Uwezo Wake hakika ya Allah kwa watu ni Mpole Mrahimu lakini wengi wa watu hawashukuru.


Enye watu, Hakika mimi nawahadharisha kutokana na mwezi wa muharam 1426h Kuwa mwaka hu 2005 / 1426h ni siku ya mwisho ya Allah ya zama za maisha ya dunia ambao ilichomoza jua lake fajri ya alhamisi ramadhani ya kumi na inne 1425h imeanza na kupatwa kwa mwezi fajri ya alhamisi ramadhani kumi na inne 1425h alafu linazama jua alhamisi katika ramadhani ya kumi na tatu1426h wakati wa kukamilika mwezi kua kamili albadr ful moon ya mwezi wa ramadhani 1426 na kwa wakati ulio sahihi kabisa usiku wa kumi na inne katika ramadhani 1426 jumatatu.


Hio ndio siku ya albadr ilio barikiwa ambao ndani katika usiku huo hubainishwa kila jambo la hikima, Na hio ndio usiku ulio barikiwa ambo ilishuka ndani yake Al'Quran Al3adhim ju ya alio khitimisha ma Nabi na Mitume Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Hio ndio siku ya kutenganisha siku walipo kutana mapoti mawili katika vita va badar ili Angamize alio angamizwa kwa kubainika na kuhuyika mwenye kuhuyika kwa kubainika, Na tarehe na wakati kwa tarehe na wakati wa makaa almukarama usiku wa kumi na inne ramadhani sa kuminambili sawa sawa linazama jua alafu inadhihirika mwezi kua kamili ful moon albadr kwa upande wa mashariki mpaka pindi ikipanda kidogo munaona sayari inadhihirika upande wa mwezi kwe Kaskazini ya mashariki ya mwezi kulingana na mwelekeo ya anao uwangalia, Na hi tarehe ni kwa siku zenu, Na siku za Allah sio siku zenu, Basi siku yenu ni masa 12 na usik


u wenu ni masa 12 inaongezeka na kupungua na ama siku za Allah basi nazo ni siku ziko sawa, Basi siku Moja kwa Allah ni miyezi 12 sawa sawa usiku Wake ni miyezi sita na mchana wake ni miyezi sita basi sisi twahisabu mzunguko dhalulana kwa nafsi yake mwaka kamili hakuna upungufu siku 360 hakuna cha kuongeza wala kupunguza, Lakini kwa Allah ispokua ni siku moja pekeyake urefu wake ni miyezi kumi na mbili kimwezi sawa sawa, Na madamu siku moja Kwa Allah urefu wake ni mwaka kamili kwahivo mwezi moja kwa Allah ni miyaka thalathini, Kwahivo mwaka moja kwa Allah ni miyaka 360, Na kuhusu tarehe ya umri wa maisha ya dunia ya wanadamu sio ispokua ni miyaka alfu moja pekeyake kutoka Alipo Mumba Allah Adam mpaka siku ya kufufuliwa sio ila ni miyaka alfu moja sawa sawa kwa usahihi kabisa, ispokua siku zake katika miyaka ambao tunahisabu sisi basi kwa kila mwaka katika hizo ma elfu inakua sawa na miyaka 360 basi tupige 360 kwa 1000 = myaka alfu 360 kwa sa na dakika na nukta, Na hi ikiwa tutahisabu kwa mzunguko wa mwezi na ardhi.


Ama mzunguko wa jua sio ila ni siku moja pekeyake na mzunguko moja pekeyake, Na hivo ni kwajili siku moja ya kifalaki ya kijuwa kwa Allah ni miyaka alfu 360 kwa hisabu tunao hisabu sisi lakini njoni tuangalie ni muda gani ulipita kwa mtu alikua sio kitu cha kutajwa kutoka Alipo umba Allah mbingu na ardhi, Hakika imepita umri wa dunia miyaka alfu arabini na tisa, Na tusisahau kwamba kila miyaka alfu inakua sawa na miyaka alfu 360 kwa vile tunavo hisabu sisi, Na ili tupate umri wa mbingu na ardhi tutapiga miyaka alfu 360 kwa miyaka alfu khamsini na hivo ni kwajili umri wote wa mbingu na ardhi kutoka mwanzo mpaka mwisho kwa sa na dakika na nukta ni miyaka alfu khamsini uswahihi kabisa, Na tusisahau kwamba kila miyaka alfu katika miyaka alfu hamsini inakua sawa na miyaka alfu 360 Kwa hisabu tunayo hisabu sisi kwa mzunguko wa ardhi kwa nafsi yake na bado Hajaumba Allah Mtu ispokua katika mwanzo wa mwisho wa alfu katika myaka alfu hamsini. Kwahivo imekuja kwa mtu myaka alfu 49 Hakua ni kitu cha kutajwa. Na Akasema Ta3ala:
{يَوْمَ يُنْفَخُ فِي الصُّورِ وَنَحْشُرُ الْمُجْرِمِينَ يَوْمَئِذٍ زُرْقًا ﴿١٠٢﴾ يَتَخَافَتُونَ بَيْنَهُمْ إِنْ لَبِثْتُمْ إِلَّا عَشْرًا ﴿١٠٣﴾ نَحْنُ أَعْلَمُ بِمَا يَقُولُونَ إِذْ يَقُولُ أَمْثَلُهُمْ طَرِيقَةً إِنْ لَبِثْتُمْ إِلَّا يَوْمًا ﴿١٠٤﴾} صدق الله العظيم [طه].
Allah Ta3ala Asema: { Siku litakapo pulizwa barugumu, na tukawakusanya wakhalifu Siku hiyo, hali macho yao ya kibuluu (102) Watanong'onezana wao kwa wao: Hamkukaa ila siku kumi tu (103) Sisi tunajua zaidi watakayo yasema, atakapo sema mbora wao katika mwendo: Nyinyi hamkukaa ila siku moja tu (104)} Sadaqa Allah Al3adhim [Twaga],


Na maana ya kauli Yake Ta3ala:
{نَحْنُ أَعْلَمُ بِمَا يَقُولُونَ}
{ Sisi tunajua zaidi watakayo yasema }
Yani Anajua ile mada ambao wanasema ndani yake muda gani walika katika ardhi idadi ya miyaka nayo ni siku moja pekeyake; Miyaka alfu moja munavo hisabu, Na maana ya Kauli Yake:
{كَأَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ}
{ Kama miyaka alfu moja munavo hisabu } Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj:47],
Na hivo ni kwasababu ya siku moja pekeyake inakua sawa kwenye hisabu yetu mwaka moja, Na hi miyaka alfu moja na kila mwaka katika hi miyaka alfu unaongeza kwake siku 360, Na tusisahau kwamba siku moja ya Allah ni miyezi 12 na ikiwa urefu wa siku ni mwaka kwahivo kila mwaka kutokana na miyaka alfu inakua sawa na miyaka 360 Alafu tupige 360 kwa miyaka 1000 = miyaka alfu 360, Hio ndio muda walio ishi wanadamu kwenye ardhi. Na kwa kujuza kwamba Allah Ameumba ardhi kwa siku mbili nazo ni jumamosi na jumapili na tusisahau msingi haswa kwamba siku moja ya Allah ni miyezi 12 kwa hivo Ameumba Allah ardhi kwa miyaka miwili na Akakadiria ndani yake chakula chake katika miyaka miwili ikawa siku inne sawa sahihi kwa waulizaji, Na urefu wa kila siku ni miyezi 12 na hivo hivo Ameumba mbingu katika siku mbili Akamaliza ku'umba mbingu na ardhi siku ya alkhamisi alafu Aksema kwa mbingu na ardhi mutanijia kwa kupenda ama kwa kulazimisha wakasema tutakuja kwa kupenda, ikaanza kutembea siku ya juma 1 ramadhani sa sita adhuhuri kwa wakat


i wa maka almukarama na ilikua jua kwenye hali ya Eclipse kulekea kaaba na ilikua wakati huo kaba haiko lakini pahala ya nyumba ambao Amekadiria Allah hapo kujenga nyumba ya zamani. Na ilikua Eclipse ya kwanza kwenye ramadhani moja mwaka wa kwanza, Na ilikua kupatwa kwa mwezi mara ya kwanza ni usiku wa kumi na inne katika ramadhan wala sio kuminatano bali ni katika usiku wa kumi na inne katika ramadhani mwaka wa kwanza mwanzo wa milele wote, Na siku moja kwa Allah kutoka ramadhani mpaka ramadhani yani kutoka usiku wa lelatulqadri mpaka lelatulqadri.


Na nawajuza wote ilimu kwamba Eclipse ya jua inao kuja itakua katika ramadhani siku ya juma tatu saa sita adhuhuri kwa wakati wa makaa almukarama na mwezi wa shaaban hapana budi kwake ispokua iwe siku thalathini na siku ya juma tatu ni siku ya kufunga kwa tarehe 1 ramadhani 1426 kulingana na tarehe ya ki hijria ama kwa tarehe ya milele basi ni ramadhani alfu 360 kutoka Alipo mumba Allah Adam mpaka siku ya kufufuliwa na imeisha khutba na kauli ya sawa kutokana na ilimu ya kitabu na salam kwa anae fwata uongofu.


Ndugu yenu Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ

اقتباس المشاركة 38372 من موضوع من صاحب علم الكتاب إليكم بيان عدد السنين والحساب ..

- 8 -
الإمام ناصر محمد اليماني
تاريخ البيان الأصلي من عام 2005
ـــــــــــــــــــ



هذا العام 2005 هو آخر أيام الله لعصر الحياة الدنيا ..

بسم الله الرحمن الرحيم، من الناصر لمحمدٍ ناصر محمد اليماني إلى الناس أجمعين، والسلام على من اتبع الهدى، أما بعد..
أيها الناس، لقد انتهت دنياكم وجاءت آخرتكم واقترب حسابكم وأنتم في غفلة معرضون.

يا أيها الناس، لقد أتاني الله من العلم ما لم يأتِكم، وأتاني الله البيان الحقّ لهذا القرآن حتى أُفصّل لكم كلّ شيء تفصيلاً بالسلطان والبرهان من نفس القرآن لأُعلمكم بما لم تكونوا تعلمون وكم لبثكم في الأرض عدد سنين من يوم خلقكم إلى يوم البعث باليوم والساعة والدقيقة والثانية، فلا تستهزئِوا بقولي هذا فقد جئتكم بالبيان الحقّ لهذا القرآن العظيم الذي أنتم فيه مختلفون؛ بل أنا من سوف يفتيكم في يوم البعث بإذن الله فأقول لكم: إن لبثكم إلا يوماً، ذلك بأني أمثلُكم طريقةً وأعلَمُكم بالقرآن ولكن أكثركم لا يعلمون.

هلمّوا لأعلّمكم بما لم تكونوا تعلمون لا أنتم ولا جميع من قبلكم أمواتكم وأحياءكم أجمعين، فلا تقبلوا مني قولاً بالنسبية والظنّ والاجتهاد ذلك بأنّ الظنّ لا يغني من الحقّ شيئاً؛ بل أقول لكم 1 + 1 = 2 بالعلم والمنطق فيزيائيّاً ورياضيّاً على الواقع الحقيقي حتى يتبيّن لكم أنه الحقّ وأنه قولٌ فصْلٌ وما هو بالهزل.

يا أيها الناس، إنّما القرآن (كتالوج) لهذا الكون العظيم أنزله الله مفصلاً لما بين أيديكم وما خلفكم ولا تحيطون بهذا القرآن علماً إلا قليلاً منه؛ بل لم يؤتِكم الله من علم القرآن إلا قطرةً من بحرٍ، وإنّه لقرآنٌ عجبٌ لا يأتيه الباطل من بين يديه ولا من خلفه هدى ورحمة للمؤمنين، قد فصّل الله فيه كلّ شيءٍ تفصيلاً، ولكن اتَّخذ كثيرُكم هذا القرآن مهجوراً، فأمّا قُرّاؤكم فيمرّون عليه مرور الكرام فلا يتدبّرون هذا القرآن إلا قليلاً،
وليس العالِم منكم من حفظ هذا القرآن؛ بل خيركم من تعلّم هذا القرآن وعلّمهُ للناس بالشرح لتفهيم الناس ما أنزل الله إليهم، ذلك هو النور وشفاء لما في الصدور.

يا معشر البشر، هل أُنبئكم كم مضى عليكم حينٌ من الدهر لم يكن الإنسان شيئاً مذكوراً؟ وقد يستغرب كثير منكم من هذا الخطاب فيظنّ بأني مبالغ كثيراً وكيف لي أن أستطيع هذه المسألة الحسابيّة؛ بل الأمر بسيطٌ جداً لمن علمّه الله، ولن يستطيع أحدٌ منكم أن يجادلني ذلك بأنّ ما أتاني الله من العلم هو 1 + 1 = 2 وليس كمثل كثيرٍ من علماء الفلك الذين يحددون عمر السماوات والأرض فيقول أربعة عشر مليار عامٍ أو خمسة عشر مليار عامٍ يزيد مليار أو ينقص مليار! فهذا شيء مضحك؛ رجمٌ بالغيب فقد يخطئ في عشر مئات مليون عام! بالله عليكم كم الفرق بين هذا وذلك؟ ملايين السنين! فهذا مخالف للعلم والمنطق، فكم الفرق بين العلم الذي أنزله الله في هذا القرآن العظيم الذي يحدد عمر الحياة الدنيا من البداية إلى النهاية بالسنة والشهر واليوم والساعة والدقيقة والثانية!

وقد أنزل الله في القرآن مفتاحين لعلم عدد السنين، فجعل مفتاحاً في منازل القمر ومفتاحاً في جريان الشمس، والسرّ كل السرّ في كسوف الشمس وخسوف القمر. وكما يعلم أهل العلم من علماء الفلك بأنّ حركة الشمس والقمر حركة ميكانيكية وفيزيائية 1 + 1 = 2 بالساعة والدقيقة والثانية، وجعل الله سرّ الوقت المعلوم لليوم المعلوم في كسوف الشمس وخسوف القمر، لذلك قال تعالى: {بَلْ يُرِيدُ الْإِنْسَانُ لِيَفْجُرَ أَمَامَهُ ﴿٥﴾ يَسْأَلُ أَيَّانَ يَوْمُ الْقِيَامَةِ ﴿٦﴾ فَإِذَا بَرِقَ الْبَصَرُ ﴿٧﴾ وَخَسَفَ الْقَمَرُ ﴿٨﴾ وَجُمِعَ الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ ﴿٩﴾ يَقُولُ الْإِنْسَانُ يَوْمَئِذٍ أَيْنَ الْمَفَرُّ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [القيامة].

يا معشر المسلمين، إنّ الله لم يقل هذا استهزاءً للسائلين سبحانه؛ بل أخبر الناس في هذا القرآن أيّان يوم القيامة بالسّنة والشهر واليوم والساعة والدقيقة والثانية، وأيام الله ليست كأيام البشر تزيد وتنقص؛ بل مضبوطة بالساعة والدقيقة والثانية فلا يطول يومٌ عن يومٍ على الإطلاق؛ بل أيامٌ سواء للسائلين:
{لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ ﴿٤٠} [يس]؛ منذ أن تحركت الشمس من مستقرّها حتى تعود إلى نفس النقطة، ثم تمسك همبريك (فرامل) بعد وصولها في نقطة المستقر التي تحركت منها يوم خلق الله السماوات والأرض، ثم ابتدأ الدوران حين انطلقت الشمس مكنة القطار فانطلقت عربات القطار، وتحركت الأرض والقمر، وابتدأ الدهر قاطعاً ثانيته الأولى، وكلٌّ يجري إلى أجل مسمى حتى نهاية الرحلة، ثم تتوقف الشمس والقمر والأرض فتخرّ الجبال هدّاً كمثل راكب في سيارةٍ على سطح الغمارة وفجأة ضرب السائق على الفرامل ومسك همبريك معاً فسوف يخرّ الراكب على سطح الغمارة ساقطاً على الكبوت والذي في مؤخرة الصندوق سيرتطم في غمارة السائق والركاب الذين في غمارة السائق سيرتطمون في الزجاج الأمامي وكذلك الأرض وما عليها من الجبال والبحار الجبال تخرّ هدّاً والبحار تنسجر معاً قافزةً قفزةً واحدةً معاً في ثانيةٍ واحدةٍ. وأما قصور البشر فلا تنهد كمثل ما تنهد عند الزلزال؛ بل تتطاير على حجر حجر، وكذلك البشر يتطايرون كما يتطاير الفراش المبثوث، والجبال كالعهن المنفوش إلا أن يمسك الله الجبال والبحار والقصور أن تزول بحوله وقوته، إن الله كان بالناس لرؤوفاً رحيماً ولكن أكثر الناس لا يشكرون.

يا أيها الناس، إني أحذِّركم من شهر محرّم 1426هـ بأنّ هذا العام 2005 مـ / 1426 هـ هو آخر أيام الله لعصر الحياة الدنيا الذي أشرقت شمسه فجر الخميس الرابع عشر من رمضان 1425هـ مُبتدئاً بخسوف القمر فجر الخميس الرابع عشر من رمضان 1425هـ ثم تغيب شمس الخميس في الثالث عشر من رمضان 1426 عند اكتمال البدر لشهر رمضان 1426 وبالتوقيت الدقيق ليلة الرابع عشر من شهر رمضان 1426 الموافق الإثنين.

تلك هي ليلة البدر المباركة التي فيها يفرق كلّ أمر حكيم، وتلك هي الليلة المباركة التي نزل فيها القرآن العظيم على خاتم الأنبياء والمرسلين محمد صلى الله عليه وآله وسلم، ذلك يوم الفرقان يوم التقى الجمعان في غزوة بدر ليهلك من هلك عن بيّنةٍ ويحيى من حيَّ عن بيّنةٍ، والتاريخ والوقت بتاريخ ووقت مكة المكرمة ليلة الرابع عشر من رمضان الساعة السادسة تماماً تغيب الشمس ثم يظهر القمر بدراً من الشرق حتى إذا ارتفع قليلاً تشاهدون كوكباً يظهر إلى جانب القمر إلى الشمال الشرقي من القمر بالنسبة لاتجاه الناظر إليه، وهذا التاريخ بأيامكم، وأيام الله غير أيامكم، فيومكم 12 ساعة وليلكم 12 ساعة وتزيد وتنقص،
أمّا أيام الله فهي أيام سواء، فاليوم عند الله 12 شهراً تماماً ليله ستة أشهرٍ ونهاره ستة أشهرٍ، فنحن نحسب دورة ذلولنا حول محوره سنة كاملة فلا نسيء فيها 360 يوماً بلا زيادة أو نقصان، ولكن عند الله ليس إلا يومٌ واحدٌ فقط طوله اثني عشر شهراً قمريّاً تماماً، وما دام اليوم عند الله طوله سنة كاملة إذاً الشهر عند الله ثلاثون سنة، إذا السنة عند الله 360 سنة.

وبالنسبة لتاريخ عمر الحياة الدنيا البشرية ليس إلا ألف عامٍ فقط منذ أن خلق الله آدم إلى يوم البعث ليس إلا ألف عام تماماً في منتهى الدقة، غير أنّ أيامه من السنين التي نعدها نحن، فكلّ سنة من هذه الألف تساوي 360 سنة فلنقم بضرب 360 في 1000= 360 ألف سنة وهذا ما لبثه البشر من يوم خلقهم إلى يوم بعثهم 360 ألف سنة بالساعة والدقيقة والثانية، وهذا إذا قمنا بحسابه على دوران الأرض والقمر.

أما الدورة الشمسيّة فليست إلا يوماً واحداً فقط ودورةً واحدةً فقط، ذلك بأنّ اليوم الفلكي الشمسيّ عند الله 360 ألف سنة مما نعده نحن.

ولكن تعالوا ننظر كم أتى على الإنسان حين من الدهر لم يكن شيئاً مذكوراً منذ أن خلق الله السماوات والأرض، لقد مرّ من عمر الدنيا تسعة وأربعون ألف عام، ولا ننسى بأنّ كلّ ألف عام يساوي 360 ألف سنة مما نعده نحن، وحتى نحصل على عمر السماوات والأرض نقوم بضرب 360 ألف سنة في خمسين ألف سنة ذلك بأنّ العمر الكلي للسماوات والأرض من البداية إلى النهاية بالساعة والدقيقة والثانية هو خمسين ألف سنة تماماً، ولا ننسى بأنّ كل ألف من الخمسين ألف يساوي 360 ألف سنة مما نعده نحن بدورة الأرض حول محورها ولم يخلق الله الإنسان إلا في بداية آخر ألف من الخمسين ألف سنة. إذاً قد أتى على الإنسان 49 ألف سنة لم يكن شيئاً مذكوراً. وقال تعالى:
{يَوْمَ يُنْفَخُ فِي الصُّورِ وَنَحْشُرُ الْمُجْرِمِينَ يَوْمَئِذٍ زُرْقًا ﴿١٠٢﴾ يَتَخَافَتُونَ بَيْنَهُمْ إِنْ لَبِثْتُمْ إِلَّا عَشْرًا ﴿١٠٣﴾ نَحْنُ أَعْلَمُ بِمَا يَقُولُونَ إِذْ يَقُولُ أَمْثَلُهُمْ طَرِيقَةً إِنْ لَبِثْتُمْ إِلَّا يَوْمًا ﴿١٠٤﴾} صدق الله العظيم [طه].

ومعنى قوله تعالى:
{نَحْنُ أَعْلَمُ بِمَا يَقُولُونَ} أي بعلم الموضوع الذي يتخافتون فيه كم لبثوا في الأرض عدد سنين وهو يومٌ واحدٌ فقط؛ ألف سنةٍ مما تعدون. ومعنى قوله ألف سنةٍ مما تعدون ذلك بأنّ اليوم الواحد فقط يساوي في حسابنا سنة واحدة، وهذه ألف سنةٍ وكلّ سنة من هذه الألف سنة تريد لها 360 يوماً، ولا ننسى بأنّ اليوم عند الله 12 شهراً، فإذا كان طول اليوم سنة إذاً كل سنة من الألف سنة تساوي 360 سنة ثم نضرب 360 في 1000 سنة = 360 ألف سنة، ذلك ما لبثه بنو البشر في الأرض. وللعلم بأنّ الله خلق الأرض في يومين وهما السبت والأحد ولا ننسى القاعدة الرئيسية بأن اليوم عند الله 12 شهراً، إذاً الأرض خلقها الله في سنتين وقدَّر فيها أقواتها في سنتين فأصبحت أربعة أيام سواء للسائلين، فطول كل يوم 12 شهراً وكذلك خلق السماء في يومين فانتهى من خلق السماوات والأرض يوم الخميس ثم قال للسماء والأرض اِئْتيا طوعاً أو كرهاً قالتا أتينا طائعين، فابتدأ الجريان يوم الجمعة واحد رمضان الساعة الثانية عشر ظهراً بتوقيت مكة المكرمة وكانت الشمس في حالة كسوف سمت الكعبة ولم تكن الكعبة موجودة حين ذلك، ولكن مكان البيت الذي يقدّر الله فيه بناء البيت العتيق، وكان أول كسوف هو في 1 رمضان سنة واحد، وكان أول خسوف قمريّ هو في ليلة الرابع عشر من رمضان وليس في ليلة الخامس عشر بل في ليلة الرابع عشر من رمضان سنة واحد غرّة الدهر كلّه، واليوم عند الله من رمضانٍ إلى رمضانٍ أي من ليلة القدر إلى ليلة القدر.

وأحيط الجميع علماً بأنّ كسوف الشمس القادم سوف يكون في واحد رمضان يوم الإثنين الساعة 12 ظهراً بتوقيت مكة المكرمة وشهر شعبان لا بد له أن يكون ثلاثين يوماً، فيوم الأحد هو ثلاثون شعبان ويوم الإثنين هو يوم الصيام بتاريخ 1 رمضان 1426 حسب التاريخ الهجري أما بتاريخ الدهر فهو رمضان رقم 360 ألف من يوم خلق آدم إلى يوم البعث، وانتهى الخطاب والقول الصواب من علم الكتاب، والسلامُ على من اتَّبع الهدى.

أخوكم الإمام المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني .
______________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..