UKhilafa Baada Ya Ma Nabi Nayo Ni Ya Ambae Anae Juwa Zaidi Kwa Kitabu Cha Allah

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=5293
- 1 -

Majibu Ya Al’Imam Kwa Al’Jaludi: Nawapa Fatwa Kwa Haki Kwamba Khilafa Baad Ya Ma Nabi Nayo Ni Ya Ambae Anae juwa Zaidi Kwa Kitabu Allah ..
ردود الإمام على الجالودي: أفتيكم بالحقّ أنّ الخلافة من بعد الأنبياء هي للأعلم بكتاب الله ..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..

Na Salamu Allah Juu Yako Ndugu Mkarimu Na ju ya ma anssar na wote waislamu na nawapa fatwa kwa haki kwamba Khilafa baada ya Ma Nabi nayo ni ya ambae anajua zaidi kwa kitabu cha Allah basi atakae mzidisha Allah zaidi katika ilimu ya kitabu baada ya Nabi basi hio ni ushuhuda kutoka kwa Mola Mlezi wa Ulimwengu kwamba Allah Amemteua Khalifa wa Waumini na mfalme juu yao kwa Amri Ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:

{وَقَالَ لَهُمْ نَبِيُّهُمْ إِنَّ اللَّهَ قَدْ بَعَثَ لَكُمْ طَالُوتَ مَلِكًا قَالُوا أَنَّى يَكُونُ لَهُ الْمُلْكُ عَلَيْنَا وَنَحْنُ أَحَقُّ بِالْمُلْكِ مِنْهُ وَلَمْ يُؤْتَ سَعَةً مِنَ الْمَالِ قَالَ إِنَّ اللَّهَ اصْطَفَاهُ عَلَيْكُمْ وَزَادَهُ بَسْطَةً فِي الْعِلْمِ وَالْجِسْمِ وَاللَّهُ يُؤْتِي مُلْكَهُ مَنْ يَشَاءُ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ} صدق الله العظيم [البقرة:247].
Allah Ta3ala Asema:
{Na Nabii wao akawaambia: Mwenyezi Mungu amekuteulieni Taluti (Sauli) kuwa ni mfalme. Wakasema: vipi atakuwa na ufalme juu yetu, na hali sisi tuna haki zaidi kupata ufalme kuliko yeye, naye hakupewa wasaa wa mali? Akasema: Mwenyezi Mungu amemteua yeye juu yenu na amemzidishia ukunjufu wa ilimu na kiwiliwili. Na Mwenyezi Mungu humpa ufalme wake amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mjuzi } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:247].

ispokua mfano wa Al’imam Ali kama mfano wa Talut Katika Bani Israil na imebainika kwenu kwamba ushuhuda wa uongozi wa Ukhalifa na Uwimamu nayo ni ya kwamba anamzidishia Allah yule ambae amemteua Zaidi ukunjufu katika ilimu ya kitabu juu ya wanazuoni wa waislamu, Na napata kwa kitabu cha Allah kwamba yule amabe anaesoma Bayana ya Al’Quran baada Mtume kwamba yeye shahidi kutokana nae. Yani ni kutoka Al bayit ya Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Aleyhi wa Salam. Kusadikisha Kauli Allah Ta3ala:
{أَفَمَن كَانَ عَلَى بَيِّنَةٍ مِّن رَّبِّهِ وَيَتْلُوهُ شَاهِدٌ مِّنْهُ وَمِن قَبْلِهِ كِتَابُ مُوسَى إِمَامًا وَرَحْمَةً أُوْلَئِكَ يُؤْمِنُونَ بِهِ وَمَن يَكْفُرْ بِهِ مِنَ الأَحْزَابِ فَالنَّارُ مَوْعِدُهُ فَلاَ تَكُ فِي مِرْيَةٍ مِّنْهُ إِنَّهُ الْحَقُّ مِن رَّبِّكَ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لاَ يُؤْمِنُونَ} صدق الله العظيم [هود:17].
Allah Ta3ala Asema:
{Basi je, mtu aliye na dalili wazi itokayo kwa Mola wake Mlezi, inayo fuatwa na shahidi anaye toka kwake, na kabla yake kilikuwa Kitabu cha Musa kilicho kuwa mwongozi na rehema - hao wanamuamini, na anaye mkataa katika makundi, basi Moto ndio pahala pa miadi yao. Basi usiwe na shaka juu ya hayo. Hii ni Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi; lakini watu wengi hawaamini } Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:17].

Basi inao kusudiwa kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَفَمَن كَانَ عَلَى بَيِّنَةٍ مِّن رَّبِّهِ}
{Basi je, mtu aliye na dalili wazi itokayo kwa Mola wake Mlezi} Anae kusudiwa ni babu yangu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Na Ama Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَيَتْلُوهُ شَاهِدٌ مِّنْه}

{inayo fuatwa na shahidi anaye toka kwake} Basi Nae Anakusudia ni kutoka kwa watu wa nyumba yake Nae ni babu yangu Al’imam Ali Juu yake Sala na Salam, Ispokua anakusudia kuisoma Bayana yake, Ama kuisoma Qurani yake basi wanisoma ma Swahaba wote walio kirimiwa.


Na ewe ndugu mkarimu hakika mimi sitaki kuingia katika haya mbo ambayo yamepita na ikaisha kwajili hazina faida tena kuthibitisha katika haki pamoja nayo katika huo umma, Basi umma huo ushapita juu yao yale walio yatuma na juu yenu yale mulio yatuma na wala hatotufanyia sisi Allah juu ikhtilafi zao na hisabu yao iko juu ya Mola Mlezi wao lau ingekua munajua; Bali inao ni himu mimi kwamba niwalinganie kwa yale alio kuja nayo Muahmmad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Salam, Na ama Babu yangu Al’Imam Ali basi hakumfanya Allah ni Nabi wala Mtume mpaka niwahoji nae ili nithibitishe jambo lake kwasababu mimi sijawambia nyinyi amesema Ali basi tegemeni kauli yake, Ama niwambie nyinyi amesema Abubakar Ama Omar ama Othman, Wala Sina mimi ila Amesema Allah Na Amesema Mtume Wake, Wala sio muhimu kwangu sehemu zinazo tokea ma hadithi na mapokezi yake ikiwa imekhalifu aya muhakama ilio wazi maana yake katika Al’Quran Basi katu sitofwata hadithi imekhalifu aya kwenye muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran hata kama ametoa riwaya yake Al’Imam Ali na Abubakar na Omar na Othman na wote ma swahaba walio kirimiwa nisingefwata hadithi imetoka riwaya yake ktoka kwao nayo imekhalifu katika muhakam kitabu cha Allah, Wala sito wakosowa ma Swahaba wa Babu yangu Muhammad Mtume wa Allah kitu; Bali nitakosowa mahdithi zilo zushwa nizibomowe kwa muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Al3adhim mara hizo zabomoka.

Na ewe ndugu yangu mkarimu Aljaludi, Na je wataka umwingize Al’Imam Al’Mahdi katika mvutano na ma sunni na ma shia na uturegeshe azali ya zamani? Kama kwamba Al’Imam Ali Yuko Baina yetu mpaka utake kwangu nithibitishe ukhalifa wake baada ya Mtume kwa kupokea uongozi! Bali haini himu kwamba nithibitishe yeye ndio Khalifa baada ya Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu juu yao wote wa usalim tasliman, Na hivo ni kwajili haina tena faida, Kwajili ya hivo namswalia juu ya Al’imam Ali na Abubakar na Omar na Othman na usalim ju yao wote tasliman, Na hisabu yao juu ya Mola Mlezi wao wala hakunifanya Allah juu yao wakili, Na wala hatoniuliza Allah kuhusu khilafu zao kitu.

Na mimi ni Al’imam Al’Mahdi najilazimu na kauli ya Allah Ta3ala katika muhakam ilo wazi kitabu chake:
{تِلْكَ أُمَّةٌ قَدْ خَلَتْ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَلَكُم مَّا كَسَبْتُمْ وَلاَ تُسْأَلُونَ عَمَّا كَانُوا يَعْمَلُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:141]،
Allah Ta3ala Asema: {Hao ni watu walio kwisha pita. Wao watapata waliyo yachuma, na nyinyi mt apata mliyo yachuma, wala hamtaulizwa nyinyi yale waliyo kuwa wakifanya wao } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:141],
Basi jiunga ewe Aljaludi kwa Al’Imam Al’Mahdi ili tuwafanye ma shia na ma suni na yote baki ya mapoti ya kislamu hizbu ya Allah kwenye ardhi moja kwa pamoja juu ya neno la sawa baina yetu sote kwamba tusimwabudu ispokua Allah wala tusimshirikishe nae kitu na tufwate Kitabu cha Allah na sunna ya Mtume ya kweli, Wala sio juu yetu katika khilafu na ungomvi ya ma umma yalio pita basi hatotufanyia hisabu Allah juu yao kitu. Kusadikisha Kwa fatwa ya Allah kwa haki:
{تِلْكَ أُمَّةٌ قَدْ خَلَتْ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَلَكُم مَّا كَسَبْتُمْ وَلاَ تُسْأَلُونَ عَمَّا كَانُوا يَعْمَلُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:141].
Allah Ta3ala Asema:
{Hao ni watu walio kwisha pita. Wao watapata waliyo yachuma, na nyinyi mt apata mliyo yachuma, wala hamtaulizwa nyinyi yale waliyo kuwa wakifanya wao } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:141].

Na hivo ni kwajili Allah Atawauliza kuhusu umma wenu ambao katika kizazi chenu kwenye zama zenu ingekua munajua, Basi njoni upande wa Al’imam Al’Mahdi ili tulifanye hili umma umma moja juu ya njia ilio nyoka ma ndugu kwa neema ya Mola Mlezi wao katika dini hawamshirikishi Allah na kitu, Basi wao ni waislamu Na vipi munataka kwamba mukinaishe watu kwa dini yenu enyi ma3shara ya waislamu na nyinyi ndani yake munakhitilifiana? Basi fanyeni bidi na mimi enyi ma3ashara ya wanazuoni wa kislamu kwajili ya kurekibisha umma wenu na kukusanya mtawanyiko wenu ili mngongo wenu uwe na nguvu na lirudi azimio lenu na Awape Uongozi Allah katika ardhi kama alivo wapa uongozi wale kabla yenu na awakitishie kwenu dini yenu ambao Amewaridhia nayo; Sharti kutoka kwa Allah ju yenu kwamba muabudu Allah wala musimshirikishe nae kitu, Na jee nyinyi ni waislamu?

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu yake Aljaludi Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.


وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخو الجالودي الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______________


اقتباس المشاركة 5293 من موضوع ردود الإمام على الجالودي: أفتيكم بالحقّ أنّ الخلافة من بعد الأنبياء هي للأعلم بكتاب الله ..



- 1 -


( ردود الإمام على الجالودي )
أفتيكم بالحقّ أنّ الخلافة من بعد الأنبياء هي للأعلم بكتاب الله ..



بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامُ على المُرسلين والحمدُ لله ربّ العالمين..

وسلام الله عليك أخي الكريم وعلى الأنصار وجميع المُسلمين وأفتيكم بالحقّ أنّ الخلافة من بعد الأنبياء هي للأعلم بكتاب الله فمن زاده الله بسطةً في علم الكتاب من بعد النبيّ فذلك برهانٌ من ربّ العالمين أنّ الله اصطفاه خليفةً للمؤمنين وملكاً عليهم بأمر الله ربّ العالمين، ولذلك قال الله تعالى:
{وَقَالَ لَهُمْ نَبِيُّهُمْ إِنَّ اللَّهَ قَدْ بَعَثَ لَكُمْ طَالُوتَ مَلِكًا قَالُوا أَنَّى يَكُونُ لَهُ الْمُلْكُ عَلَيْنَا وَنَحْنُ أَحَقُّ بِالْمُلْكِ مِنْهُ وَلَمْ يُؤْتَ سَعَةً مِنَ الْمَالِ قَالَ إِنَّ اللَّهَ اصْطَفَاهُ عَلَيْكُمْ وَزَادَهُ بَسْطَةً فِي الْعِلْمِ وَالْجِسْمِ وَاللَّهُ يُؤْتِي مُلْكَهُ مَنْ يَشَاءُ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ} صدق الله العظيم [البقرة:247].

وإنما مثل الإمام علي كمثل طالوت في بني إسرائيل وتبيّن لكم أنّ برهان القيادة والخلافة والإمامة هي أن يزيد الله من اصطفاه بسطةً في علم الكتاب على عُلماء المُسلمين، وأجد في كتاب الله أنّ الذي يتلو بيان القرآن من بعد رسوله أنه شاهدُ منه، أي من آل بيت محمدٍ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم. تصديقاً لقول الله تعالى:
{
أَفَمَن كَانَ عَلَى بَيِّنَةٍ مِّن رَّبِّهِ وَيَتْلُوهُ شَاهِدٌ مِّنْهُ وَمِن قَبْلِهِ كِتَابُ مُوسَى إِمَامًا وَرَحْمَةً أُوْلَئِكَ يُؤْمِنُونَ بِهِ وَمَن يَكْفُرْ بِهِ مِنَ الأَحْزَابِ فَالنَّارُ مَوْعِدُهُ فَلاَ تَكُ فِي مِرْيَةٍ مِّنْهُ إِنَّهُ الْحَقُّ مِن رَّبِّكَ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لاَ يُؤْمِنُونَ} صدق الله العظيم [هود:17].

فأمّا المقصود بقول الله تعالى:
{أَفَمَن كَانَ عَلَى بَيِّنَةٍ مِّن رَّبِّهِ} فالمقصود هو جدّي محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم، وأما قول الله تعالى: {وَيَتْلُوهُ شَاهِدٌ مِّنْه}فهو يقصد من أهل بيته وهو جدّي الإمام علي عليه الصلاة والسلام، وإنما يقصد تلاوة بيانه، وأما تلاوة قرآنه فيتلونه جميع الصحابة المُكرمين.

ويا أخي الكريم إني لا أريد الخوض في هذه الأمور التي مضت وانقضت لأنها لم تعد فائدة من إثبات من الحقّ معه في تلك الأمّة، فتلك أمّةٌ قد خلت لها ما كسبت ولكم ما كسبتم ولن يحاسبنا الله على إختلافهم وحسابهم على ربّهم لو كنتم تعلمون؛ بل يهمّني أن أدعوكم إلى ما جاء به محمدٌ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم، وأما جديّ الإمام علي فلم يجعله الله نبيّاً ولا رسولاً حتى أُحاجِجكم فيه لإثبات شأنه لأني لم أقل لكم قال الإمام علي فأعتمد قوله، أو أقول لكم قال أبو بكر ولا عمر ولا عُثمان، وما عندي إلا قال الله وقال رسوله. ولا يهمني مصادر الأحاديث وأسانيدها إذا اختلفت مع آيةٍ محكمةٍ في القرآن فلن أتبع حديثاً خالف لمحكم القرآن لو رواه الإمام علي وأبو بكر وعمر وعثمان وكافة الصحابة المُكرمين لما اتبعت حديثاً ورد عنهم وهو مُخالف لمحكم كتاب الله، ولن أطعن في صحابة جدّي محمد رسول الله شيئاً؛ بل أطعن في الحديث المفترى وأدمغه بمحكم القرآن العظيم فإذا هو زاهق.

ويا أخي الجالودي، فهل تريد أن تُدخل الإمام المهديّ في متاهات مع السّنة والشيعة وتعود بنا إلى الأزل القديم؟ وكأنّ الإمام علي موجود بيننا حتى تطلب مني أن أثبت خلافته من بعد النبيّ بتسليم القيادة! بل لا يهمني أن أُثبت أنّه الخليفة من بعد محمدٍ رسول الله صلى الله عليهم وأسلّم تسليماً، وذلك لأنها لم تعد فائدة، ولذلك أصلّي على الإمام علي وأبي بكرٍ وعمر وعثمان وأسلّم عليهم جميعاً تسليماً، وحسابهم على ربهم ولم يجعلني الله عليهم وكيلاً، ولن يسألني الله عن خلافهم شيئاً.

وأنا الإمام المهديّ مُلتزمٌ بقول الله تعالى في محكم كتابه:
{تِلْكَ أُمَّةٌ قَدْ خَلَتْ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَلَكُم مَّا كَسَبْتُمْ وَلاَ تُسْأَلُونَ عَمَّا كَانُوا يَعْمَلُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:141]، فانضم أيها الجالودي إلى الإمام المهديّ لنجعل الشيعة والسّنة وكافة الفرق الإسلاميّة حزب الله في الأرض واحداً موحداً على الكلمة السواء بيننا جميعاً أن لا نعبد إلا الله ولا نشرك به شيئاً ونتّبع كتاب الله وسنّة رسوله الحقّ، ولا علينا من خلافات الأمم الماضية فلن يحاسبنا الله عليها شيئاً. تصديقاً لفتوى الله بالحق: {تِلْكَ أُمَّةٌ قَدْ خَلَتْ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَلَكُم مَّا كَسَبْتُمْ وَلاَ تُسْأَلُونَ عَمَّا كَانُوا يَعْمَلُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:141].

ذلك لأنّ الله سوف يسألكم عن أمّتكم التي في جيلكم وعصركم لو كنتم تعقلون، فتعالوا إلى جانب الإمام المهديّ لنجعل هذه الأمّة أمّةً واحدةً على صراطٍ مُستقيمٍ إخواناً بنعمة ربهم في الدين لا يشركون بالله شيئاً، فهم مسلمون فكيف تريدون أن تقنعوا الناس بدينكم يا معشر المُسلمين وأنتم فيه مختلفين؟ فاسعوا معي يا معشر عُلماء الأمّة لإصلاح أمّتكم ولجمع شملكم لتقوى شوكتكم ويعود عزّكم ويستخلفكم الله في الأرض كما استخلف الذين من قبلكم ويمكّن لكم دينكم الذي ارتضى لكم؛ شرط من الله عليكم أن تعبدوا الله لا تشركوا به شيئاً. فهل أنتم مُسلمون؟

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخو الجالودي الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..