Hukmu Ya Kufanya tendo la Fahisha baina ya wanaume na hukmu ya kusagana baina ya wanawake


[ لمتابعة رابط المشاركـــــــــــــة الأصليّة للبيــــــــــــــان ]
الإمام ناصر محمد اليماني
08 - 09 - 1434 هـ
15 - 07 - 2013 مـ
07:06 صباحاً
ـــــــــــــــــــــ


kufanya tendo baina ya wanaume la fahisha ni katika ma Fahisha yalio haramishwa na ni katika ma dhambi maku.


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na swala na salam juu ya wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahili zao kutoka wa kwanza mpa wa mwisho wao Muhammad Mtume Wa Allah, Enye waumini mswalieni juu yake na juu yao Na Wote waislamu wanao fwata njia ya haki mpaka siku ya dini, Ama Baada ya hapo..


Hakika Tendo lazina baina ya wanaume wanaingiliana badhi yao kwa nyuma ju ya badhi ni katika makubwa ya ma dhambi na fahisha, Na ushuhuda ya kwmaba ni fahisha mbovu mno walio anzish ni kaumu ya Lut. Amesema Allah Ta3ala:

{وَلُوطاً إِذْ قَالَ لِقَوْمِهِ إِنَّكُمْ لَتَأْتُونَ الْفَاحِشَةَ مَا سَبَقَكُم بِهَا مِنْ أَحَدٍ مِّنَ الْعَالَمِينَ (28) أَئِنَّكُمْ لَتَأْتُونَ الرِّجَالَ وَتَقْطَعُونَ السَّبِيلَ وَتَأْتُونَ فِي نَادِيكُمُ الْمُنكَرَ فَمَا كَانَ جَوَابَ قَوْمِهِ إِلَّا أَن قَالُوا ائْتِنَا بِعَذَابِ اللَّهِ إِن كُنتَ مِنَ الصَّادِقِينَ (29) قَالَ رَبِّ انصُرْنِي عَلَى الْقَوْمِ الْمُفْسِدِينَ (30)}
صدق الله العظيم [العنكبوت].
Alalh Ta3ala Asema:{ Na pale Lut'i alipo waambia watu wake: Hakika nyinyi mnafanya uchafu, ambao hapana mmoja katika walimwengu aliye kutangulieni kwa hayo (28) Je! Nyinyi mnawaingilia wanaume, na mnaikata njia? Na katika mikutano yenu mnafanya maovu? Basi haikuwa jawabu ya watu wake isipo kuwa kusema: Tuletee hiyo adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwa wewe ni katika wasemao kwelit (29) Akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ninusuru na watu mafisadi hawa (30)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut].


Lakini kwa maskitiko hakiaka wametenda waislamu udhalimu mkuu kwa haki ya Nabi wa Allah Lut kwamba wamebandika ju ya fahisha ya mwanamume kwa mwanamume kwajina la ( Al’luwat ama luti), Na jee Nabi wa Allah alikua akitenda hayo mpaka muhusishe fahisha hi kwa jina lake ( Luti)?
Awauwe Allah wazushi wahalifu basi hakika wametenda uhalifu mkubwa mno kwa haki ya Nabi Wa Allah Lut Swala Allahu Aleyhi na Juu Ya al Lut waliotakasika na Nawasalimu Tasliman, Na Kwa Sababu Ya Kuchafua jina lake bila ya Haki uwaduwi na uhalifu, Na kwavile nyini munamwita yule anaevutiwa kijinsia na mwanamume munamwita (Luti) Kwajili ya hivi hamupati mwenye kuita mtoto wake wa kiume Lut ispokua kidogo mno kwakua nyinyi mnamwita yule anae tenda fahisha na mwanamume kama yeye kwamba yeye ni Luti, Basi Kwa Haki gani munaita hi fahisha kwa hi jina (Luti)? Je kwa sababu kaumu ya Lut wamelitenda? lakini Nini Dhambi Ya Lut kwa Hayo, Na Anahusika Nini na hi Fahisha Mpaka Muinasibishe kwa Jina Lake Na Nyinyi Muna Jua Yeye Hahusiki Na Tendo hilo; Bali Alie litenda wao ni kaumu wake Makafiri, Hivi hamuwi wachaji?


Lakini Al’imam Al’Mahdi Anaita Hi Fahisha jina ( Fahishat Alshudhudh Al’Munkar baina Aldhukur) na ama hukmu yake basi inaingia chini ya hukmu ya zina; Mijeledi mia moja Na Mutazidisha juu ya hio kuondoshwa katika Ardhi kwa muda wa mwaka mzima, eee hakika kuondoshwa katika ardhi ni kutupoa jela ndio anaondoshwa barabarani kwa muda ya mwaka kwakua yeye ni katika wafisidifu wa tabia kwajili ya hivo amisema Nabi wa Allah Lut Juu yake swala Na salam.
{قَالَ رَبِّ انصُرْنِي عَلَى الْقَوْمِ الْمُفْسِدِينَ (30)} صدق الله العظيم [العنكبوت].
Allah Ta3ala Asema:{ Akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ninusuru na watu mafisadi hawa } Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut].


Juu ya kufuru yao basi na wafisidifu kwa tabia, Na wala sio hukmu ya kuondoshwa kwenye ardhi ni kwamba muwapeleke inchi ingine bali kuondoshwa ni kwamba aondoshwe barbarani kwenda jela ajili ya kuadibishwa na kurekibishwa, Na juu ya hadi ya fahisha ya uzinifu mjeledi mia mbele ya kipoti cha waumini.
Na Wala sijapata kwenye kitabu cha Allah kwamba auliwe ama atupwe ju ya manyumba ya gorofa; Bali hio hukmu ni kutoka kwa nafsi zenu! Basi Mceni Allah, Lakini musiuwe nafsi ambao ameharamisha Allah ila kwa haki.

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Anae Towa Fatwa Kwa Haki; Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
المفتي بالحقّ؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ

۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=108065