Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمامُ ناصِرُ مُحَمَّدٍ اليَمَانِيُّ
29 - 05 - 1435 هـ
30 - 03 - 2014 مـ
04:25 صباحاً
ــــــــــــــــــــ


مصدر البيان: www.bayan-quran.com/showthread.php?p=137545


جعل الله العسلَ ألواناً، وذلك حتى يُميِّز الناس نوعية العسل لكون لكلّ نوعيةٍ من العسل شفاءً لأمراضٍ معينةٍ وعسل الأمشاج دواءٌ عامٌ غير مركزٍ ..


Amefanya Allah Asali Rangi Mbali Mbali, Na Hivo Ni Kwajili Watu Waweze Kutafautisha Aina Ya Asali Kwa’Kua Kila Aina Ya Asali Ni Shifa Ya Maradhi Fulani Na Asali Ya Al’aMashaj Ni Dawa Kwa Jumla Ambao Sio Haswa kwa Maradhi Fulani,




Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..


Basi Hakika ya Asali Ya Nyuki Ni katika Ma Ishara Za Allah Kwa Waulizaji Wanao Tafakari Kwenye Asali Ya Nyuki Ambae Analekea Kwa Ma Njia ili kutafuta kwenye matunda Na ma’uwa basi yatoka kutoka matumbo yao kinywaji cha Asali mbali mbali rangi zake kulingana na aina ya mimea, Kwakua Allah Amemwamuru Nyuki ale kila aina ya mimea kwakua kila maradhi ina aina ya asali ndani yake shifa kwa aina yake haswa, Na Huwenda ikaja katika asali ndani yake kiwango ya dawa ya maradhi kama mfano aina ya asali ya Al’Amshaj.


Na ala kuli hali, Hakika katika Asali matibabu ya maradhi ya watu, Na kwa kila maradhi aina ya Asali tiba haswa kwa yale maradhi, Na wala sio Asali zote ni sawa, Na Ametafautisha Allah Asali badhi yake kwa badhi kwa umbali wa rangi zake ili wajuwe watu aina ya asali ndio wajuwe kwamba ile rangi katika Asali ni Asali ya kifua Ama upele ama ya kitu kingine, Lakini kwa maskitiko ba’adhi wale ambao hawajuwi anashanga pindi akila Asali wala haimpozi alafu asema: “ Basi vipi inao matibabu kwa watu na mimi haikunitibu ugonjwa wangu!” Na Alafu Nampa Fatwa kwa Haki: Hakika wewe hukula Asali ambao Allah amehusisha na Maradhi yako kama mfano ambae ana maradhi ya Romatizm alafu anatumia matibabu ya homa na jee wamona atapoa kutokana na maradhi ya romatizim?
Basi hivo hivo Asali Basi kila Asali hsawa matibabu yake kwa maradhi fulani lakini hio hainufaishi kwa uongonjwa mwengine hata kwa asili 1% kwakua haihusiani kwa kutibu hio ugonjwa; Bali inahusika kwa hio Asali ingine ndio shifa yake kwa huo ugonjwa ama Asali ya Al’amashaj.


Na Asali Ya Al’amshaj ni kutoka kwa mimea tafauti iko ndaniake kiwango ya dawa ya magonjwa lakini sio haswa kwa kutibu maradhi fulani, Na atakae tumia itampoza kwa taratibu kutokana na ugonjwa wake yani sio kwa haraka, Na huwenda akawacha kutumia kabla kutibika kudhani kwake kwamba haitofa kwake, Lakini ambao ni haswa ina haraka kwa idhni ya Allah katika kutibu maradhi ilio hususishwa nayo ama ilio hususishwa zaidi ya ugonjwa moja ikiwa atatumia asali inao takiwa kwa kutibu maradhi yake,


Na usawa kwamba yatakiwa ibainishwe hio ki’ilimu kwa watu na wawafundishe kwamba Asali Fulani ni shifa kwa maradhi kadha na Asali fulani ni shifa ya maradhi kadha kwakua ni matibabu ya Mola Mlezi basi haina madhara ya kukuletea maradhi ya kando kama mfano ya dawa ilio tengezwa na watu, Kwakua Tiba ya kutengezwa na watu inao manufa na inao madhara, Na madhara yake ni ile wanaita madhara ya kando ambao imeandikwa kwenye dawa, Lakini Matibabu ya Kiungu Ya Mola Mlezi Kutoka kwa matumbo ya Nyuki kutoka kwa tafauti ya Mimea haina madhara ya kando.


Na hi Bayana inao Fatwa Ya Haki kwa yule anae uliza ambae anatafakari kwenye Rangi za Asali, Na tumehakikisha katika Bayana yale amabo imempa jibu akili yake kwa nini rangi yake ni mbali mbali na tunasema: Na hivo ili waweze wenye ujuzi kutafautisha ipi ni Asali ya kifua na ipi Asali ya upele na ipi asali ya undani na ipi asali ya al’amshaj na zinginezo katika aina ya Asali, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:


{ثُمَّ كُلِي مِنْ كُلِّ الثَّمَرَاتِ فَاسْلُكِي سُبُلَ رَبِّكِ ذُلُلا يَخْرُجُ مِنْ بُطُونِهَا شَرَابٌ مُخْتَلِفٌ أَلْوَانُهُ فِيهِ شِفَاءٌ لِلنَّاسِ إِنَّ فِي ذَلِكَ لآيَةً لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ (69)} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3ala Asema: { Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizo fanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu.Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri (69)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].


Na hikma ya kwamba Allah Ame’wapa Amri Nyuki kwamba Wale kutokana na Kila matunda na hivo ili watengeze dawa kutoka tafauti ya mimea kwajili ya kutibu maradhi kwa idhni y Allah, Na ameifanya Aallah kwa rangi yake mbali mbali ili itimu kujua aina ya Asali kutokana na rangi yake moja kwa moja, Na ama kuhusu mwenye Nyuki wale ambao wanawapa nyuki Sukari ya chai basi nasema: Kuleni sukari moja kwa moja basi hio ni ghish yani wadanganya haimridhishi Allah, Basi lakini hakuna faida ya Asali ya wale wanao fitini Nyuki kwa Amri ya Mola wao Mlezi,

{ وَأَوْحَى رَبُّكَ إِلَى النَّحْلِ أَنِ اتَّخِذِي مِنَ الْجِبَالِ بُيُوتًا وَمِنَ الشَّجَرِ وَمِمَّا يَعْرِشُونَ (68) ثُمَّ كُلِي مِنْ كُلِّ الثَّمَرَاتِ فَاسْلُكِي سُبُلَ رَبِّكِ ذُلُلا يَخْرُجُ مِنْ بُطُونِهَا شَرَابٌ مُخْتَلِفٌ أَلْوَانُهُ فِيهِ شِفَاءٌ لِلنَّاسِ إِنَّ فِي ذَلِكَ لآيَةً لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ (69) }

صدق الله العظيم [النحل]


Allah Ta3ala Asema: { Na Mola wako Mlezi amemfunulia nyuki: Jitengenezee majumba yako katika milima,na katika miti, na katika wanayo jenga watu (68) Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizo fanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu.Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri (69)}
Sadaqa Allah Al3adhim
[Alnahl].


Ndugu yenu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
______________


اقتباس المشاركة 137545 من موضوع جعل الله العسلَ ألواناً، وذلك حتى يُميِّز الناس نوعية العسل لكون لكلّ نوعيةٍ من العسل شفاءً لأمراضٍ معينةٍ، وعسل الأمشاج دواءٌ عامٌ غير مركزٍ..

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=137543

الإمامُ ناصِرُ مُحَمَّدٍ اليَمَانِيُّ
29 - 05 - 1435 هـ
30 - 03 - 2014 مـ
04:25 صباحاً
ــــــــــــــــــــ


جعل الله العسلَ ألواناً، وذلك حتى يُميِّز الناس نوعية العسل لكون لكلّ نوعيةٍ من العسل شفاءً لأمراضٍ معينةٍ
وعسل الأمشاج دواءٌ عامٌ غير مركزٍ ..



بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين، أمّا بعد..
فإنّ عسل النحل من آيات الله للسائلين المتفكّرين في عسل النحل الذي يسلك السبُل للبحث عن الشجر والزهر فيخرج من بطونه شرابُ العسل مختلفٌ ألوانه على حسب نوعية الأشجار، كونَ اللهِ أمَر النّحل أن تأكل من كل الثمرات لكون لكلّ مرضٍ نوعٌ من العسل فيه شفاءٌ له بشكلٍ مركزٍ، وقد يأتي من العسل ما فيه نسبةٌ من دواء المرض كمثل نوع عسل الأمشاج.

وعلى كل حالٍ، إن في العسل شفاءً لمرضى الناس، ولكلّ مرضٍ نوعٌ من العسل شفاء مركّز لذلك المرض، وليس العسل سواءً، وميّز الله العسل عن بعضه بعضاً باختلاف ألوانه لكي يعرف الناس نوعية العسل فيعلمون أنّ ذلك اللون من العسل هو عسل السدر أو السمر أو غير ذلك، ولكن للأسف بعض الذين لا يعلمون يستغرب حين يأكل العسل ولا يشفيه العسل ثم يقول: "وكيف فيه شفاء للناس وأنا أكلته ولم يشفِ سقمي!" ومن ثم نفتيه بالحقّ: إنك لم تأكل العسل الذي خصصه الله لمرضك كمثل الذي يشكو مرض الروماتيزم ثم يتناول علاج الحُمّى فهل تراه سوف يشفى من الروماتيزم؟
وكذلك العسل فكلُّ عسلٍ مركزٌ شفاؤه لأمراضٍ معينة ولكنّه لا ينفع لمرضٍ آخر بشيء ولا حتى بنسبة 1% لكونه لا يختصُّ بعلاج ذلك المرض؛ بل يختصّ به عسلٌ آخر مركزٌ شفاؤه لذلك المرض أو عسل الأمشاج.

والعسل الأمشاج من مختلف الأشجار فيه نِسبٌ من دواء الأمراض ولكنه غيرُ مركزٍ في شفاء مرضٍ معينٍ، ومن يتناولْهُ يُشفَ ببطءٍ من سقمه، وقد يترك تناولَه قبل أن يشفى ظنّاً منه أنه لم ينفعْ معه، ولكن المركّز أسرع بإذن الله في شفاء المرض المخصص له أو المخصص لعدّة أمراضٍ إذا تناول العسل المطلوب لشفاء مرضه.

ومن المفروض أن يُبيَّن ذلك علميّاً للناس ويعلمونهم أنّ العسل الفلاني شفاءٌ لمرض كذا والعسل الفلاني شفاءٌ لمرض كذا لكونه علاجاً ربانيّاً فليس له أعراض كمثل العلاج الذي من صُنْع البشر، كون العلاج مِن صنع البشر له منافعٌ وله أضرارٌ، وأن ضرره هو ما يسمّونه بالأعراض الجانبية المكتوبة في النشرات الدوائية، ولكن العلاج الربّاني من بطون النحل من مختلف الأشجار ليس له أعراض.

وهذا البيان فيه الفتوى بالحقّ للسائل المتفكِّر في ألوان العسل، وأكدنا بالبيان ما استنتجه بعقله لماذا مختلفٌ ألوانه فنقول: وذلك حتى يستطيع أصحاب الخبرة التمييزَ بين عسل السدر وأيّهم عسل السمر وأيّهم عسل العمق وأيّهم عسل الأمشاج وغير ذلك من أنواع العسل. تصديقاً لقول الله تعالى:
{ثُمَّ كُلِي مِنْ كُلِّ الثَّمَرَاتِ فَاسْلُكِي سُبُلَ رَبِّكِ ذُلُلا يَخْرُجُ مِنْ بُطُونِهَا شَرَابٌ مُخْتَلِفٌ أَلْوَانُهُ فِيهِ شِفَاءٌ لِلنَّاسِ إِنَّ فِي ذَلِكَ لآيَةً لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ (69)} صدق الله العظيم [النحل].

والحكمة في أنّ الله أمر النحل أن تأكل من كل الثمرات وذلك حتى تصنع الدواء من مختلف الأشجار لشفاء الأمراض بإذن الله، وميزه الله بألوان ليتمّ التعرف على نوعية العسل من خلال لونه مباشرةً. وأما أصحاب النحل الذين يعطون النحل سكر الشاي فأقول: تناولوا السكر مباشرةً فهذا غشٌّ لا يُرضي الله، فلا فائدة من عسل الذين يفتنون النحل عن أمر ربّه:
{وَأَوْحَى رَبُّكَ إِلَى النَّحْلِ أَنِ اتَّخِذِي مِنَ الْجِبَالِ بُيُوتًا وَمِنَ الشَّجَرِ وَمِمَّا يَعْرِشُونَ (68) ثُمَّ كُلِي مِنْ كُلِّ الثَّمَرَاتِ فَاسْلُكِي سُبُلَ رَبِّكِ ذُلُلا يَخْرُجُ مِنْ بُطُونِهَا شَرَابٌ مُخْتَلِفٌ أَلْوَانُهُ فِيهِ شِفَاءٌ لِلنَّاسِ إِنَّ فِي ذَلِكَ لآيَةً لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ (69)} صدق الله العظيم [النحل].

أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
______________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..