*:Amiandika Sasa Hivi Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Tarehe:
06-Dhulkaida- 1438,h- Kulingana Na Wakati Wa Mama Wa Vijiji Bayana Inao Fwata:*


https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=32099
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=32099


*الإمام ناصر محمد اليماني*
06 - ذو القعدة - 1438 هـ
29 – 07 – 2017 مـ
07:10 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
___________________


*: Hivi Punde Kutoka Kwa Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Watu Wa Falastin*
*.. Subirini Na Mujisubirishe Na Mujifunge Na Mumche Allah Hakika Mutafaulu*


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Swala Na Salam Juu Ya Wote Ma'Nabi Na Mitume Na Walio Fwata Mwendo Wao Mpaka Siku Ya Dini Wala Sitafautishi Baina Ya Moja Katika Mitume Na Sisi Kwake Ni Waislamu, Ama Ba'ada Hapo..


Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى: {لَا يَغُرَّنَّكَ تَقَلُّبُ الَّذِينَ كَفَرُوا فِي الْبِلَادِ (196) مَتَاعٌ قَلِيلٌ ثُمَّ مَأْوَاهُمْ جَهَنَّمُ ۚ وَبِئْسَ الْمِهَادُ (197) لَٰكِنِ الَّذِينَ اتَّقَوْا رَبَّهُمْ لَهُمْ جَنَّاتٌ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا نُزُلًا مِّنْ عِندِ اللَّهِ ۗ وَمَا عِندَ اللَّهِ خَيْرٌ لِّلْأَبْرَارِ (198) وَإِنَّ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ لَمَن يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْكُمْ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْهِمْ خَاشِعِينَ لِلَّهِ لَا يَشْتَرُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ ثَمَنًا قَلِيلًا ۗ أُولَٰئِكَ لَهُمْ أَجْرُهُمْ عِندَ رَبِّهِمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ (199) يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اصْبِرُوا وَصَابِرُوا وَرَابِطُوا وَاتَّقُوا اللَّهَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ (200)} صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asema:{ Kabisa kusikudanganye kubakia kutangatanga kwa walio kufuru katika nchi (196) Hiyo ni starehe ndogo. Kisha makaazi yao yatakuwa Jahannamu. Na ni mahali pabaya mno pa kupumzikia (197) Lakini walio mcha Mola wao Mlezi watapata Mabustani yanayo pita mito kati yake. Watadumu humo. Hayo ni makaribisho yao yatokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na vilioko kwa Mwenyezi Mungu ni bora kwa watu wema (198) Hakika miongoni mwa Watu wa Kitabu wapo wanao muamini Mwenyezi Mungu na yaliyo teremshwa kwenu na yaliyo teremshwa kwao, wakimnyenyekea Mwenyezi Mungu. Hawabadili Aya za Mwenyezi Mungu kwa thamani duni. Hao wana ujira wao kwa Mola wao Mlezi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu (199) Enyi mlio amini! Subirini, na shindaneni kusubiri, na kuweni macho, na mcheni Mwenyezi Mungu, ili mpate kufanikiwa (200)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alimran].


Kutoka Kwa Al'Imam Al'Mahdi Kwa Watu Wa Falastin Katika Taifa La Falastin Waislamu Na Manasara wale Katika Kizazi Cha Ma'Hawariyin Walio Karibu Kwa Waumini Kwa Upendo, Tokeni Kwa Njia Ya Allah Ili Mutete Nyumba Ya Allah Tukufu Msikiti Wa Alaqsa Na Misikiti Yote Ya Waislamu Na Nyumba Za Ibada Za Manaswara Na Kutetea Nyumba Zenu Na Mali Zenu Na Sharafa Yenu, Basi Hakuna Kuhalalisha Na Ma'adui Katika Ma'sahyuni Mpaka Wasmamishe Mikono Yao Juu Yenu Na Juu Ya Sehmu Zenu Takatifu Na Ardhi Yenu Na Manyumba Zenu Na Sharafa Yenu, Na Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أُذِنَ لِلَّذِينَ يُقَاتَلُونَ بِأَنَّهُمْ ظُلِمُوا ۚ وَإِنَّ اللَّهَ عَلَىٰ نَصْرِهِمْ لَقَدِيرٌ (39) الَّذِينَ أُخْرِجُوا مِن دِيَارِهِم بِغَيْرِ حَقٍّ إِلَّا أَن يَقُولُوا رَبُّنَا اللَّهُ ۗ وَلَوْلَا دَفْعُ اللَّهِ النَّاسَ بَعْضَهُم بِبَعْضٍ لَّهُدِّمَتْ صَوَامِعُ وَبِيَعٌ وَصَلَوَاتٌ وَمَسَاجِدُ يُذْكَرُ فِيهَا اسْمُ اللَّهِ كَثِيرًا ۗ وَلَيَنصُرَنَّ اللَّهُ مَن يَنصُرُهُ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَقَوِيٌّ عَزِيزٌ (40) الَّذِينَ إِن مَّكَّنَّاهُمْ فِي الْأَرْضِ أَقَامُوا الصَّلَاةَ وَآتَوُا الزَّكَاةَ وَأَمَرُوا بِالْمَعْرُوفِ وَنَهَوْا عَنِ الْمُنكَرِ ۗ وَلِلَّهِ عَاقِبَةُ الْأُمُورِ (41)} صدق الله العظيم [الحج].
Allah Ta3ala Asema:{ Wameruhusiwa kupigana wale wanao pigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia -(39) Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu (40) Wale ambao tukiwapa madaraka katika nchi husimamisha Sala, na wakatoa Zaka, na wakaamrisha mema, na wakakataza mabaya. Na kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo ya mambo yote (41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj].


Na wala musiwafanye mayahudi na marafiki wa mayahudi katika manasara; bali badhi yao rafiki juu ya badhi, kwa'kua atakae fanya urafiki na wao Kupindukia ndani inje dhidi ya waislamu pamoja yakua wao wanasema kwamba ni manaswara basi mujuwe kwamba hawo ni masuhuyuni waliojifanya manaswara na mababa zao tangu zama za mbali, Kwakua manaswara wa kweli hamtowakuta wana'waunga mkono ubapari wa kisahyuni basi wao wanawachukia, Na Nataraji kutoka kwa Allah Ahuishe nyoyo za waislamu katika maumiyin na manaswara na awatakase nyoyo zao kutokana na Shirki kutakasa kwasababu ya kutukuza kwao nyumba za Allah tukufu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ذَٰلِكَ وَمَن يُعَظِّمْ شَعَائِرَ اللَّهِ فَإِنَّهَا مِن تَقْوَى الْقُلُوبِ (32)} صدق الله العظيم [الحج].
Allah Ta3ala Asema:{ Ndio hivyo! Na anayetukuza ibada za Mwenyezi Mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo (32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj].


Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ذَٰلِكَ وَمَن يُعَظِّمْ حُرُمَاتِ اللَّهِ فَهُوَ خَيْرٌ لَّهُ عِندَ رَبِّهِ} صدق الله العظيم [الحج:30].
{Ndio hivyo iwe! Na anaye vitukuza vitakatifu vya Mwenyezi Mungu basi hayo ndiyo kheri yake mbele ya Mola wake Mlezi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj:30].


Na Mutawatafautisha Kizazi cha hawariyin katika manaswara kwakua nyinyi mutawakuta ni karibu kwa upendo kwa waislamu maumiyin, basi wao hawawi na kiburi, Na Amasema Allah Ta3ala:
{لُعِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن بَنِي إِسْرَائِيلَ عَلَىٰ لِسَانِ دَاوُودَ وَعِيسَى ابْنِ مَرْيَمَ ۚ ذَٰلِكَ بِمَا عَصَوا وَّكَانُوا يَعْتَدُونَ (78) كَانُوا لَا يَتَنَاهَوْنَ عَن مُّنكَرٍ فَعَلُوهُ ۚ لَبِئْسَ مَا كَانُوا يَفْعَلُونَ (79) تَرَىٰ كَثِيرًا مِّنْهُمْ يَتَوَلَّوْنَ الَّذِينَ كَفَرُوا ۚ لَبِئْسَ مَا قَدَّمَتْ لَهُمْ أَنفُسُهُمْ أَن سَخِطَ اللَّهُ عَلَيْهِمْ وَفِي الْعَذَابِ هُمْ خَالِدُونَ (80) وَلَوْ كَانُوا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالنَّبِيِّ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْهِ مَا اتَّخَذُوهُمْ أَوْلِيَاءَ وَلَٰكِنَّ كَثِيرًا مِّنْهُمْ فَاسِقُونَ (81) ۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ (82) وَإِذَا سَمِعُوا مَا أُنزِلَ إِلَى الرَّسُولِ تَرَىٰ أَعْيُنَهُمْ تَفِيضُ مِنَ الدَّمْعِ مِمَّا عَرَفُوا مِنَ الحقّ ۖ يَقُولُونَ رَبَّنَا آمَنَّا فَاكْتُبْنَا مَعَ الشَّاهِدِينَ (83) وَمَا لَنَا لَا نُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَمَا جَاءَنَا مِنَ الحقّ وَنَطْمَعُ أَن يُدْخِلَنَا رَبُّنَا مَعَ الْقَوْمِ الصَّالِحِينَ (84) فَأَثَابَهُمُ اللَّهُ بِمَا قَالُوا جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا ۚ وَذَٰلِكَ جَزَاءُ الْمُحْسِنِينَ (85)} صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema:{ Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka (78) Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo kuwa wakiyafanya (79) Utawaona wengi wao wanafanya urafiki na walio kufuru. Hakika ni maovu yaliyo tangulizwa na nafsi zao hata Mwenyezi Mungu amewakasirikia, nao watadumu katika adhabu (80) Na lau wangeli kuwa wanamuamini Mwenyezi Mungu, na huyu Nabii, na yaliyo teremshwa kwake, wasingeli wafanya hao marafiki. Lakini wengi katika wao ni wapotofu (81) Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi (82) NA WANAPO SIKIA yaliyo teremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanachururika machozi kwa sababu ya Haki waliyo itambua. Wanasema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini. Basi tuandike pamoja na wanao shuhudia (83) Na kwa nini tusimuamini Mwenyezi Mungu na Haki iliyo tujia, na hali tunatumai Mola wetu Mlezi atuingize pamoja na watu wema (84) Basi Mwenyezi Mungu atawalipa, kwa yale waliyo yasema, Bustani zipitazo mito katika yake; humo watadumu. Na haya ndiyo malipo ya wafanyao wema (85)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].


Na Katika Manaswara "Wakristo" Wameswali Pamoja Na Mujahidin Wakifalastini Katika Msikiti Wa Al'aqsa Wakati ulipo funguliwa milango yake na ma'yahudi kutokana na mbinu kutoka kwao, Na Allah Ni mbora wa wanao fanya mbinu, Basi atakae wafanya waumini wa kifalastini ambao ni mujahidin ili wahariri Msikiti Wa Al'Aqsa urafiki basi yeye ni miongoni mwao anamwamini Allah anfanya urafiki na marafiki wa Allah na anafanya uwadui nama'adui wa Allah na Mtume Wake, Basi Musijadiliane na watu wa kitabu ispokua Kwa njia mzuri ilio bora, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَا تُجَادِلُوا أَهْلَ الْكِتَابِ إِلَّا بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ إِلَّا الَّذِينَ ظَلَمُوا مِنْهُمْ ۖ وَقُولُوا آمَنَّا بِالَّذِي أُنزِلَ إِلَيْنَا وَأُنزِلَ إِلَيْكُمْ وَإِلَٰهُنَا وَإِلَٰهُكُمْ وَاحِدٌ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ (46) وَكَذَٰلِكَ أَنزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ ۚ فَالَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يُؤْمِنُونَ بِهِ ۖ وَمِنْ هَٰؤُلَاءِ مَن يُؤْمِنُ بِهِ ۚ وَمَا يَجْحَدُ بِآيَاتِنَا إِلَّا الْكَافِرُونَ (47)} صدق الله العظيم [العنكبوت].
Allah Ta3ala Asema:{ Wala msijadiliane na Watu wa Kitabu ila kwa njia iliyo nzuri kabisa, isipo kuwa wale walio dhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu. Na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake (46) Na namna hivi tumekuteremshia Kitabu (cha Qur'ani). Basi wale tulio wapa Kitabu (cha Biblia) wataiamini (Qur'ani), na miongoni mwa hawa (washirikina) wapo watakao iamini. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa makafiri (47)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut].


Eee Hakika Wale Walio Dhulumu Katika Watu Wa Kitabu ni Ma'Yahudi wale ambao wanatoa waumini katika nyumba zao ama wanahimiza watolewe, basi hao ni masuhyuni na atakae kudhihiri pamoja na wao ili watowe waumini kutoka kwa Msikiti wa Al'Aqsa na kubomoa Misikiti ya waislamu na Makanisa ya manaswara"Wakristo" , Basi atakae fanya urafiki na wao ndani inje kupindukia pamoja na masuhuyuni basi yeye ni miongoni mwao, na hawakua na hasiria na waumini katika manaswara" Wakristo" ispokua kwajili wamitangaza urafiki wao pamoja na waislamu ili kutetea Msikiti wa Al'Aqsa, Na Mujuwe kua aduwi wa waislamu na manaswara"Wakristo" Ambao kizazi cha hawariyin ambao ni karibu kwa upendo kwa waumini basi aduwi wao ni moja na wao ndio wanao fanyiwa uwadui na mayahudi.


Na nacho taka kusema; Bali ni fatwa ya waulizaji katika ulimwengu:


Basi na wajuwe wote hakika ya lengo ya mashyuni wa kilimwengu ni kubwa na pana mno, na wanataka kuanda kutayarisha kutokezea Al'Masi7h Al'Kadhab masi7h Mrongo ambae anataka kuimba shakhsia ya Al'Masi7h Isa Mwana Wa Maryam wa kweli na azuwe juu yake kwamba ni mungu na yeye ni mrongo na kwajili ya hivo anaotwa Al'Masi7h Al'Kadhab Masi7h Mrongo, Bali yeye ndie taghut iblis shetani rajim na miongoni mwa mayahudi wana'mwabudu taghut na wanalingania watu kumwabudu yeye nae ni Al'Masi7h Al'Kadhab Masi7hi Mrongo iblis Al'shetan alrajim wala sio Al'Masi7h isa mwanawa Marya wa kweli Swala Za Allah Juu Yake Na Mamake Na Al'imran waliokirimiwa na usalim tasliman; Bali wanataka ma'shetani watu watumwa wa taghut iblis kubomoa Msikiti wa Al'Aqsa ili wafanye pahala pake ni temple mundo wa taghut sanamu kwa sura”picha" ya iblisi ambae atadhihirika kwa watu kwa mundo wa hio picha alafu waseme:” Hi ni mundo sanamu ya sura (picha) ya mungu wetu na mungu wa watu ili mumjuwe wakati akitokezea kwenu”. na hayihat haihat enyi ma3ashara ya watumwa wa taghut na Akasema Allah Ta3ala;
{قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ هَلْ تَنقِمُونَ مِنَّا إِلَّا أَنْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ مِن قَبْلُ وَأَنَّ أَكْثَرَكُمْ فَاسِقُونَ (59) قُلْ هَلْ أُنَبِّئُكُم بِشَرٍّ مِّن ذَٰلِكَ مَثُوبَةً عِندَ اللَّهِ ۚ مَن لَّعَنَهُ اللَّهُ وَغَضِبَ عَلَيْهِ وَجَعَلَ مِنْهُمُ الْقِرَدَةَ وَالْخَنَازِيرَ وَعَبَدَ الطَّاغُوتَ ۚ أُولَٰئِكَ شَرٌّ مَّكَانًا وَأَضَلُّ عَن سَوَاءِ السَّبِيلِ (60)} صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema:{Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu (59) Sema: Je! Nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi Mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu Shet'ani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi njia iliyo sawa(60)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].

Na mimi ni Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani najua mbinu zenu enyi ma3ashara ya mashetani wa kibinadamu na chunguza kwa undani kutoka kwa muhakam ya ukumbusho kwa yule alie amini kwa ma Aya za Al’Quran Al3adhim.



Na enyi ma3ashara ya wachokozi katika mayahudi- wala sisemi mayahudi wote ni wachokozi; Bali katika mayahudi kizazi cha wale tisa washari palipo- Na najua kwamba nyinyi munafwatilia kila kipya katika Ma Bayana Za Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani, Na najua kwamba muliudhika kutumilizwa Al’Mhdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani ambae anatoa vitimbi venu na mbinu zenu na akashifu kwa watu siri zenu, Na najua kilio pitika baina yenu na baina ya kikundi cha viongozi cha waislamu katika wale wanao ogopa shri yenu wale ambao aliwaeleza wali wa shetani arajim Tramp kwamba hapana kurudi nyuma kutokana na mamuzi yake kwamba atafanya uhuru wa Alquds ni wa mayahudi alafu atangaze kua mji mkuu wa mayahudi wa milele ni Alquds atake mwenye kutaka na akatae mwenye kukata, Wkasema wale ambao wanaogopa shariyao katika viongozi wa kislamu:” Tutawatii kwa ba’adhi ya mambo kua uhuru ni wenu kwa Msikiti wa Alaqsa na munyakuwe Mji Wa Alquds kwa ramani ya taifa la israil kwa sharti kua mulinde amani ya msikiti wa Alaqsa na musikataze waislamu kuswali Msikiti wa Alaqsa kwakua msikiti wa Al’aqsa ni mswala wa waislamu, Na hivo ni bora kwenu ili ifaulu kuhalalisha baina ya waislamu na mayahudi ndio waishi kwa amani pamoja badhi yao ju ya badhi kwenye mji mkuu unao ongojiwa”. Akasema Tramp:" mutapata hayo”. ba’ada hapo akalekea Tramp moja kwa moja israil kubashiri kwa magano ambao ni siri mno pamoja na viongozi wa kislamu kwamba wanao uhuru wa Alquds sharti kuhifadhi usalama wa Mskikiti wa Alaqsa, Akagiza mayahudi waweke milango ya Msikiti wa Alaqsa ya ki aelecktroniki na ma kamera za ulinzi kama kwamba wana hamu juu ya kulinda Msikiti wa Alaqsa, Na hakika wao ni warongo! Bali wamewakubalia masharti zenu ili ismamie israil uhuru wa Mskiti wa Alaqsa mpaka wakimakinika kwenye mji wa Alquds alfu watatangaza mji wa Alquds ni Mji MKUU wa kiyahudi wa MILELE alafu wanze kuondosha wakazi wa mji wa Alquds kidogo kidogo na kuwa baadhi yao na kufunga wengine kutahadhari kubadilisha mateka ikitimu kutekwa moja kati ya ma’askari wao, Alafu waendele kwa makazi kwa mji wa Alquds na kubadilisha wakazi wa Mji wa Alquds kwa wanainchi wa kisahyuni kati ya mayahudi, Na hivo , Wanalenga kuendelea kwa makazi ba’ada mji wa Alquds mpaka waondoshe Raia wa ki Falastini wote, Na wanataka kutaifisha ardhi za Wafalastini yeote kuwpa wachokozi katika mayahudi, Na kilio fichika ni kikubwa kwa warabu wa umma wa kati na ulimwengu!! ispokua nwajulisha kwa miradi ya kisahyuni ya kilimwengu huwenda mukawa na tahadhari ndio huwenda mukafwate mlinganizi wa haki kutoka Mola Mlezi wenu wala musifwate mlinganizi wa shetani watu katika mayahudi wakiongozwa na Tramp aduwi wa waislamu na manaswara”wakristo” - Na kusudia katiyao walio karibu kwa upendo kwa waislamu - Bali aduwi wa ulimwengu ispokua aliekua kama yeye katika mashetani watu.


Na nimemtaradhilia kwa Allah awamskhi kuwageuza manguruwe na awalani lana kuu, na hakika wadi wa Allah utatoa athari, Na Hasbuna Allah Juu ya kaumu wahalifu, Na hakika atatimiza Allah kwa walimwengu Nuru yake hata kama watachukia wahalifu kutokezea kwake.


Bali natowa fatwa kwa raia wa kimerekani kwamba Donald Tramp ni aduwi wa raia wa kiamerika asili na anataka kubuni ama kuanzisha ubaguzi wa kidamu ndio afanye mayahudi ndio wana kipaombele kwa kila kitu katika amerika, eee hakika ya Donald Tramp hakuna kheri ndani yake kwa raia wa kiamerika wala hakuna klheri ndani yake kwa watu wote wala haji na kheri na anataka kuleta shari na mbinu kwa zote taifa za kislamu na manaswara”wakristo” ambao wanawachukia wao; Bali anataka kutimu ipatikane Tifa Kuu La kisohyuni la kilimwengu kuu kutoka pembe mpaka pembe lakini bado wanazali wanaenda mbio kudhufisha waislamu kwa mikono yao wenyewe badhi yao juu ya badhi, Na bado wanazali wanataka kutimiza kupatikane fitna ya kuwasha moto wa vita baina ya warabu na uturuki, Na wao kadhalika wanataka kuingia uturuki wakati wa vita ya waislamu badh yao ju ya badhi ili wamwage damu ya waislamu kwa mikono yao badhi yao juu ya badhi ili wadhufishe mgongo wa waislam kabisa na kumaliza waislamu wote na Dini yao ya kislamu, Na kumaliza Al’Quran. HAPANA; Bali mumiangamia enyi ma wali wa shetani Atazunguka ALLAH baina yenu na matamanio yenu kwa adhabu chungu kama alivo wafanya jama zenu, Hakika ALLAH Ni Mwnye Nguvu Mweza,
Na hayo ni excerpt kutokana na habari katika masiri muhakam ya Ukumbusho .


Na enyi ma3ashara ya raia wa Falastin wote wanaume walio karibu na Alaqsa mpaka atakapo dhihiri Al’Mahdi Al’Muntadhar, Basi piganeni na wachokozi katika mayahudi na waone kwenu ushpavu ili iondoke kwenu mbinu zao, Basi tangazeni jihad katika njia ya ALLAH ili kuhariri Msikiti wa Alaqsa na Falastin yote na mapinduzi ya raia wa Falastin nayo ni mapinduzi ya raia wa Falastini ni moja kwa pamoja wala sio mapinduzi ya muqadasiyin, Na naswaha kutoka kwa Al’Imam Al’Mahdi kwa wakazi wa mjii wa Alquds kwamba wawache matamshi ya kilafdhi kama mfano ya kauli yao (Mapinduzi ya MUQADASIYIN), Ndio wajigambe muqadasiyin kua wamehariri Msikiti wa Alaqsa pekeyao pasi na wa Falastini. Basi ikowapi hio kuhariri na bado inazali iko chini ya uhuru ya waisrail mpaka sasa ambao imetoka hi bayana? Na je pindi wamewafungulia milango ya Msikiti wa Alaqsa ili kutekeleza swala ili kuthibitisha ushuhuda kuwa wao wamekua mawaliwao; Na jee mumihariri Alaqsa?!


Na nasema: Enyi watu wa Mji wa Alquds Alsharif, Ikiwa nyinyi kweli mujahidin katika njia ya ALLAH basi musibomowe umoja wa taifa ya kifalastini kwa kutaja kwenu umanatikia, Basi musi’ite mapinduzi ya Raia wa kifalastini kua ni mapinduzi ya muqadasiyin kwa kuwa ni watu wa Alquds, Kwakua alie wakusanya wafalastini na akahuisha Nyoyo zao kama kwamaba moyo wa mtu moja ni wivu wao juu ya Nyumba ya ALLAH Al’Mu3ADHAM ALMASJID ALAQSA, Na hivo ni katika uchamungu, Na Namshuhudisha ALLAH Mola Mlezi wa ulimwengu kuwa wote walio hai nyoyo zao katika ulimwengu katika waislamu wanawatamania kwa raia wa Falastini katika Falastin kwa ukaribu wao na Msikiti wa Alaqsa kwakua Waislamu katika mataifa yao hawawezi kuwafikia kwa silaha zao kwasababu ya viongozi wa waislamu wale ambao wanamogopa Tramp zaidi kumogopa kuliko ALLAH,Na ALLAH Ni awula kumogopa ikiwa wao ni waumini.


Na bado nazali nawalingania viongozi wa kislamu wote kwa alert kwa jeshi yao yote kutetea Nyumba ya ALLAH ALMU3ADHAM Al’Masjid Al’aqsa, Na hivo hivo nawalingania wawe chonjo kwa kutoka kwa ndege zao za kivita ili wazuwie ndege za maaduwi wa ALLAH na ma’aduwi wenu katika bani israi, Hakika wao
wanataka kuharibu vile watakavo haribu pakubwa ndio wabadilishe MJI wa Alquds kubadilisha ile mbaya ndio watangaze ni mji mkuu wa kiyahudi wa milele.


Na enyi ma3asshara ya waislamu ingieni katika uwislamu kikamilifu na mujitenge baina ya waislamu katika kumwaga damu badhi yao ju ya badhi ni bora kwenu, Basi muti’ii amri yangu na muingie kwenye uwislamu kikamilifu, ispokuwa vita va waislamu baina yao kwa sababu ya kufaulu mipango ya kisahyuni ili kudhufisha waislamu kwa mikono yao wenyewe badhi yao ju ya badhi ili iwe sahali badae kumaliza waislamu na Dini yao Dini ya Amani YA KILIMWENGU na Dini ya Rahma kwa ulimwengu lau ingkuwa munajua.


Na ala kuli hali muwisho wa Bayana yangu hi Nasema:
Ewe Ali Abdallah Swaleh, Hkika ya Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani yuko tayari kupokea uwongozi kujitayarisha kutoka katika njia ya ALLAH, Na jee muna suluhisho enyi ma viyama va yemen ispokua kusalimu uwongozi kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani? Na nawapa changamoto kwamba mupate suluhisho pasi na mokowaji kwa idhni ya ALLAH kwa watu wa Yemen na wote waislamu na ulimwngu, BASI Amewatunukia ALLAH Juu ya umma hu pindi amewafanaya ni katika zama za kutumilizwa Alimama Almahdi Nasser Muhammad Al’Ymani.


Na kuhusu ma Answar Alsabiqina Alakhyar katika zama za mazungumzu kabla ya kudhihiri basi hatokita na mimi ispokua watumwa wa Neema Kuu”ALNA3IM ALA3DHAM”wale ambao ikiwapata kidogo upepo wa shetani wanakumbuka uhakika wa JINA LA ALLAH KUU alafu wanpata ndani ya nafsi zao kuwa kweli hawatoridhika mpaka ARIDHIKE ndio hapo wao wanaona, Hawo ndio wamechukua kwa Al’Rahman ahdi kua hawatoridhika mpaka ARIDHIKE, Basi musihuzunike juu ya mashetani watu enyi Ma Answar wa Al’Mahdi Al’Muntadhar kwakua atwapata alio ghadhibika juu yao ghadhabu juu ya ghadhabu, Basi musiwe mwalinda juu ya uwongofu wao basi wao sio wakuongoka mpaka waonje walio yatenda, Na muwe na hamu juu ya uwongofu ya walio potea katika ulimwengu, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi ALalami..


Khalifa Wa ALLAH Na Mja Wake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
____________________________


خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
____________