Kurudisha Jibu Juu Ya Al'Rafidhi Hata Alnukhaa Lakini Hakuna Tafauti Katika Shiriki Baina (Mubalagha) Kutukuza Kwa Mtume Ama Nabi Ama Kati Ya Wema Walio Kirimiwa ..




: https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=110805
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=14250

الإمام ناصر محمد اليماني
07 - 01 - 1431 هـ
23 - 12 - 2009 مـ
11:01 مساءً
ــــــــــــــــــــــ

Kurudisha Jibu Juu Ya Al'Rafidhi Hata Alnukhaa Lakini Hakuna Tafauti Katika Shiriki Baina (Mubalagha) Kutukuza Kwa Mtume Ama Nabi Ama Kati Ya Wema Walio Kirimiwa ..



Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
Al'Salam Juu Yenu
Nimijenga Ewe Ambae Ni Al'Imam Yote Ulio Yasema kwenye Mada Hi Na Nimiamua Kwamba Shirki Juu Ya Allah Kwa Kauli Yako (Sababu Ya Kuabudu Ma Sanamu Ni Kuzidisha Kutukuza Kwa Waja Wa Allah Walio Karibishwa Na Kuwatukuza Bila Ya Haki Mpaka Anapo Kufa Moja Wao Katika Walio Tambulikana Kwa Ma Karama Na Kwa Dua Ambao Inajibiwa Wanazidisha Kuwatukuza Wale Ambao Ba'ada Yao Alafu Wana'watukuza Juu Yao Alafu Wanafanya Kwa Kila Moja Wao Sanamu Kwa Sura Zake Alafu Wanawaomba Pasi Na Allah) imeisha Nassi Ya Kauli Yako

Na Suali Langu Nini Dalili Ya Kauli Yako Hi?
Na Lau Imesi'hi Kauli Hi Lakini Hakuna Moja Anaitakidi Kua Kuna Waja Walio Karibishwa Wa Allah Azza Wa Jal Zaidi Kuliko Ma Nabi Na Mitume Juu Yao Al'Salam Basi Kwanini Hatukupata Katika Ma Sanamu Ambao Yameabudiwa Ma Sanamu Kwa Jina Ya Yoyote Katika Ma Nabi Na Mitume Juu Yao Al'Salam?
Kwanini Hatukupata Ma Sanamu Kwa Jina La Isa Na Musa Na Ibrahim Na Watu Wote Wanaitakidi Kwamba Wao Waja Wa Allah Walio Karibishwa?
Ama Utasema Kwamba Watu Walikua Wanaitakidi Kwamba Wa'dan Na Suwa'an Na Yaghuth Na Yauk Na Nassr'an Walikua Ni Waja Walio Karibu Kwa Allah Azza Wajal Zaidi Ya Ma Nabi Na Mitume?
Rafidhi Hata Alnukhaa

Biamillah Al'Rahman Al'Rahim, Al'Salam Alekom Ewe ( Rafidhi Hata Al'Nukhaa ) Lakini Jina Lako Liko Mgongonu Mwako, Na Jee Wakata Haki? Hivi Huoni Kwamba Nyinyi Munawatukuza Zaidi Katika Ma Imam Wa Al Albeyt Zaidi Kuliko Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na Munamomba Al'Imam Ali Munasema Ya Aba Alhasan Aghithna Tusaidie Na Tuombeleze Sisi Na Kadhalika Ya Fatima Al'Zahra? Lakini Kutukuza ZaidiI Inakua Juu Ya Waja Wa Allah Walio Kirimiwa Zaidi Kuliko Ma Nabi Na Mitume! Na Katika Ma Nabi Na Mitume Wenye Kuomba Allah Kwamba Asimfanye Fitna Kwa Kaumu Madhalimu Ndio Wanasema:

{رَبَّنَا لَا تَجْعَلْنَا فِتْنَةً لِلْقَوْمِ الظَّالِمِينَ} صدق الله العظيم [يونس:٨٥].
{ Mola Wetu Mlezi Usitufanye Fitna Kwa Kaumu Madhalimu} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus:85].

Na Ala Kuli Hal Lakini Hakuna Tafauti Katika Shiriki Baina Kutukuza Zaidi Katika Mtume Ama Nabi Ama Katika Waja Wema Waliokirimiwa, Lakini Atakae Omba Pamoja Na Allah Yoyote Basi Yeye Ni Mushrik. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا} صدق الله العظيم [الجن:١٨].
Allah Ta3ala Asema:
{ Lakini Musimombe Pamoja Na Allah Yoyote} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin:18].

Na Ama Kuhusu Ushuhuda Ulio Wazi Kwamba Washirikina Walikua Wana'omba Waja Katika Waja Wa Allah Utaipata Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَائِيَ الَّذِينَ كنتم تَزْعُمُونَ ﴿٦٢﴾ قَالَ الَّذِينَ حقّ عَلَيْهِمُ الْقَوْلُ رَبَّنَا هَٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَغْوَيْنَا أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا تَبَرَّأْنَا إِلَيْكَ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ ﴿٦٣﴾} صدق الله العظيم [القصص].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika Wangu (62) Watasema wale iliyo thibiti juu yao kauli: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio Walio Tupoteza. Tuliwapoteza kama tulivyo potea sisi. Tunajitenga nao mbele yako. Hawakuwa Wakituabudu sisi (63)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasasa].
Na Ta'awil Ya Haki Kwenye Kauli Yake:

{وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَائيَ الَّذِينَ كنتم تَزْعُمُونَ}
{ Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika Wangu }
, Na Akusudia Allah Wako Wapi Waja Wangu Walio Karibu Ambao Mulikua Munawaomba Pasi Na Mimi? Na Wakasema Wale Ambao Walikua Wana'abudu Ma Sanamu:" ربنا هؤلاء أغوينا" " Ewe Mola Mlezi Wetu Hawa Ndio Walio Tupoteza" Na Wanakusudia Babazao Wa Mwanzo Kwamba Wao Wamewapata Wana'abudu Masanamu Na Hawakua Wanajua Siri Yake Na BabaZao Wanajua Siri Ya Kuabudu Ma Sanamu

Alafu Tuangalie Kwenye Jibu La Baba Zao Wale Wakwanza Wakasema:
{أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا} { Tumewapoteza Kama Tulivo Potea }, Wanakusudia Kwa Hayo Kwamba Wao Waliwapoteza Ma Umma Wale Ba'ada Yao Kwa Sababu Ya Ibada Yao Kwa Waja Wa Allah Walio Karibu ili Wawakurubishe Kwa Allah Karibu, Alafu Akawakutanisha Allah Baina Yao Na Waja Wake Walio Karibu Wakawaona Wakawajua Kama Vile Walikua Wakiwajua Katika Uhai Wa Dunia Wale Ambao Katika Walio Watukuza Juu Yao Ba'ada Kufa Kwao. Akasema Ta3ala:
{وَإِذَا رَأَى الَّذِينَ أَشْرَكُوا شُرَكَاءَهُمْ قَالُوا رَبَّنَا هَٰؤُلَاءِ شُرَكَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِنْ دُونِكَ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ} صدق الله العظيم [النحل:٨٦].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Pindi Wakiona Wale Walio Mshirikisha Washirikisha Wao Wakasema Mola Mlezi Wetu Hawa Ndio Washirika Wetu Wale Ambao Tulikua Tunawa Omba Pasi Na Wewe Wakarudisha Kauli Kwao Hakika Nyinyi Ni Warongo} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahli:86].

Ispokua Inakua Kutukuza Katik Waja Wa Allah Walio Kirimiwa Ba'ada Kufa Kwao, Na Lau Wangekua Bado Wako Na Wao Wangewakataza Kufanya Hivo Na Wangewapa Fatwa Kwamba Hivo Ni Shirki Na Dhulma Kuu, Lakini Waja Wa Allah Walio Kirimiwa Hawajuwi Kinacho Fanyika Ba'ada Yao Na Kwamba Waislamu Wamezidisha Juu Yao Bila Ya Haki Mpaka Wakawa Wanawaomba Pasi Na Allah, Na Akasema Allah Ta3ala:

{وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا مَكَانَكُمْ أَنْتُمْ وَشُرَكَاؤُكُمْ فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُمْ مَا كنتم إِيَّانَا تَعْبُدُونَ ﴿٢٨﴾ فَكَفَىٰ بِاللَّهِ شهيداً بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إنْ كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ ﴿٢٩﴾} صدق الله العظيم [يونس].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na siku tutakapo wakusanya wote, kisha tutawaambia walio shirikisha:Simameni mahali penu nyinyi na wale mlio wafanya washirika. Kisha tutawatenga baina yao. Na hao walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi (28) Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu (29)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].

Na Kwavili Hawajui Walivo Tukuzwa Juu Yao Bila Ya Haki; Bali Yamefanyika Hayo Ba'ada Kufa Kwa Mja Alio Kirimiwa, Na Kwajili Ya Hivo Walisema:

{فَكَفَى بِاللَّهِ شهيداً بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إنْ كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ} صدق الله العظيم،
{ Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu (29)}
Sadaqa Allah Al3adhim, Lakini Mche Allah Wala Usikatae Ibada Ya Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye, Na Ukikata Basi Hawatakusaidia Wewe Al Albeyt Kitu Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu.

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdilillah Rabilalamin..
Mlinganizi Kwa Njia Ya Al3aziz Al'Hamid Kwa Al'Quran Al'Majid Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
_____________

Na Nitawacha Jibu Kutoka Kwa Muhammad Mtume Wa Allah Kwako Ewe Ambae Ni ( Rafidhi Hata Alnukha3) ..
Amesema Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[ Alwasila Ni Daraja Peponi Haitakiwi Ispokua Kwa Mja Katika Waja Wa Allah Na Nataraji Niwe Ni Mimi ] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam; Maana Ni Daraja ilio Karibu Kwa Mwenyezi Mungu Alie Tukuka, Na Kwajili Ya Hivo Wanashindana Juu Yake Waja Wake Walio Kirimiwa Yupi Atakua Karibu Ndio Ashinde Nayo, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أُولَٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ ربّهم الْوَسِيلَةَ أيّهم أقرب وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ ربّك كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧].
Allah Ta3ala Asema
[ Hawo Wanao Momba Wanataka Kwa Mola Mlezi Wao Al'Wasila Yupi Atakua Karibu Na Wanataraji Rahma Yake Na Wanaogopa Adhabu Yake Hakika Adhabu Ya Mola Mlezi Wako Yatakiwa Kua Na Tahadhari Nayo } Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa:57].

Na Ewe Ambae Ni ( Rafidhin Hata Alnukhaa) Hakika Jina Lako Liko Katika Mngongo Wako Basi Mche Allah Na Usikosowe Haki Na Tadabar Bayana Za Al'imam Ndugu Mkarimu Na Tafuta Haki Kwa Kusisitiza Sana Na Hakika Uwe Hutaki Ispokua Haki Ndio Uifwate, Na Tumia Akili Yako Ambao Haipofoki Kutokana Na Haki Lau Utaitumia Na Wala Usifwate Ufwato Upofu Na Kuto Tumia Akili? Ina Lila Wa Ina ileyhi Rajiun.


Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Wa Ma'Shia Na Ma Sunni Na Waislamu Wote; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
________________
ــــــــــــــــــــــ