MAANA YA ALSHUKR

BISMIALLAHI ALRAHMAN ALRAHIM ,NA SWALA NA SALAMU ZIMFIKIE BABU YANGU MUHAMMAD MTUME WA ALLAH NA ALIHI ALATHAR NA ALANSSAR WA ALLAH WOTE MPAKA SIKU YA DINI ..

NA AMA"SHUKR"KUSHUKURU KWA WAJA KWA MUMBA MWENYE KUABUDIWA NAYO:NI KUKIRI NA KUKUBALI KUWA YEYE NDIO ALLAH HAKUNA MUNGU ILA YEYE AMEWAUMBA PEKEYAKE HANA MSHIRIKA ILI WAWE WENYE KUM'Abudu YEYE,NA ALAFU WANA'MWABUDU YEYE PEKEYAKE HAWA'MSHIRIKISHI PASI NA YEYE KITU NDIO WATA'SHINDANA KUMPENDA ALLAH NA KUWA KARIBU YAKE MPAKA ARIDHIKE.


NA AMA"SHUKR"KUSHUKURU KWA ALLAH KWA WAJA WAKE NAYO:
ANATAKABALI IBADA YA WAJA WAKE NDIO ANASHKURU BIDI YAO KWA MOLA'WAO NA AWAPA MARDUFU UJIRA ZAO,KUSADIKISHA KAULI YA ALLAH TA3ALA:
ﺗﺼﺪﻳﻘﺎ ﻟﻘﻮﻝ اﻟﻠﻪ ﺗﻌﺎﻟﻰ: {ﺇﻥ ﻫﺬا ﻛﺎﻥ ﻟﻜﻢ ﺟﺰاء ﻭﻛﺎﻥ ﺳﻌﻴﻜﻢ ﻣﺸﻜﻮﺭا}
ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ
[ اﻻﻧﺴﺎﻥ:22]
ALLAH TA3ALA ASEMA:{HAKI HI NDIO JAZA YENU NA MBIO ZENU ZIMEKUWA NI ZA KUSHUKURIWA}SADAQA ALLAH AL3ADHIM[ALINSSAN:22]