Malaika Wakubwa Zaidi Kuliko Wote Katika Kitabu Wao Ni Wanane; Wanao Beba Arshi Yake Subhanahu Wa Ta3ala..
Ndugu Mkarimu, Salam Allah Aleykum Wa Rahmatuhu Wa Barakatuhu Alsalam Juu Yetu Na Juu Ya Wote Waja Wa Allah Waislamu Katika Ufalme Wa Allah Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Alamin..
Na Akubariki Allah Na Akakuonesha Kwa Haki, Basi Hujawa Katika Wajinga Katika Wale Wanao Tegemea Akili Za Watu wala hawatumi akili zao, Lakini kwani Allah hakumfanya Mtu Ni Mwenye Kusikia Mwenye Kuona basi kwanini Hatumi Akili yake ili atafautishe baina ya ulinganizi wa haki na ulinganizi wa Batili? Na Akasema Allah Ta3ala:
{إِنَّا خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ مِنْ نُطْفَةٍ أَمْشَاجٍ نَبْتَلِيهِ فَجَعَلْنَاهُ سَمِيعًا بَصِيرًا ﴿٢﴾ إِنَّا هَدَيْنَاهُ السَّبِيلَ إِمَّا شَاكِرًا وَإِمَّا كَفُورًا ﴿٣﴾} صدق الله العظيم [الانسان].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Tulimumba Mtu Kutokana Na Tone la Mchanganyiko Tumpe mtihani Tukamfanya Mwenye Kusikia Mwenye Kuona (2) Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru (3)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alinsan].
Lakini Akilete hoja kwa Mola Mlezi Wake Kwamba yeye alimfwata moja wa Walinganizi Katika wana'zuoni kudhani kwake kwamba ulinganizi wake uko katika baswira ya Mola Mlezi wake akmpoteza kwa njia ilio nyoka, Alafu anamhoji Mola Mlezi wake kwa Akili Yake alio fwata wanazuoni wa upotevu bila ilimu kutoka kwa Mola Mlezi wake Kwanini asitumie akili yake akatadabar kupeleza utawala wa ilimu ya mlinganizi ni kutoka wapi amekuja nayo na jee inakubali akili na usawa ama ni katika wanazuoni wanao sema ju ya Allah wasio kijua. basi hi ndio itamfikisha twalibulilmi mwenye kutaka ilimu ambae anatafuta haki kwa kutadabar kupeleza na kutafakari katika utawala wa ilimu ya mlinganizi, Lakini ju yake awe aleke kwa akili yake na akifwata ufwato wa upofu akampoteza wale wanaosema ju ya Allah wasokijua kutokana na njia ya sawa basi atamuliza Allah kuhusu akili yake ikiwa hakuichukua kwake, Kwanini amefwata ufwato upofu pasi na kutumia akili yake? Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا} صدق الله العظيم [الإسراء:٣٦]
Allah Ta3ala Asema:{ Na usiwepo pahala huna ilimu nayo hakika masikizi na macho na moyo hivo vote ni venye kusailiwa} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alisraa:36],
Na Ama Bayana Ya Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ} { Na usiwepo pahala huna ilimu napo} yani ilimu kutoka kwa Mola Mlezi wako utawala wa ilimu ya mlinganizi ama kwamba anasema juu ya Allah ambao hayajuwi, Na hi kitu basi ataitambu mtafiti wa haki kwa akili na kutafakari kwa utawala wa ilimu ya mwanachuoni.
Na kuhusiana na viumbe basi Kiumbe kidogo kabisa nimepata kwa kitabu ni Dhara yani Uzito wa chembe na kilio chini yake, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{لَا يَعْزُبُ عَنْهُ مِثْقَالُ ذَرَّةٍ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ وَلَا أَصْغَرُ مِن ذَٰلِكَ وَلَا أَكْبَرُ إِلَّا فِي كِتَابٍ مُّبِينٍ ﴿٣﴾} صدق الله العظيم [سبأ]
Allah Ta3ala Asema:{ Hapana kinacho fichikana kwake hata chenye uzito wa chembe tu, si katika mbingu wala katika ardhi, wala kilicho kidogo kuliko hivyo, wala kikubwa zaidi; ila vyote hivyo vimo katika Kitabu chake chenye kubainisha (3)} Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa], Na Kusadikisha kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِ اللَّـهِ لَا يَمْلِكُونَ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ وَمَا لَهُمْ فِيهِمَا مِن شِرْكٍ} صدق الله العظيم [سبأ:٢٢]
Allah Ta3ala Asema:{ Sema Waombeni wale ambao mwadai pasi na Allah hawamiliki uzito wa chembe katika mbingu wala katika ardhi na wala hawana katiyake mwenye kumshiriki} Sadaqa Allah Al3adhim [ Sabaa:22], kwa mana kwamba wao hawaku'umba uzito wa chembe la katika mbingu wala katika ardhi, Na kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
فَمَنْ يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ ﴿٧﴾ وَمَنْ يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُ ﴿٨﴾} صدق الله العظيم [الزلزلة].
Allah Ta3ala Asema{ Lakini atakae tenda kheri uzito wa chembe ataona (7) Na atakae tenda shari uzito wa chembe ataona (8)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alzalzala], chembe na kilio chini yake ndio viumbe Allah aliviumba vidogo kabisa katika mbingu na ardhi nazo zinasabeh kwa himdi ya Allah na zinamtukuza yeye, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{تُسَبِّحُ لَهُ السَّمَاوَاتُ السَّبْعُ وَالْأَرْضُ وَمَن فِيهِنَّ وَإِنّ مِّن شَيْءٍ إِلَّا يُسَبِّحُ بِحَمْدِهِ وَلَـٰكِن لَّا تَفْقَهُونَ تَسْبِيحَهُمْ إِنَّهُ كَانَ حَلِيمًا غَفُورًا ﴿٤٤﴾} صدق الله العظيم [الإسراء]
Allah Ta3ala Asema:{ Zinamtakasa zote mbingu saba na ardhi na vyote viliomo ndani yake. Na hapana kitu ila kinamtakasa kwa sifa zake. Lakini nyinyi hamfahamu kutakasa kwake. Hakika Yeye ni Mpole na Mwenye maghfira (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra], Na kila kitu Zina Mtakasa kumsabeh Kwa sifa Za Mola Mlezi kuanzia viumbe vidogo kabisa uzito wa chembe na chini yake mpaka viumbe vikubwa katika viumbe vake mea mti nao ni sidratulmuntaha Hijabu Ya Mola Mlezi Na Arshi yake ni kubwa kuliko ufalme wa malakuti wa mbingu na ardhi; Bali sidratul'muntaha ni kubwa zaidi kuliko pepo ambao upana wake upanda wa mbingu na ardhi. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
سِدْرَةِ الْمُنْتَهَىٰ ﴿١٤﴾ عِنْدَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ ﴿١٥﴾} صدق الله العظيم [النجم]
Allah Ta3ala Asema:{ Sidratul'muntaha Mkunazi wa mwisho (14) hapo karibu yake kuna Bustani inayo kaliwa (-5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almajm], Na hio ni hijab pazia la Mola Mlezi na Arshi yake iko mwisho wa Viumbe Vake karibu na Dhati yake, Nayo ndio utenganishi baina ya waja na mwenye kuabudiwa na ilioko chini yake ni viumbe na juu yake ni Al'Rahman Juu Ya Arshi Amestawi:
{يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنْزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا وَهُوَ الرَّحِيمُ الْغَفُورُ} صدق الله العظيم [سبأ:٢].
Allah Ta3ala Asema: { Anajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda huko. Na Yeye ni Mwenye kurehemu, Mwenye kusamehe} Sadaqa Allah Al3adhim [ Saba:2].
kutoka kwa Mti Akamwita Allah Nabi wake Musa Juu yake swala Na Salam Nae yuko katika sehemu ilio barikiwa akamsikilizisha sauti yake na akamkurubisha kwa kumwita, Akasema Allah Ta3ala:
{نُودِيَ مِنْ شَاطِئِ الْوَادِ الْأَيْمَنِ فِي الْبُقْعَةِ الْمُبَارَكَةِ مِنَ الشَّجَرَةِ أَنْ يَا مُوسَىٰ إِنِّي أَنَا اللَّهُ ربّ العالمين} صدق الله العظيم [القصص:٣٠].
Allah Ta3ala Asema:{ aliitwa kutoka ng'ambo ya bonde la kuliani katika eneo lilio barikiwa kutoka kwenye mti: Ewe Musa! Hakika Mimi ni Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas:30].
Lakini Sehemu alio kua Nabi Wake Allah Nayo ni katika Ardhi kwenye eneo lilio barikiwa kutoka ng'ambo ya bonde la kuliani lilio takatifu ambalo ni tua, Na Ama Sauti ya Mwito Wa Mola Mlezi nayo:
{مِنَ الشَّجَرَةِ أَن يَا مُوسَى إِنِّي أَنَا اللَّهُ ربّ العالمين} صدق الله العظيم؛ { Kutoka kwa Mti kwamba Ewe Musa Hakika Mimi Ni Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu} Sadaqa Allah Al3adhim; Na Huo Mti Ni Sidratul'muntaha, Ispokua Amemkurubisha Allah Nabi Wake Kumwita kwa Sauti Akmsikili'zisha Sauti Yake Kwa Kudara Yake Na Wala Hakusikia Mwito Wa Allah Mkewake Na Yeye Yuko Karibu Na Hapo Pahali, Na Akazungumza Nae Allah Kuzungumza Na Akamkurubisha Kwa kumwita.
Na Kuhusu Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Basi Allah Alimtumilia Mwaliko Kwa Njia Ya Mjumbe Wa Allah Jibril Alihi Alswalat Wa Alsalam ili ampeleke kwa Mola Mlezi Wake Ndio Azungumze nae Kuzungumza Kwa Nyuma Ya Sidra Mti Usiku wa Al' Mi3raj Kwenda Kwa Mola Mlezi Wake, Ndio Akapita Nae Katika Malakut Ya Ulimwengu ili Amoneshe Moto Ambao Alio Ahidi Makafiri Na Amoneshe Bustani Ambao Alio Ahidi Wema. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنَّا عَلَىٰ أَنْ نُرِيَكَ مَا نَعِدُهُمْ لَقَادِرُونَ} صدق الله العظيم [المؤمنون:٩٥].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Sisi Kwa Yale Tulio Kuahidi Kukuonesha Tunaweza} Sadaqa Allah Al3adhim[ Almuminun:95]. Na Hakumona Allah Subhanahu Wa Ta3ala Uluwan Kabiran Bali ameona Ma Ishara Alama Ma Aya Za Mola Wake Mlezi Kuu Katika Kitabu, Na Katika Aya ishara zake Kuu Ilipo Finika Sidratul'muntaha kwa Nuru Ya Uso Wake Subhanahu Wa Ta3ala 3uluwan Kabiran, Na Katika Ishara Zake Kuu Ni Sidra Mti Ambao Ndio Katika Alivo Viumba Ndio Kikubwa Zaidi kuliko zote Ambao Bustani inao kaliwa iko hapo, Kiyasi kwamba Bustani Pepo upana wake ni upana wa mbingu na ardhi lakini nayo iko kwa Sidratul'Muntaha, Na Alafu Malaika Wakubwa Zaidi Katika Kitabu Nao Ni Wale Wa Nane Wabebaji Wa Arshi Yake Subhanahu Wa Ta3ala Uluwan Kabiran.
Na Ama Walinzi wa jahanam Moto Nao Ni Malaika Kumi'Na Tisa 19 Peke, Na Wao ni katika walio wakubwa zaidi na kila wakitaka makafiri kutoka ndani ya moto wa jahanam wanarudishwa ndani yake kwa mbawa za malaika ambazo ni kuu, Lakini kipigo cha mbawa ya Malaika inarudisha ma umma hakuna awezao kuwahisabu ispokua Allah ndio awarudishe kwa kipigo cha mbawa yake ambao ni chungu sana kuwarudisha Ndani Ya Moto Wa Jahanam Alafu Wanawambia wao onjeni adhabu ya kuchomwa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{كُلَّمَا أَرَادُوا أَنْ يَخْرُجُوا مِنْهَا مِنْ غَمٍّ أُعِيدُوا فِيهَا وَذُوقُوا عَذَابَ الْحَرِيقِ} صدق الله العظيم [الحج:٢٢].
Allah Ta3ala Asema:{ Kila Wakitaka kutoka Ndani yake kutokana na ghamu wanarudishwa Ndani yake Na onjeni adhambu ya kuchomwa} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alhaj:22].
Na Malaika Wa Moto katika Ukubwa ni katika aina kubwa wenye mbawa inne wenye nguvu wazito hawamasi Allah yale alio wamuru na wanafanya walio amirishwa, Na Kwa kipigo kimoja kwa mbawa inarudisha ma umma hawahisabiki ispokua Allah pekeyake Ndio awarudishe kwa kipigo cha mbawa yake kwa moto wa jahanm na kiongozi wao ni Malaika Anaitwa ( Malik ), Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَنَادَوْا يَا مَالِكُ لِيَقْضِ عَلَيْنَا ربّك قَالَ إِنَّكُمْ مَاكِثُونَ ﴿٧٧﴾ لَقَدْ جِئْنَاكُمْ بالحقّ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَكُمْ لِلْحَقِّ كَارِهُونَ ﴿٧٨﴾} صدق الله العظيم [الزخرف].
Allah Ta3ala Asema:{ Nao watapiga kelele waseme: Ewe Malik! Na atufishe Mola wako Mlezi! Naye aseme: Hakika nyinyi mtakaa humo humo (77) Kwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki (78)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzukhruf].
Na Malaika Wadogo Kabisa Katika Ukubwa nawo ni malaika wale wawili ambao wamewakilishwa kw mtu kwa kuhifadhi vitendo vake kheri yake na shari yake na wao ndio wamekalifishwa na yeye mpka ikija kadara ya mauti yake alafu wanamfisha na wao ni Raqib na 3atid Kama ilivo tangulia kufafanua kuhusu kazi zao amabazo wamewakilishwa ju yao katika bayana kabala ya hi, Na Wao ni katika Malaika Wadogo kabisa kwa ukubwa waliokirimiwa na wala hawamwachili kafiri mpaka wamtupe katika adhabu chungu katika moto wa jahanam alafu inaisha kazi yao, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{أَلْقِيَا فِي جهنّم كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَنَّاعٍ لِلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾} صدق الله العظيم [ق].
Allah Ta3ala Asema:{ Mtupeni katika Jahanam kil kafiri mkaidi (24) Mwenye kukataza kheri mchokozi alie na utata (25) Yule ambae Amefanya pamoja na Allah Mungu mwengine basi mtupeni kwenye adhabu ilio shadidi (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Qaf].
Na Anmchukuwa kwa nywele za utosini Nae ni Atid Na ama Raqib basi anamchukuwa kwa migu yake ndio wamtupe katika moto wa jahanam, Na hivo ni kwajili wanamwendesha mpaka mlangoni alafu anakata kuingia moto wa jahanam alafu ndio wanamshika kwa nyele za utosini na migu ndio wamtume katika moto wa jahanam. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:{فَيُؤْخَذُ بِالنَّوَاصِي وَالْأَقْدَامِ}
Allah Ta3ala Asema:{ basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman:41], Basi ndio wamtupe katika moto wa jahanam. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ} { basi mtupeni kwenye adhabu shadidi } Sadaqa Allah Al3adhim, Alafu inaisha Kazi Ya Raqib Na Atid na Wao Dhati Yao Ndio Malaika Wa Mauti wanao hifadhi kuandika vitendo va mtu mpaka ikifika kadara yake ndio wanamfisha na wao hawambanduki mpaka wamtupe katika moto wa jahanam ndio inaisha jukumu lao ikiwa ni katika watu wa jahim, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَهُوَ الْقَاهِرُ فَوْقَ عِبَادِهِ وَيُرْسِلُ عَلَيْكُمْ حَفَظَةً حَتَّىٰ إِذَا جَاءَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ تَوَفَّتْهُ رُسُلُنَا وَهُمْ لَا يُفَرِّطُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:٦١].
Allah Ta3ala Asema:{ Naye ndiye Mwenye nguvu za kushinda, aliye juu ya waja wake. Na hukupelekeeni waangalizi, mpaka mmoja wenu yakimjia mauti wajumbe wetu humfisha, nao hawambanduki} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanam:61]
Na Wao katika Malaika Kwa Ukubwa Ni wadogo kuliko wote, Na Malaika Waku kiukubwa katik wote nawo ni Wale Wa Nane Wanao beba Arshi Ya Al'Rahman, Na Wanao Fwata katika ukubwa Wale Malaika Kumi Na Tisa 19 Na Wao Ndio Walinzi Wa Jahanam Ambao ni Wazito Na Wenye Nguvu mno.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil'alamin..
Ndugu Wa Waumini; Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
___________
- 2 -
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - 12 - 1430 هـ
06 - 12 - 2009 مـ
02:45 صباحاً
ــــــــــــــــــــ
أكبر ملائكةٍ في الكتاب هم الثمانية؛ حملة عرشه سبحانه وتعالى..
بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على خاتم الأنبياء والمرسلين وآله الطيِّبين الطّاهرين والتّابعين للحقّ إلى يوم الدين..
أخي الكريم ، سلامُ الله عليكم ورحمته وبركاته السلام علينا وعلى جميع عباد الله المسلمين في ملكوت الله من الأولين والآخرين، وسلامٌ على المُرسلين والحمدُ لله ربّ العالمين..
وبارك الله فيك وبصرّك بالحقّ، فلم تكن من الإمّعات من الذين يعتمدون على عقول النّاس ولا يستخدمون عقولهم، ألم يجعل الله الإنسان سميعاً بصيراً فلماذا لا يستخدم عقله ليُميّز بين دعوة الحقّ ودعوة الباطل؟ وقال الله تعالى: {إِنَّا خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ مِنْ نُطْفَةٍ أَمْشَاجٍ نَبْتَلِيهِ فَجَعَلْنَاهُ سَمِيعًا بَصِيرًا ﴿٢﴾ إِنَّا هَدَيْنَاهُ السَّبِيلَ إِمَّا شَاكِرًا وَإِمَّا كَفُورًا ﴿٣﴾} صدق الله العظيم [الانسان]. فإن احتجّ على ربّه أنهُ اتّبع أحد الدُعاة من العلماء ظنّاً منه أن دعوته على بصيرةٍ من ربّه فأضلّه عن الصراط المستقيم، ثم يحاجّه ربّه بعقله لمن اتبع لعُلماء الضلالة بغير علمٍ من ربّه ولماذا لم يستخدم عقله فيتدبر سُلطان علم الداعية من أين جاء به وهل يقبله العقل والمنطق أم إنّه من العلماء الذين يقولون على الله ما لا يعلمون. فهذه يتوصل إليها طالب العلم الباحث عن الحقّ بالتدبر والتفكر في سُلطان علم الداعية، فعليه أن يلجأ إلى عقله وإن اتّبع الاتّباع الأعمى فأضلّه الذين يقولون على الله ما لا يعلمون عن سواء السبيل فلسوف يسأله الله عن عقله إن لم يأخذه منه، فلماذا يتبع الاتّباع الأعمى دون أن يستخدم عقله؟ تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا} صدق الله العظيم [الإسراء:٣٦]، وأما البيان لقول الله تعالى: {وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ} أي علم من ربّك سلطان علم الداعية أم إنّه يقول على الله ما لم يعلم، فهذا شيءٌ سوف يدركه الباحث عن الحقّ بالعقل وبالتفكر في سلطان علم العالم.
وبالنسبة للمخلوقات فأصغر شيء أجده في الكتاب هي الذرّة وما حوت. تصديقاً لقول الله تعالى: {لَا يَعْزُبُ عَنْهُ مِثْقَالُ ذَرَّةٍ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ وَلَا أَصْغَرُ مِن ذَٰلِكَ وَلَا أَكْبَرُ إِلَّا فِي كِتَابٍ مُّبِينٍ ﴿٣﴾} صدق الله العظيم [سبأ]، وتصديقاً لقول الله تعالى: {قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِ اللَّـهِ لَا يَمْلِكُونَ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ وَمَا لَهُمْ فِيهِمَا مِن شِرْكٍ} صدق الله العظيم [سبأ:٢٢]، بمعنى أنهم لم يخلقوا مثقال ذرةٍ في السموات ولا في الأرض، وتصديقاً لقول الله تعالى: {فَمَنْ يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ ﴿٧﴾ وَمَنْ يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُ ﴿٨﴾} صدق الله العظيم [الزلزلة]. فتلك الذرّة وما حوت هي أصغر شيءٍ خلقه الله في السموات والأرض وهي تُسبِّح بحمد الله وتُقدِّس له. تصديقاً لقول الله تعالى: {تُسَبِّحُ لَهُ السَّمَاوَاتُ السَّبْعُ وَالْأَرْضُ وَمَن فِيهِنَّ وَإِنّ مِّن شَيْءٍ إِلَّا يُسَبِّحُ بِحَمْدِهِ وَلَـٰكِن لَّا تَفْقَهُونَ تَسْبِيحَهُمْ إِنَّهُ كَانَ حَلِيمًا غَفُورًا ﴿٤٤﴾} صدق الله العظيم [الإسراء]. وكل شيءٍ يسبح بحمد ربّه من الذرّة وما حوت أصغر شيء إلى أكبر شيء في خلقه وهي الشجرة وتلك سدرة المُنتهى حجاب الربّ وعرشه أكبر من ملكوت السموات والأرض؛ بل سدرة المُنتهى هي أكبر من الجنّة التي عرضها كعرض السموات والأرض. ولذلك قال الله تعالى: {سِدْرَةِ الْمُنْتَهَىٰ ﴿١٤﴾ عِنْدَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ ﴿١٥﴾} صدق الله العظيم [النجم]. وذلك حجاب الربّ وعرشه فهي منتهى خلقه إلى ذاته، وهي الفاصل بين العباد والمعبود فما دونها الخلائق وما عليها الرحمن على العرش استوى: {يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنْزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا وَهُوَ الرَّحِيمُ الْغَفُورُ} صدق الله العظيم [سبأ:٢].
ونادى الله نبيّه موسى عليه الصلاة والسلام من الشجرة وهو في البقعة المُباركة فأسمعه صوته وقرَّبه نَجِيّاً، وقال الله تعالى: {نُودِيَ مِنْ شَاطِئِ الْوَادِ الْأَيْمَنِ فِي الْبُقْعَةِ الْمُبَارَكَةِ مِنَ الشَّجَرَةِ أَنْ يَا مُوسَىٰ إِنِّي أَنَا اللَّهُ ربّ العالمين} صدق الله العظيم [القصص:٣٠].
فأمّا موقع نبيّ الله فهو في الأرض في البقعة المُباركة من شاطئ الوادي الأيمن بالوادي المقدس طُوى، وأما مصدر نداء الربّ فهو: {مِنَ الشَّجَرَةِ أَن يَا مُوسَى إِنِّي أَنَا اللَّهُ ربّ العالمين} صدق الله العظيم؛ وتلك الشجرة هي سدرة المنتهى، وإنما قرّب الله نبيّه موسى نَجِيّاً بالصوت فأسمعه صوته بقدرته ولم تسمع نداء الله زوجتُه وهي على مقربةٍ من المكان، و كلّمه الله تكليماً وقربه نَجِيّاً.
وأمّا محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم فقد بعث الله إليه بالدعوة عن طريق رسول الله جبريل عليه الصلاة والسلام ليحضره إلى ربّه فيكلِّمه تكليماً من وراء السّدرة ليلة المعراج إلى ربِّه، فمرّ به في الملكوت الكونيّ ليريه النّار التي وعد بها الكُفار ويريه الجنّة التي وعد بها الأبرار. تصديقاً لقول الله تعالى: {وَإِنَّا عَلَىٰ أَنْ نُرِيَكَ مَا نَعِدُهُمْ لَقَادِرُونَ} صدق الله العظيم [المؤمنون:٩٥]. ولم يرَ الله سُبحانه وتعالى علوَّاً كبيراً بل رأى من آيات ربّه الكُبرى في الكتاب، ومن آياته الكبرى ما يغشى سدرة المُنتهى من نورِ وجهه سبحانه وتعالى علواً كبيراً، ومن آياته الكُبرى السّدرة التي هي أكبر شيء خلقه الله في الكتاب التي عندها الجنّة، فبرغم أنّ الجنّة عرضها السموات والأرض ولكنّها عند سدرة المُنتهى، ثم أكبر ملائكةٍ في الكتاب وهم الثمانية حملة عرشه سُبحانه وتعالى علواً كبيراً.
وأما خزنة جهنّم فهم تسعة عشر ملكاً فقط، وهم من النوع الأكبر فكُلما أراد الكُفار أن يخرجوا من نار جهنّم أُعيدوا فيها بواسطة أجنحة الملائكة الكُبرى، فضربة جناح الملك تُرجع أُمماً لا يحصيها إلا الله فيعيدهم بضربة جناحه بشدةٍ مؤلمةٍ إلى نار جهنّم فيقولون لهم ذوقوا عذاب الحريق. تصديقاً لقول الله تعالى: {كُلَّمَا أَرَادُوا أَنْ يَخْرُجُوا مِنْهَا مِنْ غَمٍّ أُعِيدُوا فِيهَا وَذُوقُوا عَذَابَ الْحَرِيقِ} صدق الله العظيم [الحج:٢٢].
وملائكة النّار في الحجم من النوع الأكبر ذوي أربعة الأجنحة غلاظٌ شدادٌ لا يعصون الله ما أمرهم ويفعلون ما يؤمرون، وبضربة أحد أجنحته يصدّ أمماً لا يحصيها إلا الله فيعيدهم بضربةٍ جناحه إلى نار جهنّم وقائدهم ملك يُدعى (مالك). تصديقاً لقول الله تعالى: {وَنَادَوْا يَا مَالِكُ لِيَقْضِ عَلَيْنَا ربّك قَالَ إِنَّكُمْ مَاكِثُونَ ﴿٧٧﴾ لَقَدْ جِئْنَاكُمْ بالحقّ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَكُمْ لِلْحَقِّ كَارِهُونَ ﴿٧٨﴾} صدق الله العظيم [الزخرف].
وأصغر حجم في الملائكة هم الملكان الموكلان بالإنسان بحفظ عمله خيره وشره فهم مُكلفان معه حتى يأتي قدر موته ثم يتوفونه وهما رقيب وعتيد، وكُلّ إنسان معه ملائكة الموت وهم رقيب وعتيد كما سبق تفصيل مهامهم الموكلة إليهم في بيان قبل هذا، وهم من أصغر أنواع الملائكة المُكرّمين ولا يفرطون في الكافر حتى يُلقياه في العذاب الشديد في نار جهنّم ثم تنتهي مهمتهم. تصديقاً لقول الله تعالى: {أَلْقِيَا فِي جهنّم كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَنَّاعٍ لِلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾} صدق الله العظيم [ق].
ويأخذ أحدهم بناصيته وهو عتيد وأمّا رقيب فيأخذه بقدميه فيلقياه فيقذفون به في نار جهنّم، وذلك لأنهم يسوقونه إلى الباب فيأبى أن يدخل نار جهنّم ومن ثم يأخذوه بناصيته وقدميه فيقذفون به في نار جهنم. تصديقاً لقول الله تعالى: {فَيُؤْخَذُ بِالنَّوَاصِي وَالْأَقْدَامِ} صدق الله العظيم [الرحمن:٤١]. فيلقون به في نار جهنم. تصديقاً لقول الله تعالى: {فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ} صدق الله العظيم، ثم تنتهي مهمة رقيبٍ وعتيدٍ وهم أنفسهم ملائكة الموت الحفظة لعمل الإنسان حتى يأتي قدره فيتوفونه وهم لا يفرّطون به حتى يلقوا به في نار جهنّم فيُخلوا مسؤوليتهم إذا كان من أصحاب الجحيم. تصديقاً لقول الله تعالى: {وَهُوَ الْقَاهِرُ فَوْقَ عِبَادِهِ وَيُرْسِلُ عَلَيْكُمْ حَفَظَةً حَتَّىٰ إِذَا جَاءَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ تَوَفَّتْهُ رُسُلُنَا وَهُمْ لَا يُفَرِّطُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:٦١].
وهم من أصغر أحجام الملائكة، وأعظم الأحجام هم الثمانية حملة عرش الرحمن، ويليهم في الحجم تسعة عشر ملك وهم خزنة جهنّم الغلاظ الشداد.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخو المؤمنين؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــ