{"postid":288683,"title":"إلىأحبتي المسلمين الصــــــــــائمين .. Kwa Wapendwa Wangu Waislamu Wanaofunga ...","dateline":1528833138,"pagetext":"<div style=\"text-align: center;\"><font size=\"5\"><font color=\"#0000ff\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\">- 7 -<\/span><br \/>\n<\/font><font color=\"#000080\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\">Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani <br \/>\nالإمام ناصر محمد اليماني<br \/>\n13 - 09 - 1434 هـ<br \/>\n20 - 07 - 2013 مـ<br \/>\n<\/span><\/font><\/font><font color=\"#000080\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font size=\"5\">09:45 صباحاً<br \/>\n<a href=\"https:\/\/nasser-alyamani.org\/showthread.php?7894\" target=\"_blank\">https:\/\/nasser-alyamani.org\/showthread.php?7894<\/a><br \/>\nــــــــــــــــــــــ<br \/>\n<\/font><\/span><\/font><font color=\"#454545\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font size=\"5\"><br \/>\n<\/font><\/span><\/font><font color=\"#800080\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font size=\"5\"><u>إلى أحبتي المسلمين الصــــــــــائمين<\/u> ..<br \/>\n<b>Kwa Wapendwa Wangu Waislamu Wanaofunga ... <\/b><br \/>\n<\/font><\/span><\/font><font color=\"#454545\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font size=\"5\"><br \/>\n<\/font><\/span><\/font><font color=\"#0000ff\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font size=\"5\">Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Alihi zao mpaka aliokhitimisha Muhammad Sala Allah Aliyhi Wa Alihi Wa Aleyhim Na Usalim Taslan, Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Katika Mitume Wake Na Wakasema Tumesikia Na Tumetii Tughufurie Ewe Mola Mlezi Wetu Na Kwako Maregeo..<br \/>\n<br \/>\n<br \/>\nNa Enyi Wapendwa Wangu Kwa Allah, Inafadhiliwa katila Ramadhani kwamba muswali swala ya magharibi na isha mkusanyiko wa kuchelewesha kwenye wakati ushaingia usiku ambao nayo ni wakati wa swala ya isha, Na eee ajambu yangu kubwa vipi mutafanya mwezi wa ramadhani kama miyezi ya kula, Lakini hakika mumefunga muda wote wa siku mpaka mwadhini wa magharibi!<br \/>\n<br \/>\n<br \/>\nNa labda anataka moja katia wanao kaza mambo bila ya haki kutaka kusema:” Bali sisi tunakula tende moja na sambusa moja alafu tunaenda kuswali alafu tunarudi ndio tuendele kula chakula cha ftari”. Na alafu anarudisha jibu Al’Imam Al’Mahdi juu ya waulizaji na tunasema: Hakika hivo inaharibu Hamu ya kula ya wengi katika watu kwamba ale kidogo na yeye ana nja alafu aende kuswali alafu inafungika shahia yake hamu ya kula, Basi baada ya kuswali hakika hatopata ile shahia ile hamu yake ya kula kama ilivo kua wakati wa adhana ya magharibi, <br \/>\n<br \/>\n<br \/>\nNa hakika ilikua saum ya Muhammad Mtume Wa Allah Na wale Ambao wako nae walikua wanafunga mpaka kudhirika “ashafaq” alama ya kuingia msitari mweusi  ya swala ya magharibi basi wanafuturu na wanaendelea kula chakula cha fitari kutoka ashafaq mpaka kuingia wakati wa alghasaq alfu ndio wanaswali isha na maghrib jamm taakhir, Na wala alkua hawacheleweshi kula chakula cha fitari mpaka unapo ingia usiku. <br \/>\n<br \/>\n<br \/>\nNa hakika ameweka Mtume ju yake sala na salam alama katika dini ya Allah ikitimu kubadilisha basi hapo mutajua kwamba hakika imeingia katika dini yenu bidaa. Na hi alama ya kweli kwamba nyinyi mukipata umma wenu wanatanguliza fitari kabla ya kuswali magharibi Bali wanaadhiniwa kwajili ya maghrib alafu wanatanguliza fitari kabla kukimiwa swala na wala hawaicheleweshi mpaka baada ya swala ya magharibi kwakua hivo hivo inadhuru shahia hamu  ya nafsi ya kula, Ndio Akawafundisha Muhammad Mtume Wa Allah Kwamba nyinyi mukipata umma wenu wafanya kinyume basi wanachelewesha kula chakula cha fitari mpaka giza linapo ingia, Basi hapo mutajua kwamba imeingia katika dini yenu uzushi hajateremsha Allah nayo utawala Na hawako umma kwenye kheri tena kwenye dini yao,  Na akasema juu yake sala na salam:<br \/>\n وقال عليه الصلاة والسلام: <\/font><\/span><\/font><font color=\"#a52a2a\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font size=\"5\">[لاتزال أمتي بخير ما عجّلوا الفطور وأخّروا السحور] <\/font><\/span><\/font><font size=\"5\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font color=\"#0000ff\">صدق عليه الصلاة والسلام.<\/font><\/span><br \/>\n<font color=\"#0000FF\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font color=\"#a52a2a\">[ Utabaki umma wangu kwenye kheri madamu watatanguliza fitari na waka’chelewesha Daku] <\/font>Sadaqa Aleyhi Asalat wa Asalam. <\/span><\/font><br \/>\n<span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font color=\"#0000ff\"><br \/>\n<\/font><\/span><br \/>\n<br \/>\n<span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font color=\"#0000ff\">Allahuma Nimebalighisha Allahuma Shuhudia, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin.. <\/font><\/span><br \/>\n<span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font color=\"#0000ff\">Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani. <\/font><\/span><br \/>\n<br \/>\n<br \/>\n<span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font color=\"#0000ff\">اللهم قد بلّغتُ اللهم فاشهدْ، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..<\/font><\/span><br \/>\n<span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><font color=\"#0000ff\">أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد ال<\/font><\/span><font color=\"#0000FF\"><span style=\"font-family: Helvetica\">يماني.<\/span><\/font><br \/>\n<\/font><font color=\"#0000FF\"><span style=\"font-family: Helvetica\"><font size=\"5\">ــــــــــــــــــ<br \/>\n<br \/>\n<\/font><\/span><\/font><font color=\"#000000\"><span style=\"font-family: &amp;quot\"><div class=\"showpost\">108762<\/div><\/span><\/font><font color=\"#0000FF\"><span style=\"font-family: Helvetica\"><font size=\"5\"><br \/>\n<br \/>\n<\/font><\/span><\/font><font color=\"#454545\"><span style=\"font-family: UICTFontTextStyleBody\"><span style=\"font-family: Helvetica\"><font color=\"#333333\"><br \/>\n<\/font><\/span><\/span><\/font><\/div>","keywords":"kula,isha,wala,mpaka,ingia,alafu,magharibi,sala","description":"Na Enyi Wapendwa Wangu Kwa Allah Inafadhiliwa katila Ramadhani kwamba muswali swala ya magharibi na isha mkusanyiko wa kuchelewesha kwenye wakati ushaingia","source":"108762","lastedit":1528879905,"threadid":35078,"thread":"إلىأحبتي المسلمين الصــــــــــائمين .. Kwa Wapendwa Wangu Waislamu Wanaofunga ...","forumid":100}