Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
30 - شعبان - 1444 هـ
22 - 03 - 2023 مـ
01:13 مساءً
(kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umil Qura)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
____


Mwenyezi Mungu awabariki kwa mwezi wa Ramadhani na siku zote za zama, basi usiabudu Ramadhani na mumwabudu Mwingi wa Rehema katika kila wakati na mahali; Aliniusia Swalah na Zaka maadamu ni hai.
بارَك الله لَكُم شَهْر رَمَضان وكافَّة أيَّامِ الزَّمانِ، فلا تَعبُدوا رَمَضان واعُبدوا الرَّحمن في كُلِّ زَمَانٍ ومَكانٍ؛ وأوصاني بالصَّلاةِ والزَّكاةِ ما دُمتُ حَيًّا ..


Salamu Allah Aleykum Wa Rahmatuhu Wa Barakatuhu Wa Naim Ridhwanuhu Wapendwa Wangu Ma Ansari Walio Tangulia Walio Bora, Na Wote Waislamu Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu..


“Mungu awabariki nyinyi na wale kama nyinyi walio waaminifu kwa Mola wa walimwengu wote, mwezi wa Ramadhani na siku zote za zama mpaka siku ya kukutana na Mwingi wa Rehema.
Na Aitukuzae cheo chenu,akaiheshimu hadhi yaenu, na azifanye nyoyo zenu kuwa imara kwenye njia ya radhi Zake. Mpaka siku mtakusanywa kwa Mwingi wa Rehema kuwa wajumbe, enyi mliofunga agano na Mwingi wa Rehema Kwamba hamtotosheka siku ya kukutana kwake mpaka awie radhi”.


Na fahamuni kuwa Mungu amekuumbeni ili mumuabudu inavyopasa kuabudiwa ili aridhike na nyinyi na nyinyi muridhike nae. Baada ya kushindana kwenu na imamu waenu katika mapenzi na ukaribu wa Mwenyezi Mungu (Mungu akawaridhia na akawapenda na akawafanya muwe karibu nae), Na utimizo wa ahadi yake ulibakia kukuridhisheni, ili mkusanywe kwa Mwingi wa Rehema kuwa wajumbe wa kujadiliana ili kuwaridhisha. Na ninaapa kwa aliye umba majini kwa moto, na akamuumba mtu kwa udongo kama mfinyanzi, kwamba waja wa neema kubwa miongoni mwenu, Mwingi wa Rehema, hatowaridhisha kwa ufalme wote wa bustani zenye neema ambazo upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi mpaka aridhike na huzuni yake iondoke. Je! Mungu amekuumbeni ispokua ili aridhike na nyinyi nayi muridhike naye?! Hakika Kwakuwa kuridhika kwenu kunahusiana na radhi Yake – Neema ambayo ni kubwa kuliko Pepo Yake – Utukufu ni Wake, na kwa ajili hiyo Amekuumbeni.Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ ۚ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ۚ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ‎﴿٧٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim: [Sura: Al-Tawuba 72].

Hiyo ndiyo hali halisi ya waja wa neema kubwa, na hawakuibadilisha, Na hawatokita pamoja na Imam Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani isipokuwa watu ambao Mwenyezi Mungu aliahidi kuwatumiliza katika muhakam ilio wazi maana yake Kitabu chake madhubuti Qur'ani Tukufu. Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَن يَرْتَدَّ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَلَا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لَائِمٍ ۚ ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ ‎﴿٥٤﴾}
Sadaq Allah Al’3adhim:[Sura:Al-Maida 54].


Na Ramadhani Kareem, na Mwenyezi Mungu Awakitishe imara kwenye Njia Iliyo Nyooka, na akwafanyie mkabala wenu kuwa Qur'ani Tukufu.
Chemchemi ya nyoyo zenu, nuru ya vifua vyenu, na mwenzi katika njia yenu, hiyo ndiyo kamba ya Mwenyezi Mungu pana. Basi shikamaneni na Kamba ya Mwenyezi Mungu, Qur'ani Tukufu, na mkufuru yanao kuja kinyume cha Qur'ani yenye hukumu, watakavo kua nani wapokezi wake na waaminifu wake, basi atkuongozeni kwenye njia iliyonyooka. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَكُم بُرْهَانٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ نُورًا مُّبِينًا ‎﴿١٧٤﴾‏ فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا بِاللَّهِ وَاعْتَصَمُوا بِهِ فَسَيُدْخِلُهُمْ فِي رَحْمَةٍ مِّنْهُ وَفَضْلٍ وَيَهْدِيهِمْ إِلَيْهِ صِرَاطًا مُّسْتَقِيمًا ‎﴿١٧٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Nisaa-175].

Haya ndiyo aliyokusieni Mwenyezi Mungu shikamaneni na Qur'ani yenye maamuzi, tukufu, yenye nuru kwenye njia ya Mwenye nguvu, Msifiwa; Hakika Mola wangu Mlezi yuko kwenye Njia iliyonyooka kwa anayetaka kushika njia ya kwenda kwa Mola wake Mlezi. Na anayetaka uwongofu kinyume na Qur’an yenye maamuzi, Mwenyezi Mungu atampoteza, atapotea na kumpoteza, kana kwamba ameanguka kutoka mbinguni na akanyakuliwa na ndege au akapeperushwa na upepo mpaka mahali pa mbali Kwenye uwangamivu. Basi hayo ni baina yangu na nyinyi na walimwengu; Hoja ya Mwenyezi Mungu ju ya Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), na hoja dhidi ya Waarabu baada ya kutangazwa, na hoja yenu dhidi ya walimwengu baada ya kutangazwa na ni udhuru kwa Mwenyezi Mungu na wapate kuogopa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَاسْتَمْسِكْ بِالَّذِي أُوحِيَ إِلَيْكَ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ‎﴿٤٣﴾‏ وَإِنَّهُ لَذِكْرٌ لَّكَ وَلِقَوْمِكَ ۖ وَسَوْفَ تُسْأَلُونَ ‎﴿٤٤﴾‏ وَاسْأَلْ مَنْ أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رُّسُلِنَا أَجَعَلْنَا مِن دُونِ الرَّحْمَٰنِ آلِهَةً يُعْبَدُونَ ‎﴿٤٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim [Sura:Al-Zukhruf 43-45].
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنَّهُ لَتَذْكِرَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ ‎﴿٤٨﴾‏ وَإِنَّا لَنَعْلَمُ أَنَّ مِنكُم مُّكَذِّبِينَ ‎﴿٤٩﴾‏ وَإِنَّهُ لَحَسْرَةٌ عَلَى الْكَافِرِينَ ‎﴿٥٠﴾‏ وَإِنَّهُ لَحَقُّ الْيَقِينِ ‎﴿٥١﴾‏ فَسَبِّحْ بِاسْمِ رَبِّكَ الْعَظِيمِ ‎﴿٥٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Ahqaf].

Na ni Kitabu kilichohifadhiwa kutokana na kupotoshwa, hauji batili uwongo kutoka kabla yake - zama za Mtume wake Muhammad - kukipotosha, wala nyuma yake - baada ya kufa Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). naye na ampe amani. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ يُلْحِدُونَ فِي آيَاتِنَا لَا يَخْفَوْنَ عَلَيْنَا ۗ أَفَمَن يُلْقَىٰ فِي النَّارِ خَيْرٌ أَم مَّن يَأْتِي آمِنًا يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۚ اعْمَلُوا مَا شِئْتُمْ ۖ إِنَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ ‎﴿٤٠﴾‏ إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا بِالذِّكْرِ لَمَّا جَاءَهُمْ ۖ وَإِنَّهُ لَكِتَابٌ عَزِيزٌ ‎﴿٤١﴾‏ لَّا يَأْتِيهِ الْبَاطِلُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَلَا مِنْ خَلْفِهِ ۖ تَنزِيلٌ مِّنْ حَكِيمٍ حَمِيدٍ ‎﴿٤٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Fusilat: 40-42].


Basi jihadhari na fitna za wachochezi wanaoifanya Qur’an kuwa haina maana (wanaamini baadhi ya Kitabu na kukufuru baadhi kwa lengo la kukipotosha) ili wafe katika ghadhabu zao; Mwenyezi Mungu huikamilisha nuru yake hata kama makafiri wanaichukia. Basi shikamaneni na neno la uchamungu: “Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu peke yake, hana mshirika”, basi usiwe miongoni mwa wale ambao Mwenyezi Mungu alisema juu yao:
{وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ ‎﴿١٠٦﴾‏ أَفَأَمِنُوا أَن تَأْتِيَهُمْ غَاشِيَةٌ مِّنْ عَذَابِ اللَّهِ أَوْ تَأْتِيَهُمُ السَّاعَةُ بَغْتَةً وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ ‎﴿١٠٧﴾‏ قُلْ هَٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ‎﴿١٠٨﴾‏}
[106-108 Sura:Yusuf],
Basi muombeni Mwenyezi Mungu peke yake, wala usiwe miongoni mwa wale ambao Mwenyezi Mungu amesema juu yao:
{وَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ جَعَلْنَا بَيْنَكَ وَبَيْنَ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ حِجَابًا مَّسْتُورًا ‎﴿٤٥﴾‏ وَجَعَلْنَا عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَن يَفْقَهُوهُ وَفِي آذَانِهِمْ وَقْرًا ۚ وَإِذَا ذَكَرْتَ رَبَّكَ فِي الْقُرْآنِ وَحْدَهُ وَلَّوْا عَلَىٰ أَدْبَارِهِمْ نُفُورًا ‎﴿٤٦﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Israa 45-46 ],
Msiombe yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu, kwani hakuna mpatanishi katika maombi baina ya waja na Mola anayeabudiwa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَلَا تَدْعُ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَتَكُونَ مِنَ الْمُعَذَّبِينَ ‎﴿٢١٣﴾‏} [213 Al-Shuaara],
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا ‎﴿١٨﴾}
[ Sura:Al-Jin18 ],

Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu peke yake, asiye na mshirika.” Hayo ndiyo maneno mazito katika wahyi madhubuti. AKasema Allah Ta3ala:
{وَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ جَعَلْنَا بَيْنَكَ وَبَيْنَ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ حِجَابًا مَّسْتُورًا ‎﴿٤٥﴾‏ وَجَعَلْنَا عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَن يَفْقَهُوهُ وَفِي آذَانِهِمْ وَقْرًا ۚ وَإِذَا ذَكَرْتَ رَبَّكَ فِي الْقُرْآنِ وَحْدَهُ وَلَّوْا عَلَىٰ أَدْبَارِهِمْ نُفُورًا ‎﴿٤٦
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-israa 45-46].


Basi shikamaneni na neno la uchamungu: “Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu, Peke Yake asiye na mshirika,” na muabuduni Mwenyezi Mungu peke yake bila mshirika, basi msimuombe yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ ‎}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Ghafir],

Hayo ndiyo maneno mazito: “Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu, Yeye yuko peke yake, hana mshirika,” ni mukhtasari wa yale waliyoyaleta Mitume na Manabi Wote. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ ‎﴿١٣٦﴾‏ فَإِنْ آمَنُوا بِمِثْلِ مَا آمَنتُم بِهِ فَقَدِ اهْتَدَوا ۖ وَّإِن تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا هُمْ فِي شِقَاقٍ ۖ فَسَيَكْفِيكَهُمُ اللَّهُ ۚ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ ‎﴿١٣٧﴾‏ صِبْغَةَ اللَّهِ ۖ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنَ اللَّهِ صِبْغَةً ۖ وَنَحْنُ لَهُ عَابِدُونَ ‎﴿١٣٨﴾‏ قُلْ أَتُحَاجُّونَنَا فِي اللَّهِ وَهُوَ رَبُّنَا وَرَبُّكُمْ وَلَنَا أَعْمَالُنَا وَلَكُمْ أَعْمَالُكُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُخْلِصُونَ ‎﴿١٣٩﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Albaqara136-139].
"Hapana mungu ila Allah pekee asiye na mshirika"
Basi hayo ndiyo yaliyoteremshwa katika Vitabu vya Mwenyezi Mungu kwa ujumla, kuanzia cha kwanza wao mpaka khatimu wa Mitume na ma Nabi, Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu, swalah za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao na wale wanaofuata njia yao na amani iwe ju yao, Na mukhtasari wa waliyokuja nayo ni mwito wa kumwabudu Mungu peke yake bila mshirika. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رَّسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ ‎﴿٢٥﴾‏ وَقَالُوا اتَّخَذَ الرَّحْمَٰنُ وَلَدًا ۗ سُبْحَانَهُ ۚ بَلْ عِبَادٌ مُّكْرَمُونَ ‎﴿٢٦﴾‏ لَا يَسْبِقُونَهُ بِالْقَوْلِ وَهُم بِأَمْرِهِ يَعْمَلُونَ ‎﴿٢٧﴾}
[25-27 Sura:Al-Anmbiaa].

"Hapana mungu ila Allah pekee asiye na mshirika"
Huo ndio mukhtasari wa wito wa Muhammadaiya, Issawia, Musawia, na Ibrahimia na wito wa kimataifa wa Mahdia; Wito mmoja wa umoja kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu peke yake, ambaye hana mshirika. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِن تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ ‎﴿٦٤﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura-Al-Imran 64].


Basi wakakufuru wito wa Mitume wa Mwenyezi Mungu na Khalifa wake, Mahdi, Nasser Muhammad, na Nasser Mnusura wake aliyetumwa na Mwenyezi Mungu kutoka kwa Mitume kabla ya Muhammad,Sala Allahu aleyhim Ajmain wa Usalim Tasliman, Yeyote anayechukia wito wangu amechukia wito wa manabii na mitume wote na mwisho wake ni Jahannamu (kifungo cha Mungu na jela kuu) Ina Milango saba, na kila moja ina sehemu iliyogawiwa kwa wanao kadhibisha na wakafanya kiburi. Huwezi kustahimili kuchumwa kwa sigara, Basi jihadharini na moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Hayo ni kwa sababu akiitwa Mwenyezi Mungu peke yake mmekufuru, na mkishirikishwa naye mtaamini. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا يُنَادَوْنَ لَمَقْتُ اللَّهِ أَكْبَرُ مِن مَّقْتِكُمْ أَنفُسَكُمْ إِذْ تُدْعَوْنَ إِلَى الْإِيمَانِ فَتَكْفُرُونَ ‎﴿١٠﴾‏ قَالُوا رَبَّنَا أَمَتَّنَا اثْنَتَيْنِ وَأَحْيَيْتَنَا اثْنَتَيْنِ فَاعْتَرَفْنَا بِذُنُوبِنَا فَهَلْ إِلَىٰ خُرُوجٍ مِّن سَبِيلٍ ‎﴿١١﴾‏ ذَٰلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ ۖ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا ۚ فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ ‎﴿١٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura: Ghafir10-12].

Na nitawaacha wale wanaokengeuka kwa muda. Nimewafafanulia Qur’ani tukufu kwa Qur’ani iliyo wazi kutoka katika Qur’ani hiyo hiyo kubwa na nimeieleza kwa kina katika kipindi cha miaka kumi na minane. Na ikasimama hoja juu ya wale waliochukia wito wangu katika walimwengu wote. Uzito wa msisitizo wangu ni kwamba niliwalingania usiku na mchana katika kipindi cha miaka kumi na minane na nikajichosha kwa kuogopa kupungukiwa na kile ambacho Mungu alinikabidhi. Ni kiasi gani niliwanasihi, lakini hamupendi wanao toa nasaha. Na Alhamdulillah Rabil3alamin. Kwa hivyo je munaona kwenye ulinganizi Wangu kuna Batili?! Hukumu ni ya Mwenyezi Mungu, mbora wa mahakimu. Akasema Allah Ta3ala:
{فَتَوَلَّ عَنْهُمْ فَمَا أَنتَ بِمَلُومٍ ‎﴿٥٤﴾‏ وَذَكِّرْ فَإِنَّ الذِّكْرَىٰ تَنفَعُ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٥٥﴾‏ وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ‎﴿٥٦﴾‏ مَا أُرِيدُ مِنْهُم مِّن رِّزْقٍ وَمَا أُرِيدُ أَن يُطْعِمُونِ ‎﴿٥٧﴾‏ إِنَّ اللَّهَ هُوَ الرَّزَّاقُ ذُو الْقُوَّةِ الْمَتِينُ ‎﴿٥٨﴾‏ فَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا ذَنُوبًا مِّثْلَ ذَنُوبِ أَصْحَابِهِمْ فَلَا يَسْتَعْجِلُونِ ‎﴿٥٩﴾‏ فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا مِن يَوْمِهِمُ الَّذِي يُوعَدُونَ ‎﴿٦٠﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Dhariat].
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَتَوَلَّ عَنْهُمْ حَتَّىٰ حِينٍ ‎﴿١٧٤﴾‏ وَأَبْصِرْهُمْ فَسَوْفَ يُبْصِرُونَ ‎﴿١٧٥﴾‏ أَفَبِعَذَابِنَا يَسْتَعْجِلُونَ ‎﴿١٧٦﴾‏ فَإِذَا نَزَلَ بِسَاحَتِهِمْ فَسَاءَ صَبَاحُ الْمُنذَرِينَ ‎﴿١٧٧﴾‏ وَتَوَلَّ عَنْهُمْ حَتَّىٰ حِينٍ ‎﴿١٧٨﴾‏ وَأَبْصِرْ فَسَوْفَ يُبْصِرُونَ ‎﴿١٧٩﴾‏ سُبْحَانَ رَبِّكَ رَبِّ الْعِزَّةِ عَمَّا يَصِفُونَ ‎﴿١٨٠﴾‏ وَسَلَامٌ عَلَى الْمُرْسَلِينَ ‎﴿١٨١﴾‏ وَالْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ ‎﴿١٨٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim: [Al-Saafat].


Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Wote; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
خليفةُ الله على العالَم بِأسرِه؛ الإمامُ المهديّ ناصر محمد اليمانيّ.
______

======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة 409857 من موضوع بارَك الله لَكُم شَهْر رَمَضان وكافَّة أيَّامِ الزَّمانِ، فلا تَعبُدوا رَمَضان واعُبدوا الرَّحمن في كُلِّ زَمَانٍ ومَكانٍ؛ وأوصاني بالصَّلاةِ والزَّكاةِ ما دُمتُ حَيًّا ..

الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
30 - شعبان - 1444 هـ
22 - 03 - 2023 مـ
01:13 مساءً
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)

[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=409693
____________


بارَك الله لَكُم شَهْر رَمَضان وكافَّة أيَّامِ الزَّمانِ، فلا تَعبُدوا رَمَضان واعُبدوا الرَّحمن في كُلِّ زَمَانٍ ومَكانٍ؛ وأوصاني بالصَّلاةِ والزَّكاةِ ما دُمتُ حَيًّا ..


سَلامُ الله عَليكُم ورَحمته وبركاته ونَعيم رضوانه أحِبَّتي الأنصار السَّابقين الأخيار، وجَميع المُسلِمين لِرَبِّ العالَمين..

"بارَك الله لَكُم ومَن على شاكلتكم مِن المُؤمنين المُخلصين لِرَبِّ العالَمين شَهْر رَمضان وكافَّة أيَّام الزَّمان إلى يوم لِقاء الرَّحمن، ورَفَع قَدركم ومكانكم وأعَزَّ جاهكم وثَبَّت قلوبكم على صِراط نَعيم رضوانه إلى يَوم يَتِمّ حَشركم إلى الرَّحمن وفدًا يا مَن اتَّخذتُم عِند الرَّحمن عَهدًا أن لا ترضوا يَوم لقائه حتى يَرضى".

واعلَموا أنَّ الله خَلَقَكم لِتَعبدوه كما ينبغي أن يُعبَد ليرضى عنكم وترضوا عَنه؛ فبَعْد تنافسكم مع إمامكم في حُبِّ الله وقُربِه (رَضيَ الله عنكم وأحَبَّكُم وقَرَّبَكُم)، وبقي الوفاء بوعده أن يُرضيكم فيَتِمّ حشركم إلى الرَّحمن وفدًا للتفاوض لإرضائكم، وأُقسِم بِمَن خَلَق الجانَّ مِن نارٍ وخَلَق الإنسان مِن صَلصَالٍ كالفخَّار أنَّ عَبيد النَّعيم الأعظم فِيكُم لَن يُرضيهم الرَّحمن بكافّة مَلَكوت جَنَّات النَّعيم التي عرضها كعَرض السَّماوات والأرض حتى ترضى نفسه ويذهبَ حُزنه. فهل خلقكم الله إلَّا ليرضى عَنكُم وترضوا عنه؟! كون رضوانكم مُتَعَلِّقًا برضوان نفسه - النَّعيم الأعظَم مِن جَنَّته - سُبحانه،
ولذلك خلقَكُم تصديقًا لقول الله تعالى: {وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ ۚ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ۚ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ‎﴿٧٢﴾‏} [سورة التوبة].

فَتِلك حَقيقة عَبيد النَّعيم الأعظَم، وما بَدَّلوا تَبديلًا، فلَن يَثبُت مع الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ غَير القَوم الذين وعد الله بِبَعثهم في مُحكَم كِتابه القُرآن العَظيم في قول الله تعالى: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَن يَرْتَدَّ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَلَا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لَائِمٍ ۚ ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ ‎﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [سورة المائدة].

ورَمَضان كَريم، وثَبَّتكم الله على الصِّراط المُستَقيم، وجَعَل نَهجكم القُرآن العَظيم؛ رَبيعَ قلوبكم ونورَ صُدوركم ورَفيقَ دَربكم، ذَلِكُم حَبْل الله المَتين، فاعَتَصِموا بِحَبْل الله القُرآن العظيم واكفروا بِما يُخالِف لِمُحكَم القرآن مَهْما كانوا رُواته وثِقاته فيَهديكم إلى الصِّراط المُستَقيم، تصديقًا لقول الله تعالى:
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَكُم بُرْهَانٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ نُورًا مُّبِينًا ‎﴿١٧٤﴾‏ فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا بِاللَّهِ وَاعْتَصَمُوا بِهِ فَسَيُدْخِلُهُمْ فِي رَحْمَةٍ مِّنْهُ وَفَضْلٍ وَيَهْدِيهِمْ إِلَيْهِ صِرَاطًا مُّسْتَقِيمًا ‎﴿١٧٥﴾‏} صدق الله العظيم [سورة النساء].

ذَلِكُم وَصَّاكم بِه الله أن تعتصموا بِمُحكَم القرآن المَجيد المُنير إلى صِراط العَزيز الحَميد؛ إنَّ رَبّي على صِراطٍ مُستَقيم لِمَن شاء أن يَتَّخِذ إلى رَبِّه سَبيلًا. ومَن ابتغى الهُدى فيما يُخالِف لِمُحكَم القرآن العظيم أضلّه الله وهَوى وغَوى فكأنَّما خَرَّ مِن السَّماء فتخطفه الطَّير أو تَهوي بِه الرِّيح إلى مَكانٍ سَحيقٍ، فَذلِك بيني وبينكم والعالَمين؛ حُجَّة الله على مُحَمَّدٍ رسول الله صلى الله عليه وأُسَلِم تَسليمًا، وحُجّةٌ على العَرَب مِن بَعْد التَّبليغ، وحُجَّتكُم على العالَمين مِن بَعْد التَّبليغ مَعذِرَة إلى الله ولَعَلَّهم يَتَّقون، تصديقًا لقول الله تعالى:
{فَاسْتَمْسِكْ بِالَّذِي أُوحِيَ إِلَيْكَ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ‎﴿٤٣﴾‏ وَإِنَّهُ لَذِكْرٌ لَّكَ وَلِقَوْمِكَ ۖ وَسَوْفَ تُسْأَلُونَ ‎﴿٤٤﴾‏ وَاسْأَلْ مَنْ أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رُّسُلِنَا أَجَعَلْنَا مِن دُونِ الرَّحْمَٰنِ آلِهَةً يُعْبَدُونَ ‎﴿٤٥﴾‏}[سورة الزخرف]، وتصديقًا لقول الله تعالى: {وَإِنَّهُ لَتَذْكِرَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ ‎﴿٤٨﴾‏ وَإِنَّا لَنَعْلَمُ أَنَّ مِنكُم مُّكَذِّبِينَ ‎﴿٤٩﴾‏ وَإِنَّهُ لَحَسْرَةٌ عَلَى الْكَافِرِينَ ‎﴿٥٠﴾‏ وَإِنَّهُ لَحَقُّ الْيَقِينِ ‎﴿٥١﴾‏ فَسَبِّحْ بِاسْمِ رَبِّكَ الْعَظِيمِ ‎﴿٥٢﴾‏} صدق الله العظيم [سورة الحاقة].

وإنَّه لَكِتابٌ مَحفوظٌ مِن التَّحريف لا يأتيه الباطِلُ مِن بين يديه - في عَهْد رسوله مُحَمَّد - لتحريفه ولا مِن خَلفه - مِن بَعْد مَوت مُحَمَّدٍ رَسول الله صلى الله عليه وأُسَلِّم تَسليمًا - تصديقًا لقول الله تعالى:
{إِنَّ الَّذِينَ يُلْحِدُونَ فِي آيَاتِنَا لَا يَخْفَوْنَ عَلَيْنَا ۗ أَفَمَن يُلْقَىٰ فِي النَّارِ خَيْرٌ أَم مَّن يَأْتِي آمِنًا يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۚ اعْمَلُوا مَا شِئْتُمْ ۖ إِنَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ ‎﴿٤٠﴾‏ إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا بِالذِّكْرِ لَمَّا جَاءَهُمْ ۖ وَإِنَّهُ لَكِتَابٌ عَزِيزٌ ‎﴿٤١﴾‏ لَّا يَأْتِيهِ الْبَاطِلُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَلَا مِنْ خَلْفِهِ ۖ تَنزِيلٌ مِّنْ حَكِيمٍ حَمِيدٍ ‎﴿٤٢﴾‏} صدق الله العظيم [سورة فصلت].

فَإيَّاكم وفِتنةَ المُرجِفين الذين يَجعلون القُرآن عِضِين (يُؤمِنون بِبَعض الكِتاب ويَكفُرون بِبَعضٍ بِهَدَف تَحريفه) فليَمُوتوا بِغَيظهم؛ إنَّ الله مُتِمّ نُورِه ولو كَرِه الكافِرون. فالزَموا كَلِمَة التَّقوى: "لا إله إلا الله وحده لا شريك له"، فلا تكونوا مِن الذين قال الله عنهم: {وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ ‎﴿١٠٦﴾‏ أَفَأَمِنُوا أَن تَأْتِيَهُمْ غَاشِيَةٌ مِّنْ عَذَابِ اللَّهِ أَوْ تَأْتِيَهُمُ السَّاعَةُ بَغْتَةً وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ ‎﴿١٠٧﴾‏ قُلْ هَٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ‎﴿١٠٨﴾‏} [سورة يوسف]، فادعُوا الله وحَده ولا تَكُونوا مِن الذين قال الله عنهم: {وَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ جَعَلْنَا بَيْنَكَ وَبَيْنَ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ حِجَابًا مَّسْتُورًا ‎﴿٤٥﴾‏ وَجَعَلْنَا عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَن يَفْقَهُوهُ وَفِي آذَانِهِمْ وَقْرًا ۚ وَإِذَا ذَكَرْتَ رَبَّكَ فِي الْقُرْآنِ وَحْدَهُ وَلَّوْا عَلَىٰ أَدْبَارِهِمْ نُفُورًا ‎﴿٤٦﴾‏} صدق الله العظيم [سورة الإسراء]، فلا تَدعُوا مَع الله أحدًا، فلا وسيط في الدُّعاء بين العِبادِ والرَّبِّ المَعبُود، تصديقًا لقول الله تعالى: {فَلَا تَدْعُ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَتَكُونَ مِنَ الْمُعَذَّبِينَ ‎﴿٢١٣﴾‏} [سورة الشعراء]، وتصديقًا لقول الله تعالى: {وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا ‎﴿١٨﴾} [سورة الجن]. "لا إله إلا الله وحده لا شريك له" فذلك هو القَول الثَّقيل في مُحكَم التَّنزيل، وقال الله تعالى: {وَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ جَعَلْنَا بَيْنَكَ وَبَيْنَ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ حِجَابًا مَّسْتُورًا ‎﴿٤٥﴾‏ وَجَعَلْنَا عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَن يَفْقَهُوهُ وَفِي آذَانِهِمْ وَقْرًا ۚ وَإِذَا ذَكَرْتَ رَبَّكَ فِي الْقُرْآنِ وَحْدَهُ وَلَّوْا عَلَىٰ أَدْبَارِهِمْ نُفُورًا ‎﴿٤٦﴾} صدق الله العظيم [سورة الإسراء].

فالزَموا كَلِمة التَّقوى: "لا إلَه إلَّا الله وَحده لا شَريك لَه"، واعبدوا الله وَحده لا شَريك لَه فلا تَدعوا مَع الله أحَدًا، تصديقًا لقول الله تعالى: {وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ ‎﴿٦٠﴾‏} صدق الله العظيم [سورة غافر]، فَذَلِك هو القَول الثَّقيل: "لا إلَه إلَّا الله وَحده لا شَريك له" خُلاصة ما جاء بِه كافَّة الأنبياء والمُرسَلين، تصديقًا لقول الله تعالى: {قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ ‎﴿١٣٦﴾‏ فَإِنْ آمَنُوا بِمِثْلِ مَا آمَنتُم بِهِ فَقَدِ اهْتَدَوا ۖ وَّإِن تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا هُمْ فِي شِقَاقٍ ۖ فَسَيَكْفِيكَهُمُ اللَّهُ ۚ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ ‎﴿١٣٧﴾‏ صِبْغَةَ اللَّهِ ۖ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنَ اللَّهِ صِبْغَةً ۖ وَنَحْنُ لَهُ عَابِدُونَ ‎﴿١٣٨﴾‏ قُلْ أَتُحَاجُّونَنَا فِي اللَّهِ وَهُوَ رَبُّنَا وَرَبُّكُمْ وَلَنَا أَعْمَالُنَا وَلَكُمْ أَعْمَالُكُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُخْلِصُونَ ‎﴿١٣٩﴾‏} صدق الله العظيم [سورة البقرة].

"لا إلَه إلَّا الله وَحده لا شَريك لَه"
فذلك ما تَنزَّل في كُتُب الله أجمَعين مِن أوَّلهم إلى خاتَم الأنبياء والمُرسَلين مُحَمَّد رسول الله صلى الله عليهم وعلى مَن تَبع نَهجهم وأُسَلِّم تسليمًا
، وخُلاصة ما جاءوا به هي الدَّعوة إلى عِبادة الله وحده لا شَريك له، تصديقًا لقول الله تعالى: {وَمَا أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رَّسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ ‎﴿٢٥﴾‏ وَقَالُوا اتَّخَذَ الرَّحْمَٰنُ وَلَدًا ۗ سُبْحَانَهُ ۚ بَلْ عِبَادٌ مُّكْرَمُونَ ‎﴿٢٦﴾‏ لَا يَسْبِقُونَهُ بِالْقَوْلِ وَهُم بِأَمْرِهِ يَعْمَلُونَ ‎﴿٢٧﴾} [سورة الأنبياء].

"لا إلَه إلَّا الله وحده لا شَريك له"
فَتِلك هي خُلاصة الدَّعوة المُحَمَّديّة والعِيساويّة والمُوساويّة والإبراهيميّة والدَّعوة المَهديَّة العالَمِيّة؛ دَعوة واحِدة مُوحَّدة أن لا نَعبُد إلَّا الله وَحده لا شَريك لَه
، تصديقًا لقول الله تعالى: {قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِن تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ ‎﴿٦٤﴾‏} صدق الله العظيم [سورة آل عمران].

فَكَفَروا بِدعوة رُسُل الله وخليفته المَهديّ ناصِر مُحَمَّد وناصِر لِمَن أرسَل الله مِن الرُّسُل مِن قَبْل مُحَمَّد صَلَّى الله عليهم أجمعين وأُسَلِّم تَسليمًا. فَمَن كَرِه دعوتي فَقَد كَرِه دعوة كافّة الأنبياء والمُرسَلين ومَصيره جهنَّم (حَبْسُ الله وسِجنه المَركَزيّ) لها سَبعَة أبوابٍ لِكُلِّ بابٍ مِنهم جُزءٌ مَقسوم لِمَن أبَى واستكبَر؛ فلا تَستَطيعون تحمُّل لَسعَة سيجارة، فاتَّقوا النَّار التي وقودها النَّاس والحِجارة، وذلك بسبب أنَّه إذا دُعيَ الله وحده كفرتُم وإن يُشرَك بِه تُؤمنوا، تصديقًا لقول الله تعالى:
{إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا يُنَادَوْنَ لَمَقْتُ اللَّهِ أَكْبَرُ مِن مَّقْتِكُمْ أَنفُسَكُمْ إِذْ تُدْعَوْنَ إِلَى الْإِيمَانِ فَتَكْفُرُونَ ‎﴿١٠﴾‏ قَالُوا رَبَّنَا أَمَتَّنَا اثْنَتَيْنِ وَأَحْيَيْتَنَا اثْنَتَيْنِ فَاعْتَرَفْنَا بِذُنُوبِنَا فَهَلْ إِلَىٰ خُرُوجٍ مِّن سَبِيلٍ ‎﴿١١﴾‏ ذَٰلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ ۖ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا ۚ فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ ‎﴿١٢﴾‏} صدق الله العظيم [سورة غافر].

ولَسَوف أتَوَلَّى عَن المُعرِضين حَتى حِين؛ فَقَد بَيَّنت لَهُم القُرآن العَظيم بِالقُرآن المُبين مِن نفْس القُرآن العَظيم وفَصَّلته تَفصيلًا على مَدار ثماني عَشرَة سَنة، وأُقيِمَت الحُجَّة على مَن كَرِه دعوتي في العالَمين أجمَعين. وإنَّما شِدَّة الإصرار أنْ دَعَوْتُكم الليل والنَّهار على مَدار ثمانية عَشْر عامًا وأرهَقت نَفسي خَشيةً مِن التَّقصِير بِما كَلَّفَني الله بِه، فلَكَم نَصحت لَكُم ولَكِن لا تُحِبّون النَّاصحين، والحَمْدُ لله رَبّ العالمين. فهل تَرَون في دَعوتي باطِل؟! فالحُكْم لله خَير الفاصِلين، وقال الله تعالى: {فَتَوَلَّ عَنْهُمْ فَمَا أَنتَ بِمَلُومٍ ‎﴿٥٤﴾‏ وَذَكِّرْ فَإِنَّ الذِّكْرَىٰ تَنفَعُ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٥٥﴾‏ وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ‎﴿٥٦﴾‏ مَا أُرِيدُ مِنْهُم مِّن رِّزْقٍ وَمَا أُرِيدُ أَن يُطْعِمُونِ ‎﴿٥٧﴾‏ إِنَّ اللَّهَ هُوَ الرَّزَّاقُ ذُو الْقُوَّةِ الْمَتِينُ ‎﴿٥٨﴾‏ فَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا ذَنُوبًا مِّثْلَ ذَنُوبِ أَصْحَابِهِمْ فَلَا يَسْتَعْجِلُونِ ‎﴿٥٩﴾‏ فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا مِن يَوْمِهِمُ الَّذِي يُوعَدُونَ ‎﴿٦٠﴾‏} صدق الله العظيم [سورة الذاريات]، وتصديقًا لقول الله تعالى: {فَتَوَلَّ عَنْهُمْ حَتَّىٰ حِينٍ ‎﴿١٧٤﴾‏ وَأَبْصِرْهُمْ فَسَوْفَ يُبْصِرُونَ ‎﴿١٧٥﴾‏ أَفَبِعَذَابِنَا يَسْتَعْجِلُونَ ‎﴿١٧٦﴾‏ فَإِذَا نَزَلَ بِسَاحَتِهِمْ فَسَاءَ صَبَاحُ الْمُنذَرِينَ ‎﴿١٧٧﴾‏ وَتَوَلَّ عَنْهُمْ حَتَّىٰ حِينٍ ‎﴿١٧٨﴾‏ وَأَبْصِرْ فَسَوْفَ يُبْصِرُونَ ‎﴿١٧٩﴾‏ سُبْحَانَ رَبِّكَ رَبِّ الْعِزَّةِ عَمَّا يَصِفُونَ ‎﴿١٨٠﴾‏ وَسَلَامٌ عَلَى الْمُرْسَلِينَ ‎﴿١٨١﴾‏ وَالْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ ‎﴿١٨٢﴾‏} صدق الله العظيم [سورة الصافات].

خليفةُ الله على العالَم بِأسرِه؛ الإمامُ المهديّ ناصر محمد اليمانيّ.
______________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..