Al’Imam Al’Mahdi Naseer Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
10 - 12 - 1430 هـ
28 - 11 - 2009 مـ
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umu Al’qura)
____________
( Jibu ju ya mkusanyiko ya maswali ju ya mwanachama Alkatib Alazraq)
Alaa Wallah enyi ma3ashara ya alsunna wa Aljamaa na ma shia Al’ithnaashar hatoamini porojo zenu mtu yoyote ana akili