Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
26 - جمادى الأولى - 1447 هـ
17 - 11 - 2025 مـ
05:46 صباحًا
(بحسب التقويم الرسميّ لأم القرى)
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Uml Qura)
____


Amsema urungo Tramp na mwenzake Binyamin na marafiki wao miongoni mwa ma Yahudi wanao halifu maagano na kukeuka ahadi, Na Amesema kweli Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa ulimwengu..


Bismillahi mwenye kunusuru ambae ni Mlipizaji Jabari, Mshindi wa majabari wafisidifu katika dunia.
ولِينصُرَنَّ الله مَن يَنصره وكان الله قويًّا عزيزًا..


Enye kundi la Assar Allah huko Gaza ya hishima na Falastina yote na Yemen na katika ulimwengu, Na enye wenye utu na ubinadsamu wote, Na je munamini Mwenyezi Mungu katika Fatwa yake kuhusu walio ghadhibiwa wafisidifu katika dunia ma aduwi wa huruma wa ubinadamu? Basi kulingana na fatwa ya Mwenyezi Mungu kua wao wanahalifu ahadi na wakeuka magano Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ أَنزَلْنَآ إِلَيْكَ ءَايَٰتِۭ بَيِّنَٰتٍ ۖ وَمَا يَكْفُرُ بِهَآ إِلَّا ٱلْفَٰسِقُونَ ‎﴿٩٩﴾‏ أَوَكُلَّمَا عَٰهَدُوا۟ عَهْدًا نَّبَذَهُۥ فَرِيقٌ مِّنْهُم ۚ بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ‎﴿١٠٠﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Baqara].


Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{كَيْفَ وَإِن يَظْهَرُوا۟ عَلَيْكُمْ لَا يَرْقُبُوا۟ فِيكُمْ إِلًّا وَلَا ذِمَّةً ۚ يُرْضُونَكُم بِأَفْوَٰهِهِمْ وَتَأْبَىٰ قُلُوبُهُمْ وَأَكْثَرُهُمْ فَٰسِقُونَ ‎﴿٨﴾}
[Sura:Al-Tawuba].


Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ٱلَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ ٱللَّهِ مِنۢ بَعْدِ مِيثَٰقِهِۦ وَيَقْطَعُونَ مَآ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦٓ أَن يُوصَلَ وَيُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ ۚ أُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَٰسِرُونَ ‎﴿٢٧﴾‏}
[Sura:Al-Baqara]


Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ٱلَّذِينَ عَٰهَدتَّ مِنْهُمْ ثُمَّ يَنقُضُونَ عَهْدَهُمْ فِى كُلِّ مَرَّةٍ وَهُمْ لَا يَتَّقُونَ ‎﴿٥٦﴾‏ فَإِمَّا تَثْقَفَنَّهُمْ فِى ٱلْحَرْبِ فَشَرِّدْ بِهِم مَّنْ خَلْفَهُمْ لَعَلَّهُمْ يَذَّكَّرُونَ ‎﴿٥٧﴾‏ وَإِمَّا تَخَافَنَّ مِن قَوْمٍ خِيَانَةً فَٱنۢبِذْ إِلَيْهِمْ عَلَىٰ سَوَآءٍ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ ٱلْخَآئِنِينَ ‎﴿٥٨﴾‏ وَلَا يَحْسَبَنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ سَبَقُوٓا۟ ۚ إِنَّهُمْ لَا يُعْجِزُونَ ‎﴿٥٩﴾‏}
[Sura:Al-Anfal].


Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِكُمْ سُنَنٌ فَسِيرُوا۟ فِى ٱلْأَرْضِ فَٱنظُرُوا۟ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُكَذِّبِينَ ‎﴿١٣٧﴾‏ هَٰذَا بَيَانٌ لِّلنَّاسِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ ‎﴿١٣٨﴾‏ وَلَا تَهِنُوا۟ وَلَا تَحْزَنُوا۟ وَأَنتُمُ ٱلْأَعْلَوْنَ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ‎﴿١٣٩﴾‏ إِن يَمْسَسْكُمْ قَرْحٌ فَقَدْ مَسَّ ٱلْقَوْمَ قَرْحٌ مِّثْلُهُۥ ۚ وَتِلْكَ ٱلْأَيَّامُ نُدَاوِلُهَا بَيْنَ ٱلنَّاسِ وَلِيَعْلَمَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَيَتَّخِذَ مِنكُمْ شُهَدَآءَ ۗ وَٱللَّهُ لَا يُحِبُّ ٱلظَّٰلِمِينَ ‎﴿١٤٠﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-imran]


Hakika haiwi wala haitopatikana amani katika ardhi ilio barikiwa (Falastin) ispokua kwa ma sharti ya walio shsmbuliwa wala sio kwa ma sharti walio ya walio shambulia madhalimu wafisidifu katika dunia miongoni mwa ma yahudi wenye misimamo mikali katika chama cha taghuti (Tramp) Na mwenzake (Binyamin neten yaho) kiongozi wa wafisidifu katika ardhi ilio barikiwa; Haitopatikana wala haitokua amani kwenye ardhi ya Falastin na nyinyi munawaita kufanya amani na ilhali wao wajua kua wao ndio washambulizi.


Na enyi jeshi la waumini kuikomboa Falastina kimoyo inje ndani, Je nyinyi mwajua ama Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu?! Basi Yeye ajua lugha ya kumwita mshambuliaji kwenye amani matokeo yake ni kinyume kwa walio shambuliwa; Bali Mwenyezi Mungu ajua lugha ambao wanifahamu nayo; Moja kwa moja kuwavamia mpaka muvuke mstari wa majano na mwekundu kwenye mipaka ya arbaini na nane, Na hio kwenu ni imani ndogo ikiwa munataka kupatikane amani basi haraka watingia kwenye amani na kwa masharti ya walio shambuliwa walio dhulumiwa, Wala hana mshambuliaji sharti moja kwenye kitabu cha Mwenyezi Mungu Qurani Tukufu kwakua hana mshambuliaji mstari mwekundu ispokua kuwanyaganya silaha zenu na kuwafukuza kwenye ardhi yenu awu kuwauwa, Na imetangulia niliwapa fatwa kwa haki; Hata mukiridhika kua chini ya mkataba basi hawatazingatia chochote kuhusu nyinyi


ispokua kwenye misitari mwekundu; Bali watavuka mistari yote na watvuka mipaka yote ya Allah vile wawezavo, Basi haitawarudisha ispokua vita kujilinda ju ya nafsi zenu: Basi munge mtii Khalifa wa Allah Imam Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani basi kwahivo inge patikana amani na ingesimama vita va ufisadi mkubwa zaidi ya miyaka ishirini.

Na enye waislam warabu. Na je nyinyi wajuzi ama Mwenyezi Mungu?! Basi Wallahi Na Twallahi Na Billahi Al'3adhim hakika wao wakiwatokezea hawatazingatia kwenu hata huruma ya kibinadamu kwa wote usawa; Sio kwenye dini yenu wala kwenye ardhi yenu wala sikatika ya mali yenu wala kwenye hishima ya hadhi yenu wala katika biashara zenu, Mpaka ma khaini miongoni mwenu kugopea shari yao na kuogopa kipigo chao basi hawta watekelezea yale walio waahidi kitu na watahasirika duniani na akhera na hio ndio hasara ya wazi; Na hi ni kua lau watatokezea kwenu Mungu asijalie hivo, Basi mwaminini Mwenyezi Mungu kwenye kauli Yake Ta3ala:


{كَيْفَ وَإِن يَظْهَرُوا۟ عَلَيْكُمْ لَا يَرْقُبُوا۟ فِيكُمْ إِلًّا وَلَا ذِمَّةً ۚ يُرْضُونَكُم بِأَفْوَٰهِهِمْ وَتَأْبَىٰ قُلُوبُهُمْ وَأَكْثَرُهُمْ فَٰسِقُونَ ‎﴿٨﴾}
Sadaqa Allah Al'3adhim[Sura:Al-Tawuba].
Basi hizi ndio sifa za walio ghdhibikiwa ju yao kwenye kila zama na pahali; Sifa ya ubiinadamu na huruma haiko katika miyoyo yao kabisa.


Na nawatahadharisha warabu kutokana na kurudia kuendelea na ramani na mchoro wa kizayuni wa kupigana baina yao ili kuwadhufisha ili ipatikane mashariki ya kati mpya, Na hawatopaata malengo yao; Bali itawapata wao pamopja na nyinyi adhabu moja kwa moja kutoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ مَا لَكُمْ إِذَا قِيلَ لَكُمُ ٱنفِرُوا۟ فِى سَبِيلِ ٱللَّهِ ٱثَّاقَلْتُمْ إِلَى ٱلْأَرْضِ ۚ أَرَضِيتُم بِٱلْحَيَوٰةِ ٱلدُّنْيَا مِنَ ٱلْـَٔاخِرَةِ ۚ فَمَا مَتَٰعُ ٱلْحَيَوٰةِ ٱلدُّنْيَا فِى ٱلْـَٔاخِرَةِ إِلَّا قَلِيلٌ ‎﴿٣٨﴾‏ إِلَّا تَنفِرُوا۟ يُعَذِّبْكُمْ عَذَابًا أَلِيمًا وَيَسْتَبْدِلْ قَوْمًا غَيْرَكُمْ وَلَا تَضُرُّوهُ شَيْـًٔا ۗ وَٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَىْءٍ قَدِيرٌ ‎﴿٣٩﴾‏}
Sadaqa Allah Al'3adhim[Sura:Al-Tawuba].


pamoja kua mimi siwalingani kuwachukia ma yahudi ispokua kuchukia walio wafanyia uwaduwi miongoni mwao wale ambao hawana huruma ya kibinadamu; Basi hawo haiwarudishi ulinganizi wa wito wa kupatikane amani bali lugha ya kuwashabulia katika vita mpaka waitishe amani, Basi wakitisha amani na nyinyi takeni amani kwa masharti ya walio shambuliwa
wala sio kwa masharti ya washambuliaji wahalifu. Hivi muna nini mwahukumu vipi?!


Na hawo hapo wanajaribu kubadilisha mlekeo wa vita baina ya warabu baina yao, Basi musiwatekeleze kugeuza mwelekeo wa vita kabisa na nawabashiri kwa utukufu wa Mwenyezi Mungu Na ushindi Wake.


Na nawabarikia wote ma shahidi katika njia ya Mwenyezi mungu kwa maisha mema wako hai kwa Mola Mlezi wao wanaruzukiwa; Sawa ni ma shahidi wa Falastina ama ma shahidi wa Yemen na ma shahidi wa waislamu wote wanao jilinda na ardhi yao kuvamia washambuliaji.


Basi vita hazimalizwi kwenye usiku na mchana wake ispokua kwa kushambulia neye kundi la mujahidina katika eneo la Falastina ulio kirimiwa; ah kisha ah lau munajua suna ya Mwenyezi Mungu (Anawafanyia nini nyoyo za maaduwi pindi mukiwashambulia kwa kuwatupia aya ya utisho mkuu basi haraka wanwapa mngongo kukimbia mpaka pale munapo taka madamo nyinyi muko nyuma yao mwawashambulia!) Basi hi ni sunna ya Mwenyezi Mungu katika vita kujitetea nafsi kujahidi katika njia ya Mwenyezi mungu; Nayo ni kusogea kwa kushambulia ili ipatikane ushindi na kupatikane kutafuta amani ya uwadilifu na kusmamisha umwagaji damu na kuepuka kupata kushindwa katika vita; Suna ya Mwenyezi mungu ili kupata ushindi ju ya wavamizi kwenye kitabu cha Mwenyezi Mungu Qurani Tukufu Kusadikisha kuli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ قَٰتَلَكُمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ لَوَلَّوُا۟ ٱلْأَدْبَٰرَ ثُمَّ لَا يَجِدُونَ وَلِيًّا وَلَا نَصِيرًا ‎﴿٢٢﴾‏ سُنَّةَ ٱللَّهِ ٱلَّتِى قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلُ ۖ وَلَن تَجِدَ لِسُنَّةِ ٱللَّهِ تَبْدِيلًا ‎﴿٢٣﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim[Sura:Al-Fath].


Na naendelea kuwausia kheri kwa wale wanao taka amani miongoni mwa ma yahudi, Na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao pigana na nyinyi na wakute knyinyi ni wakali; Basi jiokoweni nafsi zenu na mwingie katika usalama na amani nyote, Hakika Wallahi Ambae hapana Mola ispokua Yeye hakika ya sayari ya saqar inaendelea kukaribia na majira yajoto yake haitorudi majira yake kutokana na pembezoni mwa kusini mpaka ipambazuke katikati mwa mduwara wa kaskazini. Basi kimbieni kutoka kwa Mwnyezi Mungu kwenda kwake. Wala musiwafanye maaduwi wa Mwenyezi Mungu kua marafiki pasi na Yeye; Bali muwafanye wenye ubinadamu marafiki katika ulimwengu, Na imekujsa ahdi ya Mwenyezi Mungu kwa ukombozi mku subirini na mujisubirishe na mujifunge na Mwnyezi Mungu hata kama lau watakusanyika kupgigana na ma wali wa Mwenyezi Mungu ulimwengu mzima basi shikamaneni na Mwenezi Mungu Neema Almawala wa Neema Alnasir; Basi nusifanye Mwenyezi Mungu ju yenu kua na mamlaka kwa kumndaganya; Pindi mukajifunga na ma aduwi wa Mwenyezi Mungu ndio awadhibu pamoja na wao, Na mujuwe kua Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu mwenye kulipiza; Na hatokua mnyonge mwenye kua Rafiki wake na kutwii amri ya Mwenyezi Mungu na Khalifa wake Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا تَتَّخِذُوا۟ ٱلْكَٰفِرِينَ أَوْلِيَآءَ مِن دُونِ ٱلْمُؤْمِنِينَ ۚ أَتُرِيدُونَ أَن تَجْعَلُوا۟ لِلَّهِ عَلَيْكُمْ سُلْطَٰنًا مُّبِينًا ‎﴿١٤٤﴾‏ إِنَّ ٱلْمُنَٰفِقِينَ فِى ٱلدَّرْكِ ٱلْأَسْفَلِ مِنَ ٱلنَّارِ وَلَن تَجِدَ لَهُمْ نَصِيرًا ‎﴿١٤٥﴾‏ إِلَّا ٱلَّذِينَ تَابُوا۟ وَأَصْلَحُوا۟ وَٱعْتَصَمُوا۟ بِٱللَّهِ وَأَخْلَصُوا۟ دِينَهُمْ لِلَّهِ فَأُو۟لَٰٓئِكَ مَعَ ٱلْمُؤْمِنِينَ ۖ وَسَوْفَ يُؤْتِ ٱللَّهُ ٱلْمُؤْمِنِينَ أَجْرًا عَظِيمًا ‎﴿١٤٦﴾‏ مَّا يَفْعَلُ ٱللَّهُ بِعَذَابِكُمْ إِن شَكَرْتُمْ وَءَامَنتُمْ ۚ وَكَانَ ٱللَّهُ شَاكِرًا عَلِيمًا ‎﴿١٤٧﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim[Sura:Al-Nisaa].

Na mujuwe kuwa mimi ni Khalifa wa Mwenyezi Mungu ju ya ulimwengu wote nalingania kupatikane amani ya kiulimwengu baina ya ma taifa ya binadamu na kuishi kwa amani nbaina ya mwislamu na kafiri na uwadilifu na usawa; Basi hakuna tafauti kwangu baina myemeni na mchina, ispokua nawakataza kuwaita ma aduwi ambao wanajua kua wao ni maaduwi ju uvamizi wa haki za wengine; hawo imeharamishwa kwenu kuwalingania kwenye amani kwakua Mwenyezi Mungu ni Mjuzi kwa lugha ambao wanao ifahamu nayo kupatikane amani. Basi musiwaite washambuliaji ju yenu miongoni mw ma yahudi kwenye amani mpaka wao waitishe amani kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{فَلَا تَهِنُوا۟ وَتَدْعُوٓا۟ إِلَى ٱلسَّلْمِ وَأَنتُمُ ٱلْأَعْلَوْنَ وَٱللَّهُ مَعَكُمْ وَلَن يَتِرَكُمْ أَعْمَٰلَكُمْ ‎﴿٣٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Muhammad].


Na mujuwe kwa yakini hakika sayri ya saqar imequrubia kwenye mashariki ya ju ya anga ya kusini; basi hakuna kurudi nyuma na kua laana ya Mwenyezi Mungu ju ya warongo, Na imekurubia kuzukwaa kwa gafla na mshangao kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ ‎﴿٣٨﴾‏ لَوْ يَعْلَمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ حِينَ لَا يَكُفُّونَ عَن وُجُوهِهِمُ ٱلنَّارَ وَلَا عَن ظُهُورِهِمْ وَلَا هُمْ يُنصَرُونَ ‎﴿٣٩﴾‏ بَلْ تَأْتِيهِم بَغْتَةً فَتَبْهَتُهُمْ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ ‎﴿٤٠﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim[Sura:Alanmbia].


Na ole wao siku hio kwa wanao kadhibu, Basi Mkimbieni Mwenyezi Mungu Kukimbilia kwake.


Na mutajua kua nguvu ni za Mwenyezi Mungu zote Na utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu enyi munao taka utukufu pasi na Mwenyezi Mungu Ametakasika Subhanahu wa Ta3ala uluwan Kabiran, Na ikiwa muko kwenye dhiki na uzito basi hakika imewapata uzito na dhiki kaumu kabala yenu kabla ya ushindi wa Mwnyezi Mungu mpaka asema Mtume na wale walio amini pamoja nae"lini ushindi wa Mwenyezi Mungu?!" Ikawajia ushindi wa Mwenyezi Mungu; Haibadiliki Maneno ya Mwenyezi Mungu Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِكُمْ سُنَنٌ فَسِيرُوا۟ فِى ٱلْأَرْضِ فَٱنظُرُوا۟ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُكَذِّبِينَ ‎﴿١٣٧﴾‏ هَٰذَا بَيَانٌ لِّلنَّاسِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ ‎﴿١٣٨﴾‏ وَلَا تَهِنُوا۟ وَلَا تَحْزَنُوا۟ وَأَنتُمُ ٱلْأَعْلَوْنَ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ‎﴿١٣٩﴾‏ إِن يَمْسَسْكُمْ قَرْحٌ فَقَدْ مَسَّ ٱلْقَوْمَ قَرْحٌ مِّثْلُهُۥ ۚ وَتِلْكَ ٱلْأَيَّامُ نُدَاوِلُهَا بَيْنَ ٱلنَّاسِ وَلِيَعْلَمَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَيَتَّخِذَ مِنكُمْ شُهَدَآءَ ۗ وَٱللَّهُ لَا يُحِبُّ ٱلظَّٰلِمِينَ ‎﴿١٤٠﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-imran].




Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفةُ الله على العالَمين الإمام المَهديّ
ناصِر مُحَمَّد اليَمانيّ.
_____

======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة 487982 من موضوع فَتوى الإمام المَهديّ في حَركة حَماس ..

- 37 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
26 - جمادى الأولى - 1447 هـ
17 - 11 - 2025 مـ
05:46 صباحًا
(بحسب التقويم الرسميّ لأم القرى)

[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=487939
____________



كَذِب ترامب وقبيله بنيامين وأولياؤهم مِن اليهود ناكِثي العُهود ومُخلفي الوُعود، وصَدَق الله رَبُّ العالَمين ..


بِسم الله النَّاصِر المُنتَقِم الجَبَّار، قاهِر الجبَابِرة المفسدين في الأرض، ولِينصُرَنَّ الله مَن يَنصره وكان الله قويًّا عزيزًا..

أيا معشَر أنصار الله في غزة المُكرمة وكافَّة فلسطين وفي اليمَن وفي العالَمين، ويا أصحاب الإنسانيَّة أجمعين، فهل تُصَدِّقون الله في فتواه عن المغضوب عليهم المفسدين في الأرض أعداء الرَّحمة الإنسانيَّة؟ فحسَب فتوى الله فإنَّهم ينكثون العُهود ويُخلِفون الوعود تصديقًا لقول الله تعالى:
{وَلَقَدْ أَنزَلْنَآ إِلَيْكَ ءَايَٰتِۭ بَيِّنَٰتٍ ۖ وَمَا يَكْفُرُ بِهَآ إِلَّا ٱلْفَٰسِقُونَ ‎﴿٩٩﴾‏ أَوَكُلَّمَا عَٰهَدُوا۟ عَهْدًا نَّبَذَهُۥ فَرِيقٌ مِّنْهُم ۚ بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ‎﴿١٠٠﴾} صدق الله العظيم [سُورَةُ البَقَرَةِ].

وتصديقًا لقول الله تعالى:
{كَيْفَ وَإِن يَظْهَرُوا۟ عَلَيْكُمْ لَا يَرْقُبُوا۟ فِيكُمْ إِلًّا وَلَا ذِمَّةً ۚ يُرْضُونَكُم بِأَفْوَٰهِهِمْ وَتَأْبَىٰ قُلُوبُهُمْ وَأَكْثَرُهُمْ فَٰسِقُونَ ‎﴿٨﴾} [سُورَةُ التَّوۡبَةِ].

وتصديقًا لقول الله تعالى:
{ٱلَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ ٱللَّهِ مِنۢ بَعْدِ مِيثَٰقِهِۦ وَيَقْطَعُونَ مَآ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦٓ أَن يُوصَلَ وَيُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ ۚ أُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَٰسِرُونَ ‎﴿٢٧﴾‏} [سُورَةُ البَقَرَةِ].

وتصديقًا لقول الله تعالى:
{ٱلَّذِينَ عَٰهَدتَّ مِنْهُمْ ثُمَّ يَنقُضُونَ عَهْدَهُمْ فِى كُلِّ مَرَّةٍ وَهُمْ لَا يَتَّقُونَ ‎﴿٥٦﴾‏ فَإِمَّا تَثْقَفَنَّهُمْ فِى ٱلْحَرْبِ فَشَرِّدْ بِهِم مَّنْ خَلْفَهُمْ لَعَلَّهُمْ يَذَّكَّرُونَ ‎﴿٥٧﴾‏ وَإِمَّا تَخَافَنَّ مِن قَوْمٍ خِيَانَةً فَٱنۢبِذْ إِلَيْهِمْ عَلَىٰ سَوَآءٍ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ ٱلْخَآئِنِينَ ‎﴿٥٨﴾‏ وَلَا يَحْسَبَنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ سَبَقُوٓا۟ ۚ إِنَّهُمْ لَا يُعْجِزُونَ ‎﴿٥٩﴾‏} [سُورَةُ الأَنفَالِ].

وتصديقًا لقول الله تعالى:
{قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِكُمْ سُنَنٌ فَسِيرُوا۟ فِى ٱلْأَرْضِ فَٱنظُرُوا۟ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُكَذِّبِينَ ‎﴿١٣٧﴾‏ هَٰذَا بَيَانٌ لِّلنَّاسِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ ‎﴿١٣٨﴾‏ وَلَا تَهِنُوا۟ وَلَا تَحْزَنُوا۟ وَأَنتُمُ ٱلْأَعْلَوْنَ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ‎﴿١٣٩﴾‏ إِن يَمْسَسْكُمْ قَرْحٌ فَقَدْ مَسَّ ٱلْقَوْمَ قَرْحٌ مِّثْلُهُۥ ۚ وَتِلْكَ ٱلْأَيَّامُ نُدَاوِلُهَا بَيْنَ ٱلنَّاسِ وَلِيَعْلَمَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَيَتَّخِذَ مِنكُمْ شُهَدَآءَ ۗ وَٱللَّهُ لَا يُحِبُّ ٱلظَّٰلِمِينَ ‎﴿١٤٠﴾‏} [سُورَةُ آلِ عِمۡرَانَ].

فَلا ولَن يتحَقَّق السَّلام في الأرض المُبارَكة (فلسطين) إلَّا بشروط المُعتَدى عَليهم وليس بشروط المُعتَدين الظَّالمين المُفسِدين في الأرض مِن اليَهود المُتَطَرِّفين في حِزب الطَّاغوت (ترامب) وقَبيله (بنيامين نتن ياهو) زعيم المُفسِدين في الأرض المُبارَكة؛ فلا ولن يتحَقَّق السَّلام في أرض فلسطين وأنتم تَدعونهم إلى السَّلام وهُم يعلَمون أنَّهم هُم المُعتَدون.

ويا جَيش المؤمنين لتحرير فلسطين قَلبًا وقالبًا، فهل أنتُم أعلَم أم الله رَبّ العالَمين؟! فهو يعلم أنَّ لُغة دعوة المُعتَدين الى السَّلام نتيجتها عَكسيَّة على المُعتَدى عليهم؛ بل الله أعلَم باللغة التي يفهمون بِها وهي:
مُباشرة الهجوم عليهم حتى تتجاوزوا الخَطّ الأصفَر والأحمَر إلى حُدود ثمانية وأربعين. وذَلِكُم أضعَف الإيمان إذا أردتُّم تحقيق السَّلام فَسرُعان ما يجنحوا للسلام وبشروط المُعتَدَى عليهم المَظلومين، وليس للمُعتَدي شرطٌ واحدٌ في كتاب الله القرآن العظيم كون ليس لدى المُعتَدين خُطوط حمراء إلَّا نزع أسلحتكم ثُمَّ طَردكم من أرضكم أو قتلكم. وسَبَق أن أفتيناكم بالحَقِّ: إنكم حتى لو رضيتم أن تكونوا ذِمّيِّين فَلَن يَرقبوا فيكم إلًّا في الخطوط الحمراء؛ بل يتجاوزوا كُل الخطوط ويتعدُّون كُل حدود الله قَدر ما يستطيعون، فَلَن يردعهم إلَّا الحرب للدفاع عن أنفسكم؛ فلو أطعتم خليفة الله الإمام المَهديّ ناصِر محمد اليمانيّ إذًا لتحقَّق السَّلام وتوقفت حرب الفساد الكبير منذ ما يزيد عن عشرين سنة.

ويا معشَر المُسلِمين العرَب، فهل أنتم أعلَم أم الله؟! فَوالله وتَالله وبالله العَظيم إنَّهم إن يَظهروا عَليكم فلَن يرقَبوا فيكم أدنى رحمة إنسانيَّة على حَدٍّ سَواء؛ لا في دينكم ولا في أرضكم ولا في أموالكم ولا في أعراضكم ولا في تجارتكم، حتى الخائنين مِنكُم خِشية شرهم وخوفًا من بطشهم فَلَن يفوهم بما وعدوهم شيئًا ويخسرون الدُّنيا والآخرة ذلك هو الخسران المُبين؛ فهذا لو يَظهرون عليكم ولا قَدَر الله ذلك، فَصَدِّقوا الله في قوله تعالى: {كَيْفَ وَإِن يَظْهَرُوا۟ عَلَيْكُمْ لَا يَرْقُبُوا۟ فِيكُمْ إِلًّا وَلَا ذِمَّةً ۚ يُرْضُونَكُم بِأَفْوَٰهِهِمْ وَتَأْبَىٰ قُلُوبُهُمْ وَأَكْثَرُهُمْ فَٰسِقُونَ ‎﴿٨﴾} صدق الله العظيم [سُورَةُ التَّوۡبَةِ]. فهذه صفات المغضوب عليهم في كُلِّ زمانٍ ومكانٍ؛ معدومة صفات الرَّحمة الإنسانيَّة من قلوبهم تمامًا.

وأُحَذِّر العرَب مِن عودة استمرار مُخَطَّط الصهاينة للقِتال فيما بينهم لاستمرار إضعافهم لتحقيق شرق أوسطي جديد، ولن ينالوا مُرادهم؛ بل سوف ينالهم وينالكم عذابٌ مُباشرٌ مِن رَبِّ العالَمين تصديقًا لقول الله تعالى: {يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ مَا لَكُمْ إِذَا قِيلَ لَكُمُ ٱنفِرُوا۟ فِى سَبِيلِ ٱللَّهِ ٱثَّاقَلْتُمْ إِلَى ٱلْأَرْضِ ۚ أَرَضِيتُم بِٱلْحَيَوٰةِ ٱلدُّنْيَا مِنَ ٱلْـَٔاخِرَةِ ۚ فَمَا مَتَٰعُ ٱلْحَيَوٰةِ ٱلدُّنْيَا فِى ٱلْـَٔاخِرَةِ إِلَّا قَلِيلٌ ‎﴿٣٨﴾‏ إِلَّا تَنفِرُوا۟ يُعَذِّبْكُمْ عَذَابًا أَلِيمًا وَيَسْتَبْدِلْ قَوْمًا غَيْرَكُمْ وَلَا تَضُرُّوهُ شَيْـًٔا ۗ وَٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَىْءٍ قَدِيرٌ ‎﴿٣٩﴾‏} صدق الله العظيم [سُورَةُ التَّوۡبَةِ].

ورغم أنّي لا أدعو لكراهية اليهود إلَّا كراهية المُعتَدين مِنهم عديمي الرَّحمة الإنسانيَّة؛ فهؤلاء لا يردعهم دعوتهم إلى تحقيق السلام بل يردعهم لُغة الهجوم في الحَرب حتى يجنحوا الى السَّلام، فإن جنحوا إلى السلام فاجنحوا لها بشروط المُعتَدَى عليهم وليس بشروط المُعتَدين الظَّالمين، ما لَكم كيف تحكمون؟!

وها هُم يُحاولون تغيير مَسار الحرب بين العَرَب فيما بينهم، فلا تُحَقِّقوا لَهُم تَغيير مَسار المعركة أبدًا وأبشِروا بِعِزِّ الله ونصره.

ونُبارِك لكافَّة الشُّهداء في سبيل الله بالحياة الطيبة أحياء عند ربهم يُرزَقون؛ سواء شهداء فلسطين أو اليمانيِّين وشهداء كافَّة المُسلمين المُدافعين عن أرضهم بالهجوم ضد المُعتَدين.

فلا تُحسَم الحُروب في عشيَّةٍ أو ضُحاها إلَّا بالهجوم يا معشَر المُجاهدين في فلسطين المُكرمين؛ آه ثم آه لو تعلمون حقيقة سُنَّة الله (ماذا يفعل بقلوب المُعتَدين حين الهجوم بإلقاء آية الرُّعب العَظيم فسرعان ما يولونكم الأدبار إلى حيث تشاؤون ما دمتم وراءهم!) فهذه سنة الله في الحرب للدفاع عن النَّفس جهادًا في سبيل الله؛ وهو الزَّحف بالهجوم لتحقيق النَّصر وتحقيق الجُنوح الى السَّلام العادِل وتوفير سَفك الدِّماء وتوفير خسارة الحَرب؛ سُنَّة الله في النَّصر على المُعتَدين في كتاب الله القرآن العظيم تصديقًا لقول الله تعالى: {وَلَوْ قَٰتَلَكُمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ لَوَلَّوُا۟ ٱلْأَدْبَٰرَ ثُمَّ لَا يَجِدُونَ وَلِيًّا وَلَا نَصِيرًا ‎﴿٢٢﴾‏ سُنَّةَ ٱللَّهِ ٱلَّتِى قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلُ ۖ وَلَن تَجِدَ لِسُنَّةِ ٱللَّهِ تَبْدِيلًا ‎﴿٢٣﴾‏} صدق الله العظيم [سُورَةُ الفَتۡحِ].

ولا نزال نستوصيكم خيرًا في المُسالِمين مِن اليَهود، وقاتِلوا في سبيل الله الذين يُقاتلونكم وليجدوا فيكم غِلظةً؛ فأنقِذوا أنفسكم وادخلوا في السّلم كافَّة، فوالله الذي لا إله غيره إن كوكب سَقَر مستمرٌ في التَّقَدُّم وإنَّ صيفه لن يتراجع مناخه عن القُطب الجنوبي حتى يشرق على نصف الكُرة الشَّماليّ، فَفِرُّوا مِن الله إليه، ولا تَتَّخِذوا أعداء الله أولياء مِن دونه؛ بل اتَّخِذوا أصحاب الإنسانيَّة أولياءكم في العالَمين، وجاء وعد الله بالفَتح الكَبير فاصبِروا وصابِروا واعتَصِموا بالله حتى لو اجتمع لقتال أولياء الله العالَم بأسرِه فاعتَصِموا بالله نِعم المَولى ونِعم النَّصير؛ فلا تجعلوا لله عليكم سلطانًا؛ لئن اعتصمتم بأعداء الله فيُعَذِّبكم معهم، واعلموا أنَّ الله عزيزٌ ذو انتقام؛ فلا ذل مَن والاه وأطاع أمر الله وخليفته تصديقًا لقول الله تعالى: {يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا تَتَّخِذُوا۟ ٱلْكَٰفِرِينَ أَوْلِيَآءَ مِن دُونِ ٱلْمُؤْمِنِينَ ۚ أَتُرِيدُونَ أَن تَجْعَلُوا۟ لِلَّهِ عَلَيْكُمْ سُلْطَٰنًا مُّبِينًا ‎﴿١٤٤﴾‏ إِنَّ ٱلْمُنَٰفِقِينَ فِى ٱلدَّرْكِ ٱلْأَسْفَلِ مِنَ ٱلنَّارِ وَلَن تَجِدَ لَهُمْ نَصِيرًا ‎﴿١٤٥﴾‏ إِلَّا ٱلَّذِينَ تَابُوا۟ وَأَصْلَحُوا۟ وَٱعْتَصَمُوا۟ بِٱللَّهِ وَأَخْلَصُوا۟ دِينَهُمْ لِلَّهِ فَأُو۟لَٰٓئِكَ مَعَ ٱلْمُؤْمِنِينَ ۖ وَسَوْفَ يُؤْتِ ٱللَّهُ ٱلْمُؤْمِنِينَ أَجْرًا عَظِيمًا ‎﴿١٤٦﴾‏ مَّا يَفْعَلُ ٱللَّهُ بِعَذَابِكُمْ إِن شَكَرْتُمْ وَءَامَنتُمْ ۚ وَكَانَ ٱللَّهُ شَاكِرًا عَلِيمًا ‎﴿١٤٧﴾‏} صدق الله العظيم [سُورَةُ النِّسَاءِ].

واعلموا أنّي خليفة الله على العالَمين أدعو إلى تحقيق السَّلام العالَمي بين شعوب البشر والتعايش السِّلمي بين المُسلِم والكافِر والعدالة والمساواة؛ فلا فرق لدي بين يمانيٍّ وصينيٍّ. وإنَّما أنهاكم عن دعوة المُعتَدين الذين يعلمون أنَّهم معتدون على حقوق الآخرين؛ فأولئك مُحرَّمٌ عليكم أن تدعوهم إلى السَّلام كون الله يعلم باللغة التي يفهمون بها لتحقيق السَّلام، فلا تدعوا المُعتَدين عليكم من اليهود إلى السَّلام حتى يجنحوا هُم إلى السَّلام تصديقًا لقول الله تعالى:
{فَلَا تَهِنُوا۟ وَتَدْعُوٓا۟ إِلَى ٱلسَّلْمِ وَأَنتُمُ ٱلْأَعْلَوْنَ وَٱللَّهُ مَعَكُمْ وَلَن يَتِرَكُمْ أَعْمَٰلَكُمْ ‎﴿٣٥﴾‏} صدق الله العظيم [سُورَةُ مُحَمَّدٍ].

واعلموا عِلم اليَقين أنَّ كوكب سَقَر اقترب إلى مشارف أفق الفضاء الجنوبي؛ فلا رجعة إلى الوراء وإن لعنة الله على الكاذبين،
واقتربَت البَغتة والبَهتة تصديقًا لقول الله تعالى: {وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ ‎﴿٣٨﴾‏ لَوْ يَعْلَمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ حِينَ لَا يَكُفُّونَ عَن وُجُوهِهِمُ ٱلنَّارَ وَلَا عَن ظُهُورِهِمْ وَلَا هُمْ يُنصَرُونَ ‎﴿٣٩﴾‏ بَلْ تَأْتِيهِم بَغْتَةً فَتَبْهَتُهُمْ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ ‎﴿٤٠﴾} [سُورَةُ الأَنبِيَاءِ] صدق الله العظيم.

فويلٌ يومئذٍ للمُكَذِّبين، فَفِرّوا إلى الله بالتَّوبة والإنابة.

ولسَوف تعلَمون أنَّ القُوة لله جميعًا وأن العِزة لله جميعًا يا مَن يُريدون العِزة عِند غير الله سُبحانه وتعالى عُلوًّا كبيرًا، وإن كنتم في عُسرٍ وقَرحٍ فَقَد مَسَّ القَوم مِن قبلكم قُبَيل نَصر الله عُسرٌ و قَرحٌ مِثله حتى يَقول الرَّسول والذين آمنوا مَعه: "متى نَصر الله؟" فجاءهم نَصر الله؛ لا مُبَدِّل لَكلِمات الله تصديقًا لقول الله تعالى:
{قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِكُمْ سُنَنٌ فَسِيرُوا۟ فِى ٱلْأَرْضِ فَٱنظُرُوا۟ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُكَذِّبِينَ ‎﴿١٣٧﴾‏ هَٰذَا بَيَانٌ لِّلنَّاسِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ ‎﴿١٣٨﴾‏ وَلَا تَهِنُوا۟ وَلَا تَحْزَنُوا۟ وَأَنتُمُ ٱلْأَعْلَوْنَ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ‎﴿١٣٩﴾‏ إِن يَمْسَسْكُمْ قَرْحٌ فَقَدْ مَسَّ ٱلْقَوْمَ قَرْحٌ مِّثْلُهُۥ ۚ وَتِلْكَ ٱلْأَيَّامُ نُدَاوِلُهَا بَيْنَ ٱلنَّاسِ وَلِيَعْلَمَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَيَتَّخِذَ مِنكُمْ شُهَدَآءَ ۗ وَٱللَّهُ لَا يُحِبُّ ٱلظَّٰلِمِينَ ‎﴿١٤٠﴾‏} صدق الله العظيم [سُورَةُ آلِ عِمۡرَانَ].

وسلامٌ على المُرسَلين والحَمدُ لله رَب العالَمين
خليفةُ الله على العالَمين الإمام المَهديّ
ناصِر مُحَمَّد اليَمانيّ.
_________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..