- 1 -
الإمام ناصر محمد اليماني
14- 09 - 1431 هــ

24 - 08 - 2010 مـ

07:42 صباحاً
(بحسب التقويم الرسمي لأم القرى)

Kifurushi Cha Bayana
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?2101-%
ــــــــــــــــ

Lakini Swala Mbali Na Zilio Faridhiwa Ni Swala Za Nafli..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil Alamin..Ndugu Mkarimu Akubariki Allah, Na Hakuna Katika Kitabu Swala Yaitwa Swala Ya Dhu7ha Bali Ni Swala Ya Nafli, Wala Haikuwekwa Kwa Wakatin Malum, Bali Wakati Umejianda Nafsi Yako Kwa Hilo Jambo Na Hakuna Shughuli Itashughulisha Akili Yako Na Kazi Ambao Unataka Kufanya, Na Ukawa Na Wakati Wa Faragha Basi Hapo Umekua Umejianda Kinafsi Kusmamisha Swala Ya Nafli Ya Kujitolea, Nayo Ni Kulingana Na Wakati Wa Faragha Kwako Kwajili Hio Sio Swala Ya Faradhi Kwa Wakati Malum Bali Ni Ya Kujitolea Kulingana Na Wakati Wa Faragha Yako Ndio Alafu Unataka Kulekea Kwa Mola Mlezi Wako, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{فَإِذَا فَرَغْتَ فَانصَبْ ﴿7﴾ وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَارْغَب ﴿8﴾} صدق الله العظيم [الشرح].
[Alsharh7-8].

Ispokua Nafli Ya Usiku Kunafikiwa Zaidi Na Moyo Katika Upweke Wako Na Mola Mlezi Wako Ili Umdhukuru Jina La Mola Wako Mlezi Na Ujitole Kwake Kikamilifu, Na Hivo Hivo Mchana Waweza Kumsabeh Kwa Wingi Wakati Wa Faragha Yako, Ama Kuweka Nafli Kwa Wakati Malum Lakini Sijapata Hayo Katika Kitabu Cha Allah Nayo Ni Bid3a Kwakua Mimi Sijapata Wakati Wa Swala Ya Nafli Ni Wakati Malum Katika Muhakam Ilio Wazi Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim.


Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
____________________

======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة 7113 من موضوع إنّما الصلوات غير المفروضات هي صلوات نوافل ..


الإمام ناصر محمد اليماني
14 - 09 - 1431 هـ
24 - 08 - 2010 مـ
07:42 صباحاً
_________



إنّما الصلوات غير المفروضات هي صلوات نوافل ..

بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المرسلين والحمد لله ربّ العالمين..
أخي الكريم بارك الله فيك، وليس في الكتاب صلاة اسمها صلاة الضحى بل هي الصلاة النافلة، ولا تسمّى بوقتٍ معين؛ بل حين تتهيّأ نفسيّاً لذلك فلم يعد يشغل بالك عمل تريد فعله وصرت بوقت فراغٍ فهنا أنت مُهيّأ نفسيّاً للقيام بصلاة النافلة الطوعيّة، وهي حسب وقت فراغك لأنّها ليست فرضيّة بميقاتٍ معلومٍ؛ بل هي طوعيّة حسب وقت فراغك ومن ثم ترغب إلى ربك. تصديقاً لقول الله تعالى:
{
فَإِذَا فَرَغْتَ فَانصَبْ ﴿٧وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَارْغَب ﴿٨} صدق الله العظيم [الشرح].

غير أنّ نافلة الليل هي أشدُّ وطأً على القلب في خلوتك مع ربك لتذكر اسم ربك فتتبتّل إليه تبتيلاً، وكذلك لك في النهار سبحاً طويلاً في أي وقت فراغٍ.

أما تحديد النافلة بوقتٍ معلومٍ فلم أجد ذلك في كتاب الله وهي بدعةٌ لكوني لم أجد ميقات صلاة النافلة معلوماً في محكم كتاب الله القرآن العظيم.


وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين ..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر مُحمد اليماني .
_____________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..