Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
26 - 03 - 1433 هـ
19 - 02 - 2012 مـ
02:44 صباحاً
ــــــــــــــــــــ

Al’Imam Al’Mahdi Anatuzidisha Kuijua kuhusu Bayana Ya Aya Tukufu:
{ إِنَّهَا لَإِحْدَى الْكُبَرِ‌ ﴿٣٥﴾ نَذِيرً‌ا لِّلْبَشَرِ‌ ﴿٣٦﴾ لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَتَقَدَّمَ أَوْ يَتَأَخَّرَ‌ ﴿٣٧﴾}
صـــدق الله العظيم

{ Hakika hio ni moja katika makubwa (35) Onyo kwa watu (36) Kwa yule atakae kati yenu atangulie awu achelewe (37)}
sadaqaAllah Al3adhim

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Ali Yake Walio Tahirika Na Wote Ansar Allah Al’Wahid Al’Qahar Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Mwisho, Ama Baada Ya Hapo..
Alsalam Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu Wapendwa Wangu Ma Ansar Walio Tangulia Walio Bora, Al’Salam Juu Yetu Na Juu Ya Waja Wa Allah Wema, Na Salam Juu Ya Mitume Na Al’hamdulillah Rabil3alamin..
Na Ewe mpendwa wangu kwa Allah mwenye kutaka kutangulia basi akafwata Bayana ya haki ya Al’Quran wala hataki kwamba achelewe kufwata haki kutoka kwa Mola Mlezi Wake, Hakika mimi nakuona unanijadili katila Kauli ya Allah Ta3ala
:
{إِنَّها لإٍحْدَى الْكُبَرِ} صدق الله العظيم [المدثر:35].
{ Hakika hio ni mojakatika makubwa}} Sadaqa Allah Al3adhim [Almudathir:35],

Alafu Unasema: Hakika ya neno la {إِنَّها} {Hio ni} linarudi kwa nambari ya Malaika kumi na tisa, Na alafu anarudisha jibu kwako Al’Mahdi Al’Muntadhar Na Nasema: Jee munao utawala kwa hayo ama mwasema juu Allah musio kijua? Lkini Allah lau kwambaakusudia Malaika kumi na tisa wenye kusmamia jahanam angesema wao lakini Yeye Amesema {إِنَّها لإٍحْدَى الْكُبَرِkatika makubwa}} kwakua anazungumzia kuhusu Saqar. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَمَا أَدْرَ‌اكَ مَا سَقَرُ‌ ﴿٢٧﴾ لَا تُبْقِي وَلَا تَذَرُ‌ ﴿٢٨﴾ لَوَّاحَةٌ لِّلْبَشَرِ‌ ﴿٢٩﴾} [المدثر].
Allah Ta3ala Asema:{ Na kitu gani kitakujulisha nini Saqar (27) Haibakishi wala haiwachi (28) inawazunguka watu (29)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almudathir].
Na alfu anawajulisha zaidi nayo basi Anasema:
{إِنَّهَا لَإِحْدَى الْكُبَرِ‌ ﴿٣٥﴾ نَذِيرً‌ا لِّلْبَشَرِ‌ ﴿٣٦﴾ لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَتَقَدَّمَ أَوْ يَتَأَخَّرَ‌ ﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم [المدثر].
Alalh Ta3ala Asema:{ Hakika hio ni moja katika makubwa (35) Onyo kwa watu (36) Kwa yule atakae kati yenu atangulie awu achelewe (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almudathir]
,
Na ispokua muonyaji anakuja kuhadharisha na adhabu ya Allah ambao inaongojew kwa wakanushji wa kufwata ukumbusho. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{إِنَّهَا لَإِحْدَى الْكُبَرِ‌ ﴿٣٥﴾ نَذِيرً‌ا لِّلْبَشَرِ‌ ﴿٣٦﴾ لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَتَقَدَّمَ أَوْ يَتَأَخَّرَ‌ ﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم.
Alalh Ta3ala Asema:{ Hakika hio ni moja katika makubwa (35) Onyo kwa watu (36) Kwa yule atakae kati yenu atangulie awu achelewe (37)} Sadaqa Allah Al3adhim
.
Na Suali lako lingine nalo ni kuhusu kutangulia na kuchelewa, Na alafu anarudisha jibu Al’Mahdi Al’Muntadhar Na Nasema: Hakika ya kutangulia ni kutangulia katika kufwata haki kutoka kwa Mola Mlezi wake ili kufanya nayo, Na ama kuchelewa basi ni kwamba achelewe nyuma basi ageuke nyuma kwake kuchukua njia kinyume na haki, Lakini ispokua walio tangulia ni wale walio tangulia kwajili ya kufwata haki kutoka kwa Mola Mlezi wao, Na ama walio chelewa ni wale walio chelewa kufwata haki kutoka kwa Mola Mlezi wao na tayari Allah Ashawajua kwa kujuwa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala
:{وَلَقَدْ عَلِمْنَا الْمُسْتَقْدِمِينَ مِنكُمْ وَلَقَدْ عَلِمْنَا الْمُسْتَأْخِرِينَ} صدق الله العظيم [الحجر:24].
Allah Ta3ala Asema:{ Na hakika tumekwisha kujua walio tangulia kati yenu na tumejuwa walio chelewa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhijri:24].
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{لَقَدْ ذَرَأْنَا لِجَهَنَّمَ كَثِيراً مِّنَ الْجِنِّ وَالإِنسِ لَهُمْ قُلُوبٌ لاَّ يَفْقَهُونَ بِهَا وَلَهُمْ أَعْيُنٌ لاَّ يُبْصِرُونَ بِهَا وَلَهُمْ آذَانٌ لاَّ يَسْمَعُونَ بِهَا أُوْلَـئِكَ كَالأَنْعَامِ بَلْ هُمْ أَضَلُّ أُوْلَـئِكَ هُمُ الْغَافِلُونَ} صدق الله العظيم [الأعراف:179].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika tumewapeleka jahanam wengi katika ma jini na watu wanazo nyoyo hawafahamu nazo na wanao macho hawaoni nayo na wanao masikio hawasiki nayo hao kama wanyama bali wao wamepotea zaidi hao ndio walio ghafilika} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:179].
Basi tangulia kutoa bey3a na ufwate haki kutoka kwa Mola Mlezi wako wala usichelewe kufwata haki, Basi lakini tahadhari kutokana na adhabu ya Allah kutokana na Sayari Ya Saqar ambao inawazungukia watu kutoka zama hadi ingine kwa kadara ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa, Na kwa Allah yanarudi mambo.

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.


وسلام ٌعلى المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.

{كَلَّا وَالْقَمَرِ‌ ﴿٣٢﴾ وَاللَّيْلِ إِذْ أَدْبَرَ‌ ﴿٣٣﴾ وَالصُّبْحِ إِذَا أَسْفَرَ‌ ﴿٣٤﴾ إِنَّهَا لَإِحْدَى الْكُبَرِ‌ ﴿٣٥﴾ نَذِيرً‌ا لِّلْبَشَرِ‌ ﴿٣٦﴾ لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَتَقَدَّمَ أَوْ يَتَأَخَّرَ‌﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم [المدثر].
Allah Ta3ala Asema:{ Hasha! Naapa kwa mwezi! (32) Na kwa usiku unapo kucha! (33) Na kwa asubuhi inapo pambazuka (34) Hakika hio ni katika mambo yaliyo makubwa kabisa! (35) Ni onyo kwa binaadamu (36) Kwa anaye taka miongoni mwenu kutangulia au kuchelewa (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almudathir].


_____________________________

Kifurushi Cha Bayana
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=5832